Utajiri wa Mohammed Dewji (MO) na Kampuni ya MeTL umechangiwa na maamuzi ya Serikali ya awamu ya tatu

Aibuu kumbe waliuza wenyew .. kwakuwa walishindwa kuviendesha " then leo wanakuja kum black Mail kijana wa watu
 
Hahahahaaa

Hii mambo ya kufanya biashara kwa kutegemea msaada wa wanasiasa ndio huishia huku!Success ni short lived!

Do not mix business with politics!

Never!
 
Mo watanzania tunampenda sana ila hapa hajaenda haki kusema ukweli wa viwanda vyake ku take off moja kubwa ni kuchukua viwanda kwa bei ya kutupwa ya mr Mkapa ila Pili muhimu sana ni very cheap labour . Ukiangalia Kwa mfano watu wanaofanya kwenye viwanda kama vya kuzalisha chuo a za plastic pale vingunguti unaweza kulia maana wafanya kazi wa kawaida wanashindwa hata kulipa koddi ya chumba uswahilini wakati wanalala na kukesha kwenye nashine zake za moto. Na mbaya zaidi wengine wanaumia kukatika vidole then mwisho wao hawalipwi . So labour imechamgia kwa kiwango kikubwa kwa utajiri wake ila pia management wanaendeleana sana hao kanji against waafrika . Ni shida
 
Unasema kwamba kampuni yake inakiuka taratibu za ajira?. Ni vizuri waajiriwa wake wakachukua jitihada za kudai haki zao. Huo ni uonevu
 
Amekutan

Siku zote ukizoea kula nawewe kubali kuliwa.

Huwezi kuta Apple,Microsoft,etc zinasubiri kusaidiwa na serikali au wanasiasa!

Yote yanayosaidiwa mwisho wa siku ni aibu...

Ujinga kama Boeing ya USA ,BAE Systems ya UK,etc yameisha kupata aibu za mwaka....

Dewji nae ndio anavuna aliyopanda.....na bado....
 
Na tusiwateke watu kwa misingi ya wivu. Makosa ni ya Serikali ya Tanzania. Yeye alichangamkia fursa. Saizi ndo tunapata akili baada ya mali nyingi kumilikiwa na familia moja. Kazi sana nchi hii
Makosa ni chamay Tawala kungangania madaraka name kudanganya eti wanaleta sera ya viwanda.
 
Ninyi ndo watekaji wenyewe.
 
Waligawa viwanda vyetu kwa bei ya kutupa.Leo wanabaki kujinasibu wanasera ya viwanda.
 
Hapo ndio unapoelewa maana ya msemo dunia duara. Unafurukuta weee, unawadhalilisha raia lakini baadae laana ya wananchi lazima ikupate tu. Hayo ndiyo maisha.
 
"And he produces a highly popular energy drink called BOMBA,considered a redbull competitor".

Ukiwa mtu wa kusoma na kuamini kila unachosoma bila kuchuja utalishwa sana matango pori dunia hii.
 
"And he produces a highly popular energy drink called BOMBA,considered a redbull competitor".

Ukiwa mtu wa kusoma na kuamini kila unachosoma bila kuchuja utalishwa sana matango pori dunia hii.
Hiyo siyo tamthilia. Ni mahojiano ya moja kwa moja na mhusika mwenyewe. Kwahiyo kilichoandikwa hapo ni mia mia. Ukitaka kusoma makala yote bonyeza link hiyo ya pili. Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya 3 ndiyo imempa huyu jamaa utajiri, over
 
Duuh kumbe awamu ya tatu ndio walisaidia ku boost utajiri wa Mo
 
Basi aliwanyonya sn ndugu zetu wenye rangi nyeusi kwenye hayo maviwanda yao, ndio c wanajulikana walivyo wakax kwa wabongo
Hakunyonya MTU,viwanda alivyouziwa,vilikuwa vimeishakufa,na vifo vyake vilisababishwa na majitu meusi kama sisi,yalivifisadi,yakavimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…