Utajiri wa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, washtua Watetezi wa Haki za Binadamu

Utajiri wa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, washtua Watetezi wa Haki za Binadamu

Bidii gani?
Wizi wa mali za umma wewe unaita bidii?!
zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe,

vinginevyo uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako, acha tamaa na chuki dhidi ya mali za watu 🐒
 
Acheni wivu, watanzania wengi ni WAVIVU ndiyo mana uchumi wa taifa letu sio mzuri, na hii inajulikana duniani kote.

Kuna watu mjini wanafanya kazi za ajabu - ajabu alafu kwao kijijini kuna mifugo na mashamba.Mtu hataki kulima,hataki kusimamia mifugo ( tena ya kwao ).

Acheni uvivu, najua mpo.
 
Je hayo huja kabla au baada ya kupata nafasi ya uteuzi?.Kwamba hakuna hizo fursa za ubadhirifu wa mali ya uma kwa hawa Viongozi wetu?.Kama ndivyo sasa sisi raia tunatoa wapi hizo hisia?.Kama wao hufanikiwa kuanzisha vyanzo mbadala vya mapato kupitia kilimo na ufugaji, kwa nini basi wasipunguze gharama nyingine za pesa za uma? Kwa mfano badala ya kupokea na kutumia shangingi la mamilioni ya pesa atumie kutoka sehemu ya mapato yake hayo kwa kuamini kuwa anaowahudumia ni Masikini?.Yote kwa yote mimi bado natamani niamini hiki unachokisema wewe.
Gentleman,
mawaziri na watumishi karibu wote nchi hii ni ama wakulima, wafugaji, wafanyabiashara au wawekezaji,

sasa kama amwekeza vizuri asitajirike?

yaani azubae kwenye kazi ya uteuzi tena ya uma bila kujishughulisha na mambo mengine baada ya kazi zake?

wivu chanzo chake ni uvivu tu na si vinginevyo 🐒
 
Je hayo huja kabla au baada ya kupata nafasi ya uteuzi?.Kwamba hakuna hizo fursa za ubadhirifu wa mali ya uma kwa hawa Viongozi wetu,kama ndivyo sasa sisi raia tunaita wapi hizo hisia?.Kama wao hufanikiwa kuanzisha vyanzo mbadala vya mapato kwa nini basi wasipunguze gharama nyingine za pesa za uma? Kwa mfano badala ya kupokea na kutumia shangingi la mamilioni ya pesa atumie kutoka sehemu ya mapato yake hayo kea kuamini kuwa anaowahudumia ni Masikini?.Yote kwa yote mimi bado natamani niamini hiki unachokisema wewe.
gari ni kifaa cha kazi tu gentleman,
huwezi kupewa IST uzunguke nayo nchi nzima kufanya kazi za umma, halafu baadae uje ulalamike kwasababu eti gari ilishindwa kufika huko vijiji ndani ndani kwa wananchi kwasababu ni ndogo au iko chini na ulikwama kwenye tope.
unaepewa usafiri ambao, ukishindwa kazi tunajua ni uzembe wako na sio ubovu wa gari,

ukitumia kipato chako kwa kazi za umma utaleta mgongano wa kimaslahi na matokeo yake itakua ni matatizo na fujo tupu baadae...

famu za maadili ya umma zinajazwa na kila mtumishi wa umma, aeleze madeni, na mali zake nyingine ili iwe rahisi kumonitor kama kuna ubadhirifu :NoGodNo:
 
mAwaziri wetu kwa mijengo tu wapo vzur,ukifika kwenye makaz yao unaweza hisi haupo tz

Kuna wajinga wanakula maisha sio kawaida
 
Back
Top Bottom