Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 2022

Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 2022

Au watag kabisa
😂😂😂😂😂Uzi wenyewe umekaa kiugomvi ugomvi Kila mtu hataki kubali mkoa wake uwe chini si hata wa njombe wanasema wameonewa!!!!... Ila ndugu zangu akina nshomile kazeni bwana mnapitwaje na wakuna nazi wa Tanga hapo
Hahahah wahaya hatujawahi kutoka mwisho takwimu zote za NBS , sijuhi safari hii NBS wamefanyaje, isije kuwa wanawinda kura zetu, maana tushapanga kuibwaga kijani.
Jitahidi bwana, nashangaaa bado bendera za kijan zinapepea pamoja na zile Hela kuliwa
 
Huwezi fufua kiwanda cha teknolojia ya zamani kifanye Kazi leo..

Hizo ni scrappers,ni kuvunja na kutafuta investors wapya.
Mzee baba vile viwanda hawawezi kurudi kwa vile walihama nchi kabisa isipokuwa anjari aligoma kuamisha kiwanda ila kinapiga kazi mpaka kesho

Yale mengine yanatia uchafu ni magofu nyerere aliharibu tanga kwa kweli mpaka mkonge wa Kilimanjaro aliharibu na ilo zao ndo lilikuwa linatambuliwa Tanga na Kilimanjaro duniani hapa akushirikisha ubongo
 
Back
Top Bottom