Utajiri wa Millard Ayo

Huyu jamaa namfahamu alikuwa anakaa pale Msewe.
Kwa kweli jamaa ni mtulivu, hanywi pombe wala sio wa kujichanganya kwenye vijiwe vya wahuni.
Kizuri zaidi hata hela anayopata anatumia kwa ajili ya asset na si liability kama sisi, ukipata kampunga kidogo unavuta kausafiri kajuu kidogo.
Akimaanisha hilo, hata gari (liability) aliyokuwa anatembelea ilikuwa ya kawaida sana sana ila sitaitaja.
Ila jamaa kama walivyobinadamu wengine ana udhaifu, kwa vile huo udhaifu wake binadamu wengi tunao, sitautaja. Ila jamaa amejua kuucontrol kiasi haukuweza/kuathiri kazi yake.
Ukiniuliza nitaje vijana (maarufu) watano ambao ni mfano wa kuigwa yaani wanaojituma na kutumia akili zao ipasavyo, nitaweka list yao hivi;
1. Millard 2. Loading 3. Loading 4. Loading 5. Failed
 

Dada yangu, wewe sijui unafikiria kwa kutumia kiungo gani...Thread imeuliza kuhusu utajiri wake jambo ambalo huenda lingeimpress watu na kuanza juhudi kama anazozionesha...Wewe unakuja na kuanza kusema oooh usimfananishe na yule au huyu...Huo unaitwa utaahira....Kama Millard sio Celeb, basi Tanzania hakuna celeb au mimi sijui maana ya celeb maana maneno yako yanaashiria ucelebrity unategemea na umri
 
watangoja sana,kumnyang'anya tuzo ya mtangazaji bora wa kiume
 
What happened to masoud Kipanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…