Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Money laundering mazee shtuka, hawa wanaojiita celeb wanatumika sana kusafisha pesa za watu..
Wanaiba hela zaidi ya uwezo wao halafu wanakosa pa kuzipeleka
Wengine wamekamatwa nazo wakiwa wameziweka nyumbani
💰 laundering imeshamiri sana naona
Pia drugs
Huku nilipo watu wanatakatisha kwenye maduka ya madini na maduka ya saa ghali
 
Niffer wakishua kitambo........
Sio wa kishua. Nimesoma nae tuition centre fulani, kasoma na mdogo wangu upande wa mama mkubwa walikuwa darasa moja ila nimesoma shule tofauti nao. Namkumbuka kwa kuongea kwa sauti kubwa.

Mdogo wangu amekuwa akimtaja muda sana, kipindi ana duka la kawaida tu na sio maarufu. Nikawa siko interested na story zake naona ni muuza duka kama wengine. Nilikuja mjua baadae sana ni yeye, sikuwa mtumiaji wa Insta.
 
wabongo sisi kuendelea itatuchukua muda sana tunajua utajiri wa mtu kuliko anavyojijua yeye wivu umetujaa sana asee

mtakatisha fedha
katoa kafara
frimasoni
anauza k
hizo ndio mambo tunaamini tukiona mtu katoboa.... cha kujiuliza umeshindwa nn kufika alipofika kama mambo unayajua
 
Sema huyo manzi atakuwa na mashine mnato ile laana.... ni mwanadada aliyeumbika haswa. Anayekojoa pale ndo anaweza kujigamba anakula matunda ya uhuru wa nchi hii. Sisi wengine bado tuko na kina Mzee Dosa Aziz tunapigania uhuru kupitia TANU. Kuhusu utajiri wake iko wazi ni Money Laundering... aombe sana asije akakosea step kwasababu atapotezwa mazima.
Mbona kuna madem wengi wakali lakini choka mbaya hawana hela.
 
Kuna uzi ulikuwa na sauti yake akimfokea mfanyakazi wake na akasema anatoa mkuu.n.d.u (analiwa ndogo) kupata hela.

Bahati mbaya @mods waliufutilia mbali ule uzi haraka sana.

Naamini maneno mtu anayosema akiwa kwenye hasira yana ukweli 90%
 
Udangaji auwezi kumpa vitu alivyonavyo . Ila Kuna loophole ambazo zinamfikisha hapo watu wazito wametupia kibunda baada ya kuona potential katika biashara zake . Lakini udangaji ni big no Kuna watu ninaowafahamu Kwa karibu sana wanafanya udangaji wamepewa mpaka vyeo vikubwa magari etc ila bado maisha yao ni ya wastani tu
 
Back
Top Bottom