Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini

Pia anamiliki Niffer Mall

Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]

Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kupambana sio wanawake wengine wanaotegemea kudanga

1723166258900.png

Pia soma:Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150
 
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini

Pia anamiliki Niffer Mall

Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]

Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kudanga badala ya kupambana!!

Shem la mjini.

Mtoto mnato sana alimlea hadi kiba
 
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini

Pia anamiliki Niffer Mall

Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]

Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kudanga badala ya kupambana!!

Pia soma:Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150
Ukuaji wake wa biashara ni wakasi sana Kuna mengi behind the seen mtaji wa elfu 40 ukupe utajiri
 
Sema huyo manzi atakuwa na mashine mnato ile laana.... ni mwanadada aliyeumbika haswa. Anayekojoa pale ndo anaweza kujigamba anakula matunda ya uhuru wa nchi hii. Sisi wengine bado tuko na kina Mzee Dosa Aziz tunapigania uhuru kupitia TANU. Kuhusu utajiri wake iko wazi ni Money Laundering... aombe sana asije akakosea step kwasababu atapotezwa mazima.
 
Tuapambane sana kutafuta life!tusilinganishe maisha ya watu!!

"Utajiri ni Siri na Siri ndio utajiri wenyewe"Robert Heriel!

"Hakuna utajiri bila kafara ya damu"The bold!
Mbona wengi wanautajiri wa halali bila kafara huu utajiri wa niffer kama sijauelewa bado kutoka mtaji wa elfu 40 hadi kuwa tajiri kwa maono yangu naamini niffer hakuna na mtaji huo inawezekana alikuwa akidanga kwa akili wakati wenzie walidanga na kununua ist yeye akaanza biashara lakini hata hivyo bado hawezi kuchipua kwa haraka hivyo
 
Back
Top Bottom