zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe,Bidii gani?
Wizi wa mali za umma wewe unaita bidii?!
Kwelizidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe,
vinginevyo uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako, acha tamaa na chuki dhidi ya mali za watu π
Mpaka watajwe majina na ukwasi wao ndio tutaamini.watakuwa walikuwa wanawafuatilia na ndio maana wameibuka leo baada ya Ukwasi wao kukua haraka kuliko uhalisia wa mishahara yao
Gentleman,
mawaziri na watumishi karibu wote nchi hii ni ama wakulima, wafugaji, wafanyabiashara au wawekezaji,
sasa kama amwekeza vizuri asitajirike?
yaani azubae kwenye kazi ya uteuzi tena ya uma bila kujishughulisha na mambo mengine baada ya kazi zake?
wivu chanzo chake ni uvivu tu na si vinginevyo π
gari ni kifaa cha kazi tu gentleman,Je hayo huja kabla au baada ya kupata nafasi ya uteuzi?.Kwamba hakuna hizo fursa za ubadhirifu wa mali ya uma kwa hawa Viongozi wetu,kama ndivyo sasa sisi raia tunaita wapi hizo hisia?.Kama wao hufanikiwa kuanzisha vyanzo mbadala vya mapato kwa nini basi wasipunguze gharama nyingine za pesa za uma? Kwa mfano badala ya kupokea na kutumia shangingi la mamilioni ya pesa atumie kutoka sehemu ya mapato yake hayo kea kuamini kuwa anaowahudumia ni Masikini?.Yote kwa yote mimi bado natamani niamini hiki unachokisema wewe.