Utajiri wa Millard Ayo

wabongo kwa ujinga!! mbona wakina bill gates, pdiddy, nk huwa wanajadiliwa mambo yao na watu tunajifunza mambo mbalimbali. bongo kuongelea utajiri wa mtu ni kama mwiko. nahisi ni dalili za watu maskini, wajinga na waliokata tamaa.
 
Mshikaji wangu wa "damu damu milele"...Huwa tunaitana "blood blood 4ever"
Kama binadamu ana mapumgufu yake na scandal zake za chini kwa chini....Alimpenda sana mtu fulani lkn sbb swaga za mtu wangu ni za "kimisionari" yule mtoto akamsaliti akaamua kwenda kwa wauza sura.Dogo yupo serious sana na mambo yake,sababu ya heshima niliyo nayo kwake na unyenyekevu wa huyu dogo...Nahifadhi mambo yake ya nyuma ya Carpet.....Damu Damu Milele
 
Na picha ya wife wake pia usisahau
 
Kk unapoint sana, celeb lazma awe na exposure kwa watu wake, we need to kno wot he is wornin'
 
bora aendelee kuwa msiri hahahahahahaha maana walimwengu wakiyajua yako ni balaa
 
Usipotoshe, Millard hakuwahi kuishi Kimara wala familia yake haikuwahi kuishi Dar. Millard kaishi Arusha,kasoma arusha mpaka alipopata kazi ya uandishi ndio kaja Dar na kupanga chumba hafifu Keko.

Hizo stori za kutembeza mayai usimsingizie.
 
Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ni mtu poa,mwenye heshima, mnyenyekevu na ni mchapakazi.na ana focus na kazi.na pia kama sio mtu wa kuchepuka na anajua kum treat mwanamke
Mkuu watu wa hivo kwa kuchepuka ndo balaa mambo yao kimya kimya.. By the way I appreciate him tho
 
Usipotoshe, Millard hakuwahi kuishi Kimara wala familia yake haikuwahi kuishi Dar. Millard kaishi Arusha,kasoma arusha mpaka alipopata kazi ya uandishi ndio kaja Dar na kupanga chumba hafifu Keko.

Hizo stori za kutembeza mayai usimsingizie.

Ingia YOUTUBE uone alivyokuwa anaelezea hali ya maisha yake wakati anahangaika kutoka Kwao Kimara kwa Mama yake mdogo kuja Ubungo kuuza hayo Mayai kupata Pesa ambazo ziliweza kumsomesha mpaka alipofanikiwa na kupata Kazi Radio One / ITV. Kama niliyoyasema ni Uwongo basi na yeye mwenyewe alivyokuwa anazungumza katika ile INTERVIEW atakuwa ni MWONGO ALIYETUKUKA. Nimemaliza!
 

get life

Milard Ayo ni kijana mdogo sana, anaheshimu kila mtu, mchapa kazi na mbunifu

atafika mbali sana kikazi na kipesa

kwa sasa usimfananishe na akina Diamond na kama hao celebrity wengine ambao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…