Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Hivi fetty alishaliwa ile ya kabsa?
Uzuri wa mwandishi anafanya edu_entertainment.
Kongole
 
Unaweza kuwa sahih kuataja majina na maeneo ila kukaa na IRGs agent tena mwanamke hilo nakataa iran kuna sheria kali sana mzee
Nikiwaambia dogo ni muongo muongo mnakuwa wakali kuwa nawaharibia. Story ni ya kutunga na itamuwia vigumu kuiendeleza sababu kuna sehemu facts zitapingana naye. Ni hadithi ya kitoto sana ya uongo.
 
Ni kweli mkuu ila Samahani sana, nina majukumu mengine mengi hivyo sio muda wote nakaa chini ku recall matukio na kuyaandika kikubwa tuvumiliane tu na mzigo utaisha boss.
Hawajui kuwa kutunga ni kazi kuliko kuandika kitu halisi. Sema unatakiwa ukae na watunzi wazuri wakuelekeze usiwe unaandika unabore na kujaza maneno mengi yasiyo na tija. Pia ujifunze kuandika uongo unaokaribiana na ukweli. Upande wa Ujasusi hujajua namna ya kutunga stories zake unaelezea kama hadithi ya mtoto wa darasa la 7 anayependa ujasusi ila hauelewi.
 
Nikiwaambia jamaa ni muongo muongo mnakuwa wakali kuwa nawaharibia. Story ni ya kutunga na itamuwia vigumu kuiendeleza sababu kuna sehemu facts zitapingana naye. Ni hadithi ya kitoto sana ya uongo.
Mvuta bange wa temeke alale nyumbs moja na spy iran waoigane denda kwenye gari??Iran sio manzese,Ronaldo mwenyewe kawekewa masharti magumu kuhusu uzinzi
 
Mvuta bange wa temeke alale nyumbs moja na spy iran waoigane denda kwenye gari??Iran sio manzese,Ronaldo mwenyewe kawekewa masharti magumu kuhusu uzinzi
Dogo muongo hajielewi na anadhani sisi wote vilaza. Hakuna spy angekuwa anamshirikisha maisha ya kiuspy kirahisi hivi kwa lipi alilo nalo? Ni muongo sana huyu dogo.
 
Back
Top Bottom