Utatimizaje sera ya viwanda kama hata huna ardhi ya kutosha?. Sehemu kubwa ya ardhi inayofaa inamilikiwa na wachache!. Lazima utambue kuwa ardhi ni mali ya umma. Tukiihitaji tunaitwaa tu hata ukienda the Hague huambulii kitu. OverWaligawa viwanda vyetu kwa bei ya kutupa.Leo wanabaki kujinasibu wanasera ya viwanda.
Hao watu wako wapi?. Yaani kwakweli hao jamaa waliohusika wameiangusha sana nchi hii. Ukute hata maisha yao choka mbaya!.Hakunyonya MTU,viwanda alivyouziwa,vilikuwa vimeishakufa,na vifo vyake vilisababishwa na majitu meusi kama sisi,yalivifisadi,yakavimaliza
Ndo hivo mkuu matajiri na wanasiasa wametumia umaskini na ujinga wetu kujinufaisha . Nasema hivi kwa uhakika kutoka ndani ya viwanda vyake na hasa vya chupa za maji pale vingunguti mpaka mwaka 2016 wafanyakazi wanaokuwa trained ku run mashine za moto hadi wengine wanaishia kuwa na ill hearth kwa ajili ya joto kutokana na moto wa mashine hawakuwa na kesho inakuwaje ila kwenda kupiga line asubuhi yaani bahati nasibu bahati ikikuangukia unaingia kiwandani kupambana na moto kwa ujitara mdogo sana nakwambia hata kodi ya room uswahilini pale ni mgogoro Sina uhakika kwa sasa maana baada ya awamu hii kuingia waliwashinikiza kuajiri.Unasema kwamba kampuni yake inakiuka taratibu za ajira?. Ni vizuri waajiriwa wake wakachukua jitihada za kudai haki zao. Huo ni uonevu
Hahaha!Mkuu waliomteka wana mindsets kama zako. No pun intended!🤣🤣🤣. Aisee umenikuna. Kumbe wenye wivu ndio wamemteka!. Nilidhani ngoma droo. Unamwaga ugali namwaga mboga. Mkuki kwa nguruwe, hahaaaa. Over.
Umeandika kwa hisia sana. Kwakweli serikali haina budi kuliangalia hiloNdo hivo mkuu matajiri na wanasiasa wametumia umaskini na ujinga wetu kujinufaisha . Nasema hivi kwa uhakika kutoka ndani ya viwanda vyake na hasa vya chupa za maji pale vingunguti mpaka mwaka 2016 wafanyakazi wanaokuwa trained ku run mashine za moto hadi wengine wanaishia kuwa na ill hearth kwa ajili ya joto kutokana na moto wa mashine hawakuwa na kesho inakuwaje ila kwenda kupiga line asubuhi yaani bahati nasibu bahati ikikuangukia unaingia kiwandani kupambana na moto kwa ujitara mdogo sana nakwambia hata kodi ya room uswahilini pale ni mgogoro Sina uhakika kwa sasa maana baada ya awamu hii kuingia waliwashinikiza kuajiri.
Haiingii akililini Kama mtu wanalipa competitive wages Ili wanaoteseka waljikwamue na kulipa tax stahiki viwanda vi take off kwa kasi ya namna hiyo kwa watu wanaojua performance management ya viwanda wanajua Ili kiwanda ki perform ilivyo ngumu kucheza na calculation hasa za man hour na machine hour kwa nchi zinazojitambua na kujali watu wake.
Ninalotaka kusema whether wani judge wanao judge ama la matajiri wa ki tanzania wamefanikiwa kwa mitaji ya ujinga wa wanasiasa na umasikini wa watu wetu maana hauna somewhere to turn inakubidi uende ku line up kila siku kubahatisha kibarua kwenye viwanda vya hao Jamaa akiwemo vya ndugu yetu Mo. It’s so sad kuwa nchi za wengine hata house girl hawezi kufanyishwa kazi za kittumwa ila ni vice Versa kwa nchi zetu hasa za kiafrika