Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapoAu watag kabisa
Mnaichukulia poa Tanga? Tanga ni jiji. Ina bandari, kilimo, etc. Tuuheshimu aisee. Ni siasa tu zimeiangusha aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
Niko hapa kusoma comments za watafuna MIRUNGI🤣🤣🤣🤣Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Arusha hawana viwanda, wanategemea sana UtaliiArusha kelele zote wanapigwa na the likes of Tanga! Sasa zile kelele za Arusha vs Mwanza ziishe.
Wachaga wana mchango katika mikoa yote maana wapo kila mahaliWachaga na misifa yao yote kumbe hamna kitu
Meno ya ufuta watakuja kupingaUtajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
DhahabuKwamba geita imeipiku Hadi Iringa ?
Ni ya 2 kutoka Mwisho,hii ni GDP na sio per Capita incomeNjombe haiwezi kuwa ya mwisho
Na hapa vipi?👇Arusha kelele zote wanapigwa na the likes of Tanga! Sasa zile kelele za Arusha vs Mwanza ziishe.
Tanga imeuliwa na nyerere kuua viwanda wadigo nao wakasusa kufanya kazi😂😂😂😂😂Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
Dar ya wahindi na waarabu mpaka wachina hao ulitaja ni wachuuzi sana sio wengi kuliko wachina , waarabu ndio wanaendesha uchumi na jua bila dar hao hamnaKwan leo hiyo Dar tukitoa wachagga na wakinga itakuwaje
Kwa project zinazoendelea sasa hivi soon Unarudi top 3.Tanga imeuliwa na nyerere kuua viwanda wadigo nao wakasusa kufanya kazi
Haya ni mapato ya Halmashauri na sio Uzalishaji wa mkoa mzima
Sijafika mda sana tangu 2016 so palikuwa kumepauka😂😂😂Kwa project zinazoendelea sasa hivi soon Unarudi top 3.
Uzuri wa Tanga kumepangika hata ukileta mwekezaji hachomoki,
Ndio na mimi nilikuwa najibu hoja yako ya kusema Uzi wa Mwanza vs Arusha ufungwe, kwani ulianzishwa kwa kigezo cha GDP ya Mkoa?Haya ni mapato ya Halmashauri na sio Uzalishaji wa mkoa mzima
Kumepauka mjini ila viwanda vingi sana, Mfano cement ilikuwa ni Tanga Cement tu ila sasa hivi kuna Rhino, Sungura na Kilimanjaro.Sijafika mda sana tangu 2016 so palikuwa kumepauka😂😂😂
Na hapa jibu halijapatikana au? 👇Wale wa Arusha Vs Mwanza jibu limepatikana hapa kazi iendelee akina inshomile jitahidini basi huko chini hakuendani na hadhi yenu bwana