Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Hili Pdf la Magu mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili Pdf la Magu mwendazake
Wasukuma wamesambaa sana si Tanzania tu hadi Zambia na Zimbabwe. Wanajihusisha Kilimo na ufugaji. Zanzibar wamejaa, Mbeya, Mpanda huko Kigoma, ukanda wa Pwani. Ila ni kabila wasiopenda kujionesha.Wachagga wanaofanya biashara wapo mikoani wakinga wengi wafanya biashara wapo dar na kwingineko hizo takwim zipo sahihi kabisa sidhan kama wasukuma wamesambaa sana kama wakinga wachagga
Ya juzi hiyo kaleta BashungwaHili Pdf la Magu mwendazake
Hahahaha itakuwa ya bashungwa kweli, ndiyo maana kagera imepanda kdogo. Dah Tz shida sana hii nchi.Ya juzi hiyo kaleta Bashungwa
Simiyu imesahaulikaUtajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
hamna kitu bana weee!! Aaa!! Masawe vipi tena??Hoja yako ni ipi hapo.mbona kama unawashwa na ujinga waukabila.Hapo umeambiwa hizo takwimu zinakusanywa kimakabila.jinga wewe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
babangu ata rafuzi yakooo!! Inaonyeshaaa kuwa ni mchaaa....mchaga kweli mangi.Nipaniki nini,mimi sio mchaga ila kwenye ujinga lazima niseme na kuwaelimisha maana mnamazo yakijinga.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app