Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Hii miji kuweko chini ya bahari ni really kabisa sio faking story wakuu.naamini hivyo kwa sababu hata kwenye maziwa baadhi ipo miji ya zamani Sasa hv tayari iko chini ya maji,mfano ziwa nyasa ambalo binafsi nimepita mule ,pale mji wa kyela mjini wa Sasa hivi ,ule ulihisha lakini ipo kyela old town ambayo kwa Sasa iko chini ya maji ,lile ziwa liliongezeka kina na kuumeza mji wa zamani wote ,hivyo ikawabidi wahamishe mji na ukawa wa Sasa kyela mjini.so hizi story za miji ndani ya maji ni true story kabisa.
 
Amobi na Obi mkataba wao, kazi pamoja na training zilitakiwa kufanyika hapohapo nchini Colombia lakini kwa upande wangu nilitakiwa kwenda Peru.

Mzee wake na Miguel alinitambua kwa jina la mustapha na akitaja taaluma yangu eti nilikua ni chemical processing engineer na alikua na kitambulisho changu cha mzanzibari mkazi. Kwa kua nilishakubali jina hilo hakukua na namna ya kukataa kama sikua mimi kwa hata zile hati za kusafiria ziliandikwa MUSTAPHA ABDUL-QADR MAKUNGU.

Kitambulisho hicho cha mzanzibari mkazi sikuwahi kukiona na sikujua kilifikaje hapo.
Aliendelea kwa kusema mpaka chuo nilichopitia kinaitwa Eduardo Mondlane University, Maputo-Mozambique.

Niliendelea kumsikiliza mzee huyo ambae alikua anaongea kwa uhakika na kile alichokua anakisema huku akiamini ana nijua in and out.
Alitumia kingereza cha ajabu sana kilichochanganyika na kihispania Huku ka rafudhi ka ki Mexican kwa mbali.

Nikiwa naendelea na baba ake na Miguel alikuja mzungu mmoja mrefu mwenye nywele nyingi za blonde. Na kisha kumchukua Amobi na Obi ambao walijaribu kuulizia nyaraka zao hususani passport lakini bila mafanikio waliondoka huku mzungu yule akisisitiza wanachelewa wapo nje ya muda.
Kiukweli tokea tumefika Cabo de la vela niliona treatment yetu imebadilika kwa kiasi kikubwa sana.

Kulikua hakuna tena kubembelezana zaidi ya amri tu, ata swala la chakula kuanzia tuna fika Cabo de la vela ilikua sio option tena bali utakula kile kinachopatikana.

Kwa maelezo mafupi sana bila kurudiarudia, mzee wake na Miguel alisema usiku wa siku hiyo mimi na baadhi ya wenzangu tunaoelekea mashambani tunatakiwa kusafiri na meli ya panama.

Tukiwa ndani ya bus tunaelekea sehemu ambayo sikuweza kuitambua lakini ilikua pembezoni mwa pwani ya Cabo de la vela. Nilizishuhudia sura ngumu zilizokata tamaa ya kuendelea kuishi wengi walikua kama mateja wengine kama vichaa kabisa.

Niliumia baada ya kujua kama wale ndio co-workers (wafanyakazi wenzangu) kwani walinikatisha tamaa ata ya kufikiri kama tuendako kuna uhai kabisa. Ndani ya bus lile kulikua na askari waliovaa kiraia ila ungetambua kama ni askari Kwa kuona mitutu iliyofichwa kwenye koti yao.

Wale wenzangu waliniangalia kwa kunitamani sana huku nyuma ya siti yangu kulikua na mzee wa karibia miaka 60 kwa kumuangalia. Mzee yule alitumia jina la kunta kinte, niliamini ametumia jina lile kwakua nilikua mweusi peke yangu ndani ya basi lile.
ukieka nitag
 
Nilionekana ndio kijana mdogo kuliko wote ndani ya basi lile kwa umri lakini pia muonekano na hata hustling za maisha.

Mzee yule ambae alikua na kofia aina ya pama kubwa alionekana kupenda sana kuzungumza kingereza lakini hakua na uwezo huo kabisa. Ila nilitambua dhumuni lake lilikua ni kujua natokea sehemu gani afrika, yeye ali guess natokea Kongo kwani huko ndiko eneo ambalo halikua tulivu kutokana na vita na vijana wengi hutimkia ughaibuni.

Waliniumiza baada ya kunicheka kwa kusema nimepotea njia ambapo mmoja wao alizungumza kingereza huku alicheka nakusema " The nigga is now heading to hell motherfucker".

Baada ya kauli ile walicheka bus zima huku wakinitazama na wengine kunionea huruma. Kwani nilionekana kabisa kutokua na ufahamu wa chochote kuhusu niendako.

Tukiwa ndani ya bus tunaelekea sehemu ambayo nilihisi Ndio sehemu tunayoenda kwa ajili ya meli, Mzee yule mwenye pama alisimama na ku shout kwa nguvu kama ana njaa na anahitaji chakula kwani wamesafiri karibia siku nzima.

Baada ya mzee yule kusimama aliendelea kulalamika na baadae ilitoka amri akae chini na hapo niligundua alikua ni mtu wa Mexico. Na Kelele za Mzee yule wa kimexico zilisaidia kwani tulipewa msosi mzito uliokua umefungwa kwenye foils.

Chakula kile kilikua cha kawaida sana ukilinganisha na misosi niliyopiga hapo awali wakati naanza safari. Kwa moyo mkunjufu niliamua kuacha kusononeka na kuendelea na safari kwani sikua na namna yoyote ya kutoka mikononi mwa majamaa wale.

Haikua safari ndefu kwa usiku ule ukilinganisha na safari za hapo awali nilizozipitia mpaka kufika hapo. Hivyo tulitumia takribani masaa matatu kufika sehemu ya pwani ambapo tulipanda meli ya wavuvi iliyotusogeza mpaka katikati ya maeneo ya bahari ya pacific.

Wakati tunakaribia katikati ya pacific nilishuhudia meli kubwa iliyobeba kontena na iliyokua na maandishi makubwa ya PANAMA. Tulisogea kuikaribia meli hiyo huku nikiwaona watu wakishusha ngazi taratibu ambayo ilikuja kutua kwenye ile meli ndogo iliyotubeba.

Haikua kazi rahisi kupanda ngazi ile kwani hiyo meli ya kontena ilikua kubwa na ndefu kwenda juu hivyo ili hitaji nguvu za zaidi. Lakini hatukua na namna kwani ilikua ni lazima ha na hakutakiwa mtu yoyote kubaki kwenye meli ile ya wavuvi.

Baada ya kupandisha ngazi ile mmoja baada ya mwingine tulipewa maelekezo ya kusimama sehemu
moja iliyoandikwa gang-way.

Tulipokua gang-way alikuja Miguel akiwa amefuatana na McKenzie, niliona nafuu baada ya kumuona McKenzie huku nikipata tumaini jipya. nikidhani kama naweza kanusha mawazo yangu na kuangalia namna gani naweza ludi nyumbani.
McKenzie hakuonyesha dalili za kunifahamu kabisa na ata nilipo msogelea alinipa onyo huku akisisitiza kwa maneno mawili tu. Keep distance!!

Alichokua anakifanya McKenzie ni kuhakikisha list ya majina yake na idadi ya watu waliopokelewa na meli ile kubwa ya mizigo.

Baada ya kujiridhisha alitoa ishara na ile meli ya wavuvi ikaondoka. Kwa idadi tulikua kama 14 na tulienda kukaa sehemu moja ambayo ni dhahiri iliandaliwa kwa ajili yetu.
Tulipewa blanket nzito ili kupambana na baridi kali la pacific na kuanzia hapo sikumuona tena McKenzie wala Miguel..

Alikuja bwana mmoja na akatuchukua watu kama wanne ambao tulionyesha kama tuna nguvu miongoni mwa wale tulioingia kutoka kwenye meli ya wavuvi.

Tulikabidhiwa vyuma vifupi ambayo vina muundo wa T (spammer) na maelekezo yalikua ni kukaza vyuma vilivyokua vimeshikiria kontena hizo. Kwa haraka niligundua hapo tunakaza kontena zile ambazo zilizoonekana kuchezacheza baada ya safari ya muda mrefu.

Kwa maelekezo ya mabaharia vile vyuma tulivyokua tunavikaza vilikua vya aina mbili, kulikua na long-bar na short sticks. Au lashing rods kwa jina moja, Long-bar zilifunga kontena mbili kwa Wakati mmoja.

Baada ya kumaliza zoezi la kukaza vyuma hivyo, tulipewa zoezi lingine la kukusanya vyuma vidogo vizito sana viliitwa base twist lock. Tulizunguka karibia sehemu zote kuzunguka meli ile na baada ya zoezi kukamilika tulipewa chakula kingi sana.

Nililudi pale sehemu tulipoandaliwa kwa ajili ya kupumzika na mwishoni nilipotelea usingizini huku nikiilaumu nafsi yangu huku nikijifanya sitaki kabisa kujutia ujinga wangu.
Nilipotelea usingizini.........
 
Well
 
Boss na mimi unitag story nzuri
 
raskaka Shunie Lucha Antonnia Dr Restart baby zu Analyse DeepPond Chizi Maarifa dr namugari Gily
 
Iko good sana, mkuu naomba kuuliza hii story ni ya kweli?
Sina hakika na simulizi ya mleta Mada...

Ila kuhusu Mji mkongwe uliopotea wa Rapta huko pwani ya Afrika Mashariki ni kweli ulikuwepo. Ilikuwa ni Dola kubwa yenye nguvu na Tajiri kweli kweli..

Baada ya mfumo wa Elimu kuchezewa ndio tukalambishwa na kionjo cha mji wa Kilwa.

Kuna Prof. UDSM wa mambo ya Kale amefanya tafiti kuhusu huo mji wa Rapta na ana machapisho kadhaa.
 
It's real broh !!! Endelea kusoma utagundua kila kitu ni cha kweli.
Nakukubari kamanda na itakuwa nimeshakufahamu, mambo uliyoelezea kuhusu sengerema high school hakuna la uongo hata moja, salute sana.
 
Back
Top Bottom