Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Hahahah wahaya hatujawahi kutoka mwisho takwimu zote za NBS , sijuhi safari hii NBS wamefanyaje, isije kuwa wanawinda kura zetu, maana tushapanga kuibwaga kijani.Wale wa Arusha Vs Mwanza jibu limepatikana hapa kazi iendelee akina inshomile jitahidini basi huko chini hakuendani na hadhi yenu bwana
Naunga mkono hojaNjombe haiwezi kuwa ya mwisho
Wakitoa Simiyu kwenye Shinyanga ndio watakuwa wa mwishoNaunga mkono hoja
Mkuu ukichukua top 10 kutoka Mwisho Wahaya mpo kama kawaida yenu ππHahahah wahaya hatujawahi kutoka mwisho takwimu zote za NBS , sijuhi safari hii NBS wamefanyaje, isije kuwa wanawinda kura zetu, maana tushapanga kuibwaga kijani.
Mumepigwa, haiwezekani muwe na GDP kubwa afu muwe na mapato kiduchu,hizi ni bangi za wapi?Kilaza ni mapato kwa wilaya kuwa na akili π€£π€£π€£kavute bangi akili ikae sawa kwanza hapa tunazungumzia mkoa mzima
Umewaona hao tu,kagera umeiona lakini?Wachaga na misifa yao yote kumbe hamna kitu
Mashemeji zetu hao,hatuna ligi nao sie.Mara wakikomaa wanawapiga chini wachaga.
Bora leo unaongelea top tena kutoka mwisho, sisi waga ni wa mwisho kabisaaa au wa pili kutoka mwisho, ndiyo maana najiuliza leo imekuwaje nbs ikatupandisha juu kdogo, na ndugu zetu kigoma hahahahah.Mkuu ukichukua top 10 kutoka Mwisho Wahaya mpo kama kawaida yenu ππ
Unaelewa sipo huko nakupa ufafanuzi tu Arusha ila wilaya za ovyo hata jamii zake hazina ustaarabu π€£π€£π€£Mumepigwa, haiwezekani muwe na GDP kubwa afu muwe na mapato kiduchu,hizi ni bangi za wapi?
Ina husiana vipi na mada?Unaelewa sipo huko nakupa ufafanuzi tu Arusha ila wilaya za ovyo hata jamii zake hazina ustaarabu π€£π€£π€£
πππππUzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapoAu watag kabisa
Jitahidi bwana, nashangaaa bado bendera za kijan zinapepea pamoja na zile Hela kuliwaHahahah wahaya hatujawahi kutoka mwisho takwimu zote za NBS , sijuhi safari hii NBS wamefanyaje, isije kuwa wanawinda kura zetu, maana tushapanga kuibwaga kijani.
Hii ni ipi tena mbona majibu yanakuja mengi mengi
Jitahidini nyerere hayupo vifufueniTanga imeuliwa na nyerere kuua viwanda wadigo nao wakasusa kufanya kazi
Makusanyo ya Mapato ya ndani kwa ngazi za Halmashauri,hiyo ndio top 10Hii ni ipi tena mbona majibu yanakuja mengi mengi
Walishakimbia wawekezaji woteJitahidini nyerere hayupo vifufueni
Huwezi fufua kiwanda cha teknolojia ya zamani kifanye Kazi leo..Jitahidini nyerere hayupo vifufueni
Mzee baba vile viwanda hawawezi kurudi kwa vile walihama nchi kabisa isipokuwa anjari aligoma kuamisha kiwanda ila kinapiga kazi mpaka keshoHuwezi fufua kiwanda cha teknolojia ya zamani kifanye Kazi leo..
Hizo ni scrappers,ni kuvunja na kutafuta investors wapya.