Utajiri wa Millard Ayo

Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ni mtu poa,mwenye heshima, mnyenyekevu na ni mchapakazi.na ana focus na kazi.na pia kama sio mtu wa kuchepuka na anajua kum treat mwanamke
Mmh si mchepukaji
 
get life

Milard Ayo ni kijana mdogo sana, anaheshimu kila mtu, mchapa kazi na mbunifu

atafika mbali sana kikazi na kipesa

kwa sasa usimfananishe na akina Diamond na kama hao celebrity wengine ambao


Sorry wewe ni mkewe?.....Maana naona unatokwa povu nje ya mada
 
Achana nao hao watoto wavivu tu,sasa ukimwambia professor Beno Ndullu alikuwa centre forward wa kutisha wa timu inaitwa young kinya ya kariakoo,si atakuombea ban
 
Nimependa hapo kwenye rangi.

 
I don't know the man.. huwa napatagapataga updates zake kwenye social networks. Ila baada ya kusoma huu uzi naweza ku m value kama mtu mwenye income potential ya almost 30-35 million per month. So kwa hiyo income na nikiangalia hali ya maisha ya kitanzania i place him kwenye top 5% of Tanzanians wenye maisha mazuri. To beat the 95% makes him filthy rich but within that 5% he is an average man. Thats what i can say.
 
Masoud Kinana should have done this ages ago
 
Sorry wewe ni mkewe?.....Maana naona unatokwa povu nje ya mada

Ha ha , ndo jinsia yako? wewe ni mwanamke? maana huyo kijana ni mtoto mdogo sana tu, sasa kama unamwona CELEB haihitaji rocket science kujua uko obsessed naye

Soma post yangu, haina povu, ina ushauri na kukupa muono mpana

ukakimbilia kwenye insult! jaribu kuelewa mtu mkuu

hatuendi hivyo
 

Ana-date na Alice Tupa (utani tu huu jamani).
 
Safi sana, wameoana lini?
 
yeah, Mkewe ni Marketing maneger wa kampuni flani kubwa tu, anayo nyuma Arusha, amewawezesha ndugu zake kibao, Kwenye kampuni yake ya TZA ameajiri wadogo zake kadhaa, Ni mfano wa kuigwa
Ndio huyo.kwenye tangazo la voda?

Btw, anatengeneza kiasi gani kwenye website?


Maana wengi manishia kusema tuu, millions bila kutaj haswa kiasi halisi ...
 
Ndio huyo.kwenye tangazo la voda?

Btw, anatengeneza kiasi gani kwenye website?


Maana wengi manishia kusema tuu, millions bila kutaj haswa kiasi halisi ...
Kuna uzi uliletwa hapa uliyabainisha yote hayo, nayeye ndio alikamata namba moja kwa website ya tanzania inayoingiza hela ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…