Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Kama hapo camp watu walikuwa hawalipwi ina maana mlikuwa watumwa? Na je kuna harakati gani za hao watu kujiondoa utumwani?
Pili Javier alisema hauzuiliwi kuondoka physically bali psychologically mbona ni maneno yanayopingana na nene la Javier kuwa camp ina ulinzi mkali sana.
 
Ndoo maana yake,msosi na madawa ndo malipo Yao,ila Hawa watu wa madawa ni kipengere na huwa hawana maisha marefu!
 
Script ikiwekwa vizuri Hollywood wanaweza kuitengenezea movie sema bongo movie hawawezi budget yake itakuwa kubwa, hizi issue za ma drug lord Hollywood wanazipenda sana
Kwa hio watafute wataalamu waiweke vizuri waiuze Hollywood, Nigeria hawawezi kuicheza?
Mi nadhani hata kitabu inafaa ila aongeze matukio aweke na mchsnganyiko wa Visa visa vya watu wengine.
Mi anasubiri ile part ya "keep promise"!
 
Kama hapo camp watu walikuwa hawalipwi ina maana mlikuwa watumwa? Na je kuna harakati gani za hao watu kujiondoa utumwani?
Pili Javier alisema hauzuiliwi kuondoka physically bali psychologically mbona ni maneno yanayopingana na nene la Javier kuwa camp ina ulinzi mkali sana.
Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa drugs, yaani once ukiwa mtumwa kwa drugs u'll be slave for life. Na namna yako ya upambanaji ni kwamba utapambana upate drugs na sio utoke kwenye drugs.

Camp ina kitu kinaitwa invisible security ili kuwapa watu uhuru wa kazi, Lakini 99.99% hakuna anaetoroka tutajua hapo baadae.
 
NGOJA TUMALIZANE NA RAPTA KWANZA.
Logopit_1684650559679.jpg
 
Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa drugs, yaani once ukiwa mtumwa kwa drugs u'll be slave for life. Na namna yako ya upambanaji ni kwamba utapambana upate drugs na sio utoke kwenye drugs.

Camp ina kitu kinaitwa invisible security ili kuwapa watu uhuru wa kazi, Lakini 99.99% hakuna anaetoroka tutajua hapo baadae.
Una manisha wale walikuwa watumwa huru tofauti na watumwa wa brazili na USA ya zamani?
 
Yaaani naposoma hii story nahama kabisa kifikra . Hii inatakiwa iwe na kitabu kabisa hapo unaweza piga mpunga wa maaana .
Hata movie pia inawezekana na ikafanya vzri sana ikipata director anaejua nn anachopaswa kufanya.
Ila mtunzi jaribu kwenda speed kidogo kwenye kutupia Ep aisee.
Weekend kama hii huna haja hata ya kuzurura kama utaaachia episode za kutosha[emoji16][emoji16] ni mwendo wa popcorn na pepsi baridi. [emoji1787][emoji1787]
 
BRO HATA KWENEY PDF UNAKULA WEEKEND..JAMANI MCHANGIENI HIZO BENGA BENGA ZA BANDO ATUPE STORY ZA MANUELANA ALIONDOKA VIP CAMP..STORY ZA PALE NI TAMU KULIKO ZA KUSADIKIKA ZA JAVIE NA PAPTA YENYEWE..
 
Back
Top Bottom