Hata mimi nimeshagundua hivyo Mkuu!Hivi mpaka hapa hamjagundua tu kama Fatemeh ni shemale?
Kwa bakhti mbaya baadae haina ukomoBaadae tunaendelea wakuu jana nilibanwa kidogo na mambo ya kifamilia
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Baadae ipi mzee, , , , , ????Unaifanya hii inakuwa uraibu sasa dah!!!๐Baadae tunaendelea wakuu jana nilibanwa kidogo na mambo ya kifamilia
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Hii story nliwaambia watu si ya kweli. Ni story ya kubuni. Jamaa analazimisha ionekane kweli wakati katika masimulizi yake tu anaonekana ni ya uongo. Na uongo wa kitoto. Yaani hayupo smart enough kuifanya ionekane ya kweli. Na si mzuri katika kusimulia pia. Angetafuta waandishi wazuri wamsaidie.Kwenye story ya kweli hapo hapana..... Kuna sehemu anasema Merry kafariki 2012..... Mara huko kaenda 2016....
2012.... Anaizungumzia Alteza na Alphard bongo hapana zilikuwa bado.....
Na kingine uwezo wa kukariri miji na majina ya mito kote alikopita siyo kweli.... Unless Kama Kama alitembea na notebook awe ana note down kila anachokiona..... Which siyo kweli kwa jinsi scenarios zilivyo.....
Ni story nzuri ya kutunga ila siyo uhalisia.... Kajitahidi kufanya vizuri homework yake tumpe maua yake kwa hilo
Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app