Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
mwalimu mama yako yupo wapi? alijengewa nyumba au amepewa hisa katika hayo makampuni/!Halafu mamayangu alikua akiwafundisha tuition private hawa na watoto wa nadji miaka hiyo Singida.
Sijui kama ni kweli but najaribu kuangalia kile kinacho mpata milionea Zakaria wa kule Tarime ni kama hiki; baada ya kuwachapa wale wahuni risasi na yeye kushikiliwa hadi sasa but karudisha baadhi ya mali alizo nunua kwa uhalali kabisa, tena mnadani!Si ndio maana huyu mmoja tulimteka na kum black mail ili aachie, utaona siku c nyingi mali zetu zinavyorudi, akikaidi tu zile video tulizomrekodi kule mafichoni tunaziachia. Dadeki
Hamna kitu mshahara tu miaka ile na kuendeshwa bure kwenye magari yao basimwalimu mama yako yupo wapi? alijengewa nyumba au amepewa hisa katika hayo makampuni/!
Mshukuru Mungu hata kwa hayo babukijana, Na jisifie kwa familia yenu kufundisha familia yenye neema! Mafanikio ya mwanafunzi ndio huwa FURAHA ya mwalimu na sio vinginevyo. Japo wanafunzi waliokuwa wasumbufu ndio huwakumbuka walimu wao kuliko wale wafata sheria!!!!Hamna kitu mshahara tu miaka ile na kuendeshwa bure kwenye magari yao basi
Halafu mamayangu alikua akiwafundisha tuition private hawa na watoto wa nadji miaka hiyo Singida.
Huyo sio mbongo ni kanji
MO ni Mbongo. kazaliwa Singida na kukulia Singida. Tatizo sisi ubaguzi wa rangi umetujaa.Huyo sio mbongo ni kanji
jina la ukoo wake limetoka kabila gani kati ya makabila 120 tz...Amezaliwa SINGIDA. Ni mtanzania mwenzetu jamani, usiangalie rangi ya ngozi
Ni rahisi kwa mmiliki wa YouTube Chanel Kukamatwa na KUFUNGWA kuliko kwa MNUNUZI WA LIKIVUKO LIBOVU, MADEGE bila kufuata SHERIA ya MANUNUZI au Kuingiza nchi hasara kwa DOUBLE BEIKwahiyo haiwezekani kukamatwa?
Ndugu yangu nchi hii imeuliwa na Mkapa Mkapa Mkapa Mkapa,idadi sijui imetosha......ikaja kuzikwa na KikwetuHivi hawa viongozi waliofanya haya maamuzi ni watanzania kweli?. Aisee uzalendo kumbe hautamkwi tu mdomoni. Haya matumbo yetu ndiyo maana ngozi nyeusi hatuendelei. Tuna mawazo ya kula tu na kufunga tai!. Hatuwazi juu ya hatma ya nchi yetu. Tunawaza miaka mitano mitano tu. Hatuwazi miaka 100 ijayo. Ndiyo maana mali za nchi zetu kila mtu anajichukulia tu. Mchina haya!, Mhindi hayaa!, mwingereza hayaa, mbongo hayaaaaaaaa!. Tumekwisha.
Umemjibu kweli kabisa unadhani ni rahisi tu kuacha mshahara wa $60,000? Si rahisi kama wengi wanavyodhaniababa yake alishakuwa tajiri...mtoto wa Fernandes(Benjamin) ameacha kazi ya $200,000..kapuku utathubutu
Uliyoyasema haya juzi nilikuwa namwambia ndugu yangu mmoja hivi hivi unavyosema!Hakuna mtu mbaya Tanzania kumzidi Benjamini Mkapa, ni bora Mwinyi alikuwa akiuza wanyama tu.
Mkuu umesema kweli!MBONA MENGI WALIMBANIA KUMUUZIA HIVYO VIWANDA KWA BEI POA WAKATI NI MSWAHILI MWENZAO. WALIMBANIA HIVIHIVI KILIMANJARO HOTEL. YANI KISA MCHAGA CCM NYINYI MANYANGAU SANA. NA HII CHUKI YA KISENGE YA KIKABILA CCM WANAYO HADI LEO.
MTU NI MBANTU MWENZENU NA ABILITY ANAYO YANI MNAMBANIA MNAWAUZIA RANGI TOFAUTI.
SADDIST NA HOVYO KABISA
Steve Jobs hao ni wavumbuzi. Sisi wa Africa utajiri wetu unakuja kwenye kukwepa kodi, kukwapua na kuwalalia wengine.Sasa kumbe huyu kaendeleza biashara ya baba yake?
Mimi ninataka mtu anaeanzisha kitu from scratch kama Steve Jobs.
Aliwanyonyaje wakati walikua wakijiendesha kwa hasara? Wabongo tuna wivu sana, unaweza kuta eneo halina matumizi ukanunua kwa bei ndogo ukafanya investment kubwa ikapandisha hadhi ya eneo hilo aliyekuuzia akaja kukwambia ulimtapeli, sijui huwa tukoje??!!Basi aliwanyonya sn ndugu zetu wenye rangi nyeusi kwenye hayo maviwanda yao, ndio c wanajulikana walivyo wakax kwa wabongo