Dada zangu wakimuona basi wana stress, nao wakijaribu kuanza na mtaji wa biashara wa 40elfu hawatoboi....... masocialites wengi ni wauzaji ila wao ni expensive prostitute. Nicole mwenyewe anadai kilimo kimpa nyumba na magari......... wanazani watu hawajui. Ukitaka kujua story za hawa maslay Queens wa huko social networks waliojificha kwenye biashara, uigizaji na hata mziki. Watafute madereva wa taksi wa Airports hizi hasa za Arusha na Mbeya au wafanyakazi wa hotels kubwa hizo unapewa mafaili yote.
Kuna watu huko migodini Mbeya na Arusha, kuna uwezekano washamaliza hawa maslay Queens wote wanaotrend instagram.