Shem la mjini.Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini
Pia anamiliki Niffer Mall
Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]
Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kudanga badala ya kupambana!!
Pia soma:Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150
Ukuaji wake wa biashara ni wakasi sana Kuna mengi behind the seen mtaji wa elfu 40 ukupe utajiriNi binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini
Pia anamiliki Niffer Mall
Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]
Huyu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaoishi kwa kudanga badala ya kupambana!!
Pia soma:Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150
Mbona wengi wanautajiri wa halali bila kafara huu utajiri wa niffer kama sijauelewa bado kutoka mtaji wa elfu 40 hadi kuwa tajiri kwa maono yangu naamini niffer hakuna na mtaji huo inawezekana alikuwa akidanga kwa akili wakati wenzie walidanga na kununua ist yeye akaanza biashara lakini hata hivyo bado hawezi kuchipua kwa haraka hivyoTuapambane sana kutafuta life!tusilinganishe maisha ya watu!!
"Utajiri ni Siri na Siri ndio utajiri wenyewe"Robert Heriel!
"Hakuna utajiri bila kafara ya damu"The bold!