What?Pencil Bibah?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What?Pencil Bibah?
Duh binafsi leo sijakuelewa kabisa nmefatilia hii stry mwnzo mwisho lakn leo naona ni stry nyingine tofautKikongwe huyo bwana Schulz ambae pia ni veteran wa ki-NAZI aliendelea kutoa maelezo machache Kuhusu vita ya roman-persian.
Bwana Schulz alidai:-
Kwa zaidi ya miaka 400 Roma na uajemi zilikua ni dola zenye nguvu sana kwa ukanda wote wa magharibi ya Eurasia. Dola hizi zilitawala kwa muda mrefu ulimwenguni kuanzia Atlantic kuelekea Indus, ukubwa wa Dola hizi ndio ulipelekea uadui baina yao ambao ulizaa mfululizo wa mapigano yaliyoitwa Roman-persian wars.
Roman-persian wars, ilikua sio vita ya kuisha usiku mmoja bali ilikua ni mfululizo wa vita zilizochukua karne na Karne mpaka kumalizika kwake.
Hii ilitokana na uhasama mkubwa uliokuwepo kati ya mataifa haya makubwa ya wakati huo. Kilichonishangaza zaidi ni periodization ya vita hizo, kwani kwa mujibu wa bwana Schulz na Shahzad ni kwamba series ya vita hizo zilianza 52 BC ( MWAKA 50's KABLA YA KRISTO).
Vita ilihusisha mataifa yaliyojulikana kama Greco-Roman na Iran ambayo ilijumuisha falme mbili nazo ni waparthian na wasasania (parthian na sasanian).
Mapigano yalidumu mpaka kufikia mwaka 628 AD.
Persian empire with (sasanid dynasty)
( Picha PDF)
Tuwekane sawa hapa kwenye neno AD na BC tunapokua tunasoma miaka ya matukio ya kihistoria. Neno BC (before christ) linatumika kuelezea matukio ambayo yalitokea kabla hata yesu hajazaliwa.
Kwa maana hiyo vita au uhasama wa Roma na uajemi ulianza kabla hata messiah (yesu) hajazaliwa.
AD linasimama kama kifupi cha (Anno domini) yaani the year of the lord au mwaka wa bwana, apa huyu bwana bila shaka wanamaanisha bwana yesu. Hivyo basi vita ilikuja kuisha miaka 620's tangu azaliwe yesu, unaweza kuona ni namna gani vita hii ilidumu.
Kwa hesabu za haraka vita hii ilidumu kwa zaidi ya miaka 600, yaani watoto na vizazi vinazaliwa vinakuta vita na wanakufa wanaacha vita ikiendelea.
Familia ya Shahzad walikua ni wasasania kutoka uajemi ya kale hawa wasasania waliwafuata waparthian kama watawala wa Iran au uajemi ya kale.
Kwa kutumia TRIREMES meli ya kivita iliyoaminika kwa kuwa na speed zama zile wasasania walikua na jeshi imara na lenye nguvu sana.
Vita za kizamani zilikua na mambo mengi sana mfano wale walioitwa war captives au mateka mara nyingi walitumika kama watumwa kwa ule upande uliowateka.
Wakati wa vita kulikua na matendo mengi yakiwemo ya uporaji na yale ya utekaji kwa kutumia meli na wanajeshi
Ukoo wa Shahzad wakiwa kama ndio ma nahodha wa TRIREMES NA BIREMES mara nyingi walikua ndio wasimamizi wa kila mali au hazina iliyoporwa wakati wa vita hizo.
Kwenye mfululizo wa vita zote hizo baina ya mafahari hawa wawili kulikua na vita moja maarufu sana ilijulikana kama BATTLE OF EDESSA.
Battle of Edessa ilipiganwa kati ya Roma na majeshi ya sasanian au wasasania, kwa wakati huo roma ilikua chini ya emperor valerian na upande wa Persian au wasasania walikua chini ya shahanshah shapur I.
(Picha PDF)
HAPO JUU NI MAGOFU YA WASASANIA UAJEMI YA KALE
Kwenye vita hii Roman walipigika sana kiasi kwamba mpaka emperor wao alikamatwa na kufungwa na wasasania. Wakati wa vita hii falme za Roma zilipoteza vitu vingi ikiwemo na zile hazina sensitive za falme hizo.
0623329512 Whatsapp
Hiyo simulizi inatolewa na Schulz akielezea matukio ya mipigano kati ya waajemi wa warumi, anza mwanzo utamuelewa tu bossDuh binafsi leo sijakuelewa kabisa nmefatilia hii stry mwnzo mwisho lakn leo naona ni stry nyingine tofaut
WellTUNAENDELEA
Uhalisia wa mambo ulivyo na kulingana na machapisho yale ya Claudio Ptolemy, ni kwamba Ptolemy yeye alionyesha tu ni wapi ulipo mji wa rapta.
Ila Kuhusu ni namna gani rapta ilikua na mali, nguvu pamoja na ushawishi wake kwenye eneo lote kuzunguka azania kiukweli Claudio Ptolemy hakuandika chochote kwenye machapisho yale.
Sasa Shahzad wa pili yeye alipata kusikia habari za mji huu wakati Akiwa kwenye biashara zake huko azania (ukanda wa Africa mashariki).
Mara nyingi wafanya biashara hawa wa bara Arab walipokutana waliongea kuhusu mali iliyopo ndani ya mji huo uliozama baharini kwenye bahari ya Indi.
Baada ya kupita miaka 170's tangu kuzama kwa mji wa rapta, taarifa nyingi zilizohusu rapta zilibaki kwa wageni kwakua wenyeji walionekana kuwa na madhaifu makubwa kwenye utunzaji wa taarifa
Mara nyingi wenyeji wa pwani ya Africa mashariki walitegemea kurithishana taarifa kwa njia ya masimulizi huku wenzao wageni walitunza taarifa kwenye maandishi.
Wale wataalamu wa history wanaweza kusema kwamba waafrika tulitgemea (masimulizi) oral traditional wakati wenzetu walikua wakihifadhi taarifa kwenye maandishi.
Hivyo kwa kutegemea masimulizi ilikua ni rahisi sana kupoteza history ya sehemu yoyote kwani tulitgemea uwepo wa anaejua history husika. Mara tu msimuliaji anapokufa na historia imekufa.
Kuna wenyeji wachache sana mpaka kufikia karne ya tano ndio walijua kuandika na kusoma, lugha waliyojua kuindika na kuisoma Ilikua ni kiarabu hii ilitokana na wageni wao wa mwanzo mwanzo kua ni watu wa bara Arab.
Hivyo tunaweza kusema wenyeji hawakua na taarifa za uhakika zinazohusu rapta isipokua zile za kusadikika. Hii ilitokana na hao wenyeji kukosa utaratibu mzuri wa kutunza au kuandika historia yao.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona waafrika tunaisoma historia yetu ya ndani kupitia machapisho ya wageni yaani wazungu na waarabu.
Shahzad wa pili sasa aliamua rasmi kuweka makazi yake ukanda huu wa pwani ya Africa ambao ulifahamika kama Azania.
Sababu ya Shahzad wa pili kuweka makazi yake huku Quiloa (kilwa) maeneo ya kuzunguka Azania ilikua ni kuhakikisha anaipata milki au mji ule wa rapta ambao ulizama baharini.
Kulingana na maelezo ya Shahzad ni kwamba sababu za kuzama kwa mji wa rapta bado ni controversial sana.
Kwani kuna nadharia tofauti tofauti zinazokinzana zikielezea sababu hizo, sababu hizi zipo zinazo shikiliwa na wenyeji lakini pia zipo zinazo shikiliwa na wageni.
Hapo baadae tutazielezea nadharia hizo kwa undani katika namna ambayo wageni na wenyeji wa pwani ya azania wanakinzana.
Sasa basi tukumbuke Wakati huu wa huyu Shahzad wa pili, mji wa kilwa au (Quiloa) kama ulivyotamkwa na wareno wa mwanzo. ulikua bado mchanga sana na haujafikia ule umaarufu uliokua nao ambao tulipata kuusikia.
Shahzad alikuja ku settle kilwa (Quiloa) mnamo karne ya tano kuelekea ya sita ili kuhakikisha anaupata mji huu,
na hizi ndio sababu zilizompelekea ku settle kilwa.
Sababu ya kwanza; mnamo karne ya tano na ya sita kilwa ulikua mji mchanga sana ukiwa na idadi ndogo sana ya wageni.
Hivyo kukosekana kwa wageni hususani wale wageni wa kireno na kiingereza kungempa Shahzad uhuru mkubwa wa shughuli yake hiyo.
Hapa tunaweza kuona kwamba mji wa kilwa ulikua kwa kasi kuanzia miaka ya 950's AD au tunaweza kusema karne ya kumi. Lakini mji huu ulianguka ghafla mnamo karne ya kumi na tano yaani mwaka 1505 AD na hii ili sababishwa na ujio wa wareno na waingereza.
Sababu ya pili; Shahzad alikuja ku settle kilwa (Quiloa) kwa sababu tu kulingana na machapisho yale ya Claudio Ptolemy ni kwamba mji wa rapta ulipatikana kaskazini mwa Quiloa ( kilwa). Hivyo kwa kutumia direction hiyo Shahzad aliamini akija ku settle kilwa kazi haitokua ngumu kabisa.
Sababu ya tatu; miongoni mwa machapisho yale aliyokua akiyaangalia Shahzad. Lipo lililohusu au lililomuhusu nahodha wa kigiriki (Greek captain) aliyejulikana kwa jina la Theophilos.
Kulingana na Theophilos yeye alikua anatumia muda wa mpaka siku 21 hadi 22 kutokea horn of Africa hadi kufikia rapta.
Sasa ni hivi kwa Wakati huo ambao technology ya usafiri wa bahari ilikua bado haijakua ni kweli wafanya biashara wengi walitoka Horn of Africa mpaka Quiloa ( kilwa) kwa idadi ya siku hizo hizo.
Hivyo basi chapisho hilo la Theophilos lilimuaminisha kwamba rapta haitakua mbali na kisiwa hicho cha Quiloa.
Tunaposema horn of Africa inajumuisha nchi kama nne hivi ambazo ni Djibouti Eritrea, Ethiopia, Somalia. Hizi ni zile nchi zinazopatikana kwenye lile pembe la Africa.
NB: taarifa hizi za rapta zinatoka kwa Shahzad, sio zile nilizozipata mimi mwenyewe kutoka Tehran. Episode za mbele tutaona taarifa nilizozipata mimi mwenyewe kutoka Tehran nikiwa fatemeh (Manuela).
Hata Mimi chief anatupeleka mbele sana tuna changanyikiwaOk kiu ysngu ni kutaka kujua ulitokaje camp ya Peru yenye ulinzi mkali
Daaah!!!TUNAENDELEA

🤣🤣🤣Niligundua jambo moja kwenye uzungumzaji wa kingereza, yaan kama sio mzoefu wa lugha ile basi ukizungumza mda mrefu namaanisha ukitumia saa nzima, kuna njaa ya ajabu na uchovu vita kupata.