Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Mimi mjomba angu ukiambiwa story yake ya Maisha ni kwamba alianza biashara kwa kuuza chai badae akapata mali nyingi sana na kuwa moja ya watu wenye pesa eneo lake lakini kama mtu mzima unaelewa tu kuna issue alifanya ambazo hawezi kumwambia mtu japo the common accepted version ni kwamba alianza maisha na Biashara ya kuuza chai
 
Kafara hata jasho pia!
 
hajafika levels za masogange. waliomla maso wanajua. acha kabisa..weka mbali. wacha tu apumzike kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…