madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Duh kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoo maana yake,msosi na madawa ndo malipo Yao,ila Hawa watu wa madawa ni kipengere na huwa hawana maisha marefu!Kama hapo camp watu walikuwa hawalipwi ina maana mlikuwa watumwa? Na je kuna harakati gani za hao watu kujiondoa utumwani?
Pili Javier alisema hauzuiliwi kuondoka physically bali psychologically mbona ni maneno yanayopingana na nene la Javier kuwa camp ina ulinzi mkali sana.
Script ikiwekwa vizuri Hollywood wanaweza kuitengenezea movie sema bongo movie hawawezi budget yake itakuwa kubwa, hizi issue za ma drug lord Hollywood wanazipenda sanaHili ni bonge la movie ujue daah [emoji847]
Kwa hio watafute wataalamu waiweke vizuri waiuze Hollywood, Nigeria hawawezi kuicheza?Script ikiwekwa vizuri Hollywood wanaweza kuitengenezea movie sema bongo movie hawawezi budget yake itakuwa kubwa, hizi issue za ma drug lord Hollywood wanazipenda sana
Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa drugs, yaani once ukiwa mtumwa kwa drugs u'll be slave for life. Na namna yako ya upambanaji ni kwamba utapambana upate drugs na sio utoke kwenye drugs.Kama hapo camp watu walikuwa hawalipwi ina maana mlikuwa watumwa? Na je kuna harakati gani za hao watu kujiondoa utumwani?
Pili Javier alisema hauzuiliwi kuondoka physically bali psychologically mbona ni maneno yanayopingana na nene la Javier kuwa camp ina ulinzi mkali sana.
Una manisha wale walikuwa watumwa huru tofauti na watumwa wa brazili na USA ya zamani?Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa drugs, yaani once ukiwa mtumwa kwa drugs u'll be slave for life. Na namna yako ya upambanaji ni kwamba utapambana upate drugs na sio utoke kwenye drugs.
Camp ina kitu kinaitwa invisible security ili kuwapa watu uhuru wa kazi, Lakini 99.99% hakuna anaetoroka tutajua hapo baadae.
Saldana ni hatari na nusuMovie ikiitwa Escape From Huallaga Coca Prison itabamba sana,
Zoe Saldana kama Manuela