Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Wale jamaa walipoa huwezi amini kama ndio wale waliokua wanataka kunifanya vibaya mtoto wa watu.

"perdónanos a todos"

Zilikua ni sauti za wale jamaa wakiomba msamaha, nilitamani kujua Javier ametoka wapi usiku ule na mavazi yale.

Sikujua javier aliongea nao nini ila niliona wale jamaa kinyonge sana walishusha suruali mpaka magotini na kuinama.

JAVIER: f**k them
( Washughulikie)

MIMI: I can't broh!!!!!
( Siwezi kaka)

JAVIER: what the f**k!!!!
( Ujinga gani huu)

Javier aliongea kwa hasira sana, na mara hii aliniambia kitu kimoja kwamba pale nilipo natakiwa kubadilika ile roho ya kikanisa sitakiwi kuwa nayo tena.

Daaaaah!!!! Unajua wakati nipo school mi ndio nilionekana muhuni sana kuanzia matendo yangu ukijumlisha na vibangi vyangu. Lakini sasa baada ya kutembea nimegundua sikua muhuni ata kidogo yaan nilikua level ya mwisho ya watoto wa mama.

Aliniambia siku ile alijiskia tu kunisaidia kwani ni wengi hufanywa hivyo na yeye hapendezwi na tabia zile. Sasa mi nilitakiwa kuwaonyesha wale jamaa kuwa kitendo wanachowafanyia wenzao kinaumaje.

Kiukweli nilijaribu kuvuta hisia lakini ilishindikana nikiangalia wale wazee wa kazi jinsi walivyo mabaunsa. Nilimuomba Javier anisamehe kwakweli kile kitendo kilikua kigumu kwangu nisingeweza.

Aliingia bwana mmoja ambae alionekana kuwa smart sana, bwana huyu hakufanana kabisa na maeneo yale. Yaani kwa haraka ungemuona ungesema anaweza akawa ndio kibopa au boss wa mashamba yale.

Alivalia suti moja iliyoonekana kuwa expensive (ghali) sana ya kiitaliano brand ya KIRED. Yule bwana Alikua ananukia vizuri sana na alipofika tu kabla ya kuongea chochote Javier aliniambia niondoke eneo hilo.

Nilianza kupanda mlima kurudi camp nikiwa hoi na njaa ya kufa mtu. Niliwaza niende kwa Catarina kuomba msosi lakini nafsi ilikataa kabisa hususani nilipowaza kwamba Catarina ndio chanzo cha kila kitu kilichotokea muda ule.

Kuna muda niliwaza labda Catarina amenifanyia makusudi baada ya kuona kama naanza kuwa karibu na Manuela.

Niliwaza hivyo kwakua baba yake na Miguel alishatoa go ahead nirudi kuendelea na majukumu lakini wale jamaa walinikomalia.

Hivyo mpaka kufikia muda huo niliamini zile zilikua ni fitna za catarina maana sikuona sababu ya mimi kuonekana msaliti. Sikutaka kuamini kama kosa langu lilikua ni kutengeneza product nzuri ambayo yeye mwenyewe alishindwa kuitengeneza.

TUJUZANE KITU KIMOJA MUHIMU

Nchini Iran kuna kikundi kinaitwa IRAN MONARCHY COMMITTEE au TONDAR (thunder) hiki ni kikundi cha baadhi ya watu wenye asili ya persia ambao wanaishi nje ya Irani.

Na hapa inasemekana idadi kubwa ya watu au wanakikundi hao wanapitakana Los Angeles huko marekani na kilianzishwa mwaka 2004.

Misheni yao kubwa ni kwamba wanataka kuipindua ile Islamic Republic ambayo ipo madarakani kwa kuiweka serikali ya kimonarch kama ilivyokuwa miaka ya huko nyuma.

Mara kadhaa kikundi hiki kimehusishwa na matukio ya kigaidi kama lile tukio la kulipua msikiti la mwaka 2008. Japo hawa wanakikundi wenyewe wanadai ni makosa kukihusisha kikundi chao na matukio ya kigaidi.

Msikiti wa Hosseynieh seyed Al-shohada ulipolipuliwa lilihesabika ni tukio la kigaidi kwa nchi ya Iran. Hivyo ministry of intelligence ya iran ilitangaza kuhusika kwa kikundi hicho kwenye mlipuko huo.

Kwanini nimetoa maelezo haya, nataka wote tujue kama kuna kikundi kinaitwa TONDAR huko Iran lakini makazi yake yapo nchini marekani.
Baadae tusiwe na maswali mengi vichwani mwetu.

Nilitumia dakika chache sana mpaka kufika ilipo kambi na kupandisha ngazi kisha nikajilaza kitandani. Niliamini usiku utakua mrefu sana kutoka na njaa lakini pia maumivu ya kipigo cha wale jamaa.

Sikutaka kuwaza kabisa kuhusu wale jamaa na wala sikutaka kuamini kama javier atafanya kile alichokua anataka nikifanye.

Lakini kwa siku hiyo nilimjua Javier kwa upande mwingine kwani alionekana ni katili sana na hana huruma kabisa.

Nilijiuliza ilikuwaje akawa vile usiku ule, zile damu alizitoa wapi lakini pia lile koti sijawahi kumuona nalo.

Kuna uwezekano mkubwa kuwa anavyotoka usiku mara zote ndio anakwenda kwenye shughuli hiyo. Aiseee niliwaza hadi nikahisi kichwa kuumwa na klsikutaka kuendelea kuwaza.

Mawazo yaliniambia Javier akiniletea msosi atakua amecheza kama Pele maana siku hiyo nilikua na uhitaji wa msosi kuliko siku yoyote.

Nikiendelea kuwaza mawazo ya hapa na pale kuhusu msosi,

si unajua tena ukiwa na njaa nikakumbuka mpaka top layer ya shule na hapo nilijua kweli nimebanwa na njaa.

Nilihisi mlango unafunguliwa lakini aliyekua anafungua hakutaka kujulikana kama anaingia kwani sikuhisi hatua kabisa. Kutokana na giza la eneo lile sikuweza ata kuhisi ni nani kwani angekua Javier ningejua tu.

Lakini pia mida ya kurudi Javier bado kabisa tena kwa nilivyomuona kule alionekana kuwa na majukumu mengi zaidi kwa siku hiyo. Lakin ata hivyo huyo anaefungua alionekana kuwa na ustadi mkubwa wa kufanya vile ilikua ni kama ninja anavyotembea.

MIMI: who are you
(Nani wewe)

Nilisikia mtu akijibu lakini kwa sauti ya kike,

Did they f**k you
( Vipi jamaa walikuacha kweli)

Kwa sauti ile nilijua ni Manuela, ana mara kidogo nilihisi harufu ya chakula kizuri ndani mule hapo mate yalianza kutoka.

Alikuja na akakaa juu ya kitanda changu huku akitoa package iliyojaa misosi kisha akaiweka kitandani.

Hapo sikujali kuhusu kunawa kabisa, nilikurupuka nikaweka mdomoni pande moja kubwa sana la samaki.

MANUELA: you have to pray before eating
(Unatakiwa kuomba kabla ya kula)

Wakati huo nilishaweka chakula mdomoni,hivyo niliganda kama sekunde kadhaa nikiwaza nimjibu nini.

MIMI: I don't have that habit
( Sina mazoea hayo)

MIMI: may you please pray for me
(Unaweza kuniombea?)

Manuela alitoa tabasamu moja ambalo lilifanya sura yake ionekane kuwa ya kirembo zaidi na hapo nilikumbuka ile kauli.

Pale ni kama bar ukifika wahudumu utaona hakuna aliyemzuri kuliko mke wako ila bia zikianza kupanda kila muhudumu anakua miss beautiful hahahahahah

Yaaah!!!! Nilianza kuona kama taratibu taratibu nakwama kwa Manuela. Hakika alivyonisogelea nilianza kugundua urembo wake uliofichwa na unga.

Baada ya kumuomba Manuela aniombee ili niendelee kula msosi kwani haikua kawaida yangu kusali kabla ya kula. Nilimshangaa zaidi pale alipo tamka

Bismillah.......

Tena aliitamka kama mzoefu sio kama mgeni wa maombi hayo.

" Daaah!!!!!!! Hawa wapumbavu kila siku wananiletea mapicha picha mapya sasa mla unga wa brazil na Bismillah wapi na wapi" niliwaza hivyo.

Manuela alijua nimeshangaa kwa yeye kusema vile, na alisisitiza kua yeye amekua akisema hivyo wakati anaanza kula na mwisho akimaliza husema.

Alhamdullilah........!!!!!

Poleni ndugu zangu wananchi kwa kupoteza mchezo
Wale wa PDF wapo mbali kwenye usomaji 0623329512 unalipia buku 3
 
Wale jamaa walipoa huwezi amini kama ndio wale waliokua wanataka kunifanya vibaya mtoto wa watu.

"perdónanos a todos"

Zilikua ni sauti za wale jamaa wakiomba msamaha, nilitamani kujua Javier ametoka wapi usiku ule na mavazi yale.

Sikujua javier aliongea nao nini ila niliona wale jamaa kinyonge sana walishusha suruali mpaka magotini na kuinama.

JAVIER: JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala them
( Washughulikie)

MIMI: I can't broh!!!!!
( Siwezi kaka)

JAVIER: what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!!!

Manuela anaonekana ni mtu makin mno ktk kuficha utambulisho wake halis

Lkn baada ya kukutana na ww faragha umakin wake umepungua

Kwa nin???
 
Anahitaji kunitumia ili afanikishe misheni yake ambayo hatuijui
 
Sema mkuu siku hizi inakuwa fupi sana aseee
Mwanzo alikua anadabo post

Baadae akawa anaweka singo lkn ndefu na watsup ilikua buku mbii tu

Sasa hv anaweka singo alaf fupj na watsup buku tatu

Ipo siku atatujuza kuwa ametingwa hawez post na km tuna haraka twende ...
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
Anyway kajitahidi hata hivyo maana kutunga hadithi c mchezo
 
Mwanzo alikua anadabo post

Baadae akawa anaweka singo lkn ndefu na watsup ilikua buku mbii tu

Sasa hv anaweka singo alaf fupj na watsup buku tatu

Ipo siku atatujuza kuwa ametingwa hawez post na km tuna haraka twende ...
Ushawahi kuandika hadithi hata moja?
 
Back
Top Bottom