Ndo hivo mkuu matajiri na wanasiasa wametumia umaskini na ujinga wetu kujinufaisha . Nasema hivi kwa uhakika kutoka ndani ya viwanda vyake na hasa vya chupa za maji pale vingunguti mpaka mwaka 2016 wafanyakazi wanaokuwa trained ku run mashine za moto hadi wengine wanaishia kuwa na ill hearth kwa ajili ya joto kutokana na moto wa mashine hawakuwa na kesho inakuwaje ila kwenda kupiga line asubuhi yaani bahati nasibu bahati ikikuangukia unaingia kiwandani kupambana na moto kwa ujitara mdogo sana nakwambia hata kodi ya room uswahilini pale ni mgogoro Sina uhakika kwa sasa maana baada ya awamu hii kuingia waliwashinikiza kuajiri.
Haiingii akililini Kama mtu wanalipa competitive wages Ili wanaoteseka waljikwamue na kulipa tax stahiki viwanda vi take off kwa kasi ya namna hiyo kwa watu wanaojua performance management ya viwanda wanajua Ili kiwanda ki perform ilivyo ngumu kucheza na calculation hasa za man hour na machine hour kwa nchi zinazojitambua na kujali watu wake.
Ninalotaka kusema whether wani judge wanao judge ama la matajiri wa ki tanzania wamefanikiwa kwa mitaji ya ujinga wa wanasiasa na umasikini wa watu wetu maana hauna somewhere to turn inakubidi uende ku line up kila siku kubahatisha kibarua kwenye viwanda vya hao Jamaa akiwemo vya ndugu yetu Mo. It’s so sad kuwa nchi za wengine hata house girl hawezi kufanyishwa kazi za kittumwa ila ni vice Versa kwa nchi zetu hasa za kiafrika