Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini

Pia anamiliki Niffer Mall

Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]

Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kupambana sio wanawake wengine wanaotegemea kudanga


Pia soma:Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150
Biashara ya mtandaoni inalipa mno kaka wala usishangae
 
Hili halina ubishi kuna jamaa ana deal na madini ni papaaa asa juzi juzi kaonga demu crown athlete....na nyumba kampangishia mwaka mzima ndani ya geti mtoto anakula upepo mwanana......

Ukienda viral mtoto kafunguliwa duka la vipodozi kama lote....... jamaa anapush range rover vogue nyeusi hizo sport light na fogs lights ni atari na vile vile ana mercedes fulani white ya moto sana 🙌🙌🙌🙌
Habari za tajiri muulize masikini ndio kama hivi Sasa 🤣
 
Aisee
Nakielimu changu cha kujifanya najua kuchakachua ma sinewave ya umeme wa calculus
halafu juzi nawasikia jamaa vijana nilisoma nao wakaishia njiani kwenda kumsaidia baba yao biashara zake, wanaongelea makusanyo ya kodi la gorofa walioachiwa na baba yao ni zaidi ya millioni 800 kwa mwaka
Nilijiona zoba wakutupwa
 
Aisee
Nakielimu changu cha kujifanya najua kuchakachua ma sinewave ya umeme wa calculus
halafu juzi nawasikia jamaa vijana nilisoma nao wakaishia njiani kwenda kumsaidia baba yao biashara zake, wanaongelea makusanyo ya kodi la gorofa walioachiwa na baba yao ni zaidi ya millioni 800 kwa mwaka
Nilijiona zoba wakutupwa
😂😂😂😂, gonga Sana ma half life equations wapi, ma circular motion
 
biasharazake hamzioni au?Sasa milioni 160 nihelanyingi?🤣🤣🤣

maskini wamwili naakili nyie
hapabongo ukijituma unaweza kununua gari hata labilioni nne nahela inabaki nyingi tuu
Mkuu vipi umeshanunua magari mangapi ya billion? Au na wewe hujitumi kama sisi?
 
Kwa biashara hizi za bongo ni ngumu kupanda kwa haraka hivyo, kaa nae chini akueleze ukweli hela anapatia wapi ila sio kwa kupambana.
Vyovyote alivyozipata bado itabaki kuwa ni 'kupambana' tu, whichever means, whatever tricks bado ni 'kupambana' vilevile. Wengi tuna siri za kustaajabisha na nyingine za kutisha alimradi tu-maintain standards tunazojivuna nazo.
 
Back
Top Bottom