long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Nashauri haya matangazo walipie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fools! Kwanini mseme jambo halina evidence / ushahidi, elimu zenu zinawasaidia nini, kama shutuma hazina evidence ni zinabaki shutuma tu, na zaidi ni kua pesa au jasho la mtu mwingine wewe unahusikaje hapo, kama mtu ameamua kwenda ni yeye, msiwe tu mnachukua maneno juu juu tu, jiridhishe, kupotea ndio kujua njia sahihi, fools!
Wewe sio tajiri material.Huo utajiri masharti yake yasinizuie kugonga, kunishinikiza kuua mzazi ama kupata watoto, kutembelea gari na kupendeza hapo sawa!
Shetani anakula nafsi hai iliyopo kwenye damu. Damu ni uhai ndio maana Mungu alikataza watu kula nyama na kisusio.Wewe sio tajiri material.
Ugonge
Usiue mzazi
Upate watoto
Utembelee gari?
Kumbuka wanakujaga na masharti mengine ya kimafumbo.
Anaweza akakuambia panda mgomba halafu mkungu wa kwanza niletee. Kumbe mkungu Ni mwanao wa kwanza.
Lazima damu imwagike ndio shetani aachie pesa. Unafikiri shetani anakula Nini Kama sio damu?
Nenda kimara Kwa mchungaji kiongozi acha hivi vitu.Bado nasaka ajira kwa miaka 5 sasa na GPA yangu yangu ya 4.2, na bado NO JOB hadi sasa. Huko kujiajiri wanakopigapiga kelele nako nimejaribu but wapi! Sasa nimeamua kujiajiri kwenye utapeli,nimeanza na ndugu na baada ya kupata uzoefu wa kutosha sasa natapeli kila mtu, hadi wagonjwa mahututi. Huku si kutafuta laana kweli?
Hatia iliyonijaa moyoni inaniambia niachane na udhulmati na ukanjanja wote.Sasa nifanye kipi kingine kama si kwenda huko Ngende?Hivyo visharti vidooogo wanavyotoa vitanishinda kweli na huu msoto niliokwisha pitia.Sharti pekee ambalo siwezi kulikubali ni la kugeuzwa James Delicious, ila mengine yote (hata kulala makaburini in the midnight naweza).
Kwanza nimechoshwa na matusi ya King Msukuma,mtu wa darasa la 7 mwenye jeuri ya kuwananga graduates wa vyuo vikuu kwa sababu yeye ana pesa (za kafara), wao hawana pesa (maana hawategemei utajiri wa kishirikina). Kule Geita kila mtu anajua utajiri wa Msukuma umetokana na nini? Kwanini na mimi nisimpandilie?
Nipeni ramani ya kufika huko.
Wewe umekwenda?Ramani iko hivi anayeweza kwenda alete mrejesho asikae kmy unaptia boda ya tunduma pale songwe unakata passport ya kuingia zambia nda unavuka unaulizia gar za nkondo ulumba unapanda naul haizid ef 30 ukikosa panda Express ya buku mpk mizani shuka chkua boda mueleze unaenda kwa nkondo ulumba atakuelewa utashushwa karb na boda ya congo na zambia utakata passport tena utavuka ad sehem inaitwa mwange nenda apo kwny kijiji mzee nkondo ulumba anafahamika sana ukienda uwez potea zaidi ya hapo pitia boda ya kabwe kutoka majimoto utavuka kwa maji unavuka unatokea moba congo unaelzia ferri za nkondo ulum
ASANTE KWA TAARIFAAcha kutapeli watu mkuu,labda Kama unazungumzia ngende ya mgodini,Ila Kama unazungumzia ngende ya liwale iliyoko Kijiji Cha mpigamiti Basi jua unataka kutapeli watu hapa.
Kiufupi huwezi nificha kitu kuhusu huyo Bibi njumwite,na vibaraka wake,wale wote ni matapeli,ukienda pale wako radhi wakupukitushe Hadi chupi uliyovaa,
Wakuu nashauri msijaribu hata kumfuata huyo bwana PM,Ila Kama mnataka kuibiwa Basi jaribuni,I speak from my experience,nimewahi kufika huko,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu na hao jamaa wa ngende,hakuna jipya nililoliona.
Ole wako
Ukianza yaani pale mwanzon utapewa masharti rahisi utahisi ndo umefika
Sasa hela zikiaanza kuleta jeuri utasikia oh hela zako zinahitaji ulinzi imara sasa mara leta damu ya mwanadamu,viungo ya binadamu,katara ua mtu wako wa karibu,nk
Hapo ndio utajua hujui
Na ukikaidi unalambishwa sakafu au unamamizwa wewe mwenyewe
Shetani hajawahi kumpenda mtu kabisa usidanganywe
Mrejesho unamagari mangapi?Bado nasaka ajira kwa miaka 5 sasa na GPA yangu yangu ya 4.2, na bado NO JOB hadi sasa. Huko kujiajiri wanakopigapiga kelele nako nimejaribu but wapi! Sasa nimeamua kujiajiri kwenye utapeli,nimeanza na ndugu na baada ya kupata uzoefu wa kutosha sasa natapeli kila mtu, hadi wagonjwa mahututi. Huku si kutafuta laana kweli?
Hatia iliyonijaa moyoni inaniambia niachane na udhulmati na ukanjanja wote.Sasa nifanye kipi kingine kama si kwenda huko Ngende?Hivyo visharti vidooogo wanavyotoa vitanishinda kweli na huu msoto niliokwisha pitia.Sharti pekee ambalo siwezi kulikubali ni la kugeuzwa James Delicious, ila mengine yote (hata kulala makaburini in the midnight naweza).
Kwanza nimechoshwa na matusi ya King Msukuma,mtu wa darasa la 7 mwenye jeuri ya kuwananga graduates wa vyuo vikuu kwa sababu yeye ana pesa (za kafara), wao hawana pesa (maana hawategemei utajiri wa kishirikina). Kule Geita kila mtu anajua utajiri wa Msukuma umetokana na nini? Kwanini na mimi nisimpandilie?
Nipeni ramani ya kufika huko.
Mbona nasikia ngene IPO msituniAcha kutapeli watu mkuu,labda Kama unazungumzia ngende ya mgodini,Ila Kama unazungumzia ngende ya liwale iliyoko Kijiji Cha mpigamiti Basi jua unataka kutapeli watu hapa.
Kiufupi huwezi nificha kitu kuhusu huyo Bibi njumwite,na vibaraka wake,wale wote ni matapeli,ukienda pale wako radhi wakupukitushe Hadi chupi uliyovaa,
Wakuu nashauri msijaribu hata kumfuata huyo bwana PM,Ila Kama mnataka kuibiwa Basi jaribuni,I speak from my experience,nimewahi kufika huko,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu na hao jamaa wa ngende,hakuna jipya nililoliona.
Njoo pmHuu uzi umefika mwisho!!
Nina kesi nzito sana, kuna mtu kanizulumu na polisi ananiletea, Tafadhali nahitaji huduma
Uchawi upo hata vitabu hivo mnavoamini vitakatifu vimeongelea, hata huko Marekani waliooenda shule vizuri bado wana hizi mambo