Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 2022

Wale wa Arusha Vs Mwanza jibu limepatikana hapa kazi iendelee akina inshomile jitahidini basi huko chini hakuendani na hadhi yenu bwana
Au watag kabisa
 
Au watag kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
Mnaichukulia poa Tanga? Tanga ni jiji. Ina bandari, kilimo, etc. Tuuheshimu aisee. Ni siasa tu zimeiangusha aisee

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Niko hapa kusoma comments za watafuna MIRUNGI🀣🀣🀣🀣
 
Wachagga wanaofanya biashara wapo mikoani wakinga wengi wafanya biashara wapo dar na kwingineko hizo takwim zipo sahihi kabisa sidhan kama wasukuma wamesambaa sana kama wakinga wachagga
 
Meno ya ufuta watakuja kupinga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
Tanga imeuliwa na nyerere kuua viwanda wadigo nao wakasusa kufanya kazi
 
Kwan leo hiyo Dar tukitoa wachagga na wakinga itakuwaje
Dar ya wahindi na waarabu mpaka wachina hao ulitaja ni wachuuzi sana sio wengi kuliko wachina , waarabu ndio wanaendesha uchumi na jua bila dar hao hamna


Namaanisha hao wengeenda wekeza kwao dar ni dar wao ndio wamenufaika na dar
 
Kwa project zinazoendelea sasa hivi soon Unarudi top 3.

Uzuri wa Tanga kumepangika hata ukileta mwekezaji hachomoki,
Sijafika mda sana tangu 2016 so palikuwa kumepaukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya ni mapato ya Halmashauri na sio Uzalishaji wa mkoa mzima
Ndio na mimi nilikuwa najibu hoja yako ya kusema Uzi wa Mwanza vs Arusha ufungwe, kwani ulianzishwa kwa kigezo cha GDP ya Mkoa?

Na mimi nikisema Uzi ufungwe kwa sababu Mwanza Jiji pamoja na kurundika watu wengi mjini lakini wanakusanya pesa kiduchu za Halmashauri na za TRA inapitwa na Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…