Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

Biashara ya mtandaoni inalipa mno kaka wala usishangae
 
Habari za tajiri muulize masikini ndio kama hivi Sasa 🀣
 
Aisee
Nakielimu changu cha kujifanya najua kuchakachua ma sinewave ya umeme wa calculus
halafu juzi nawasikia jamaa vijana nilisoma nao wakaishia njiani kwenda kumsaidia baba yao biashara zake, wanaongelea makusanyo ya kodi la gorofa walioachiwa na baba yao ni zaidi ya millioni 800 kwa mwaka
Nilijiona zoba wakutupwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, gonga Sana ma half life equations wapi, ma circular motion
 
biasharazake hamzioni au?Sasa milioni 160 nihelanyingi?🀣🀣🀣

maskini wamwili naakili nyie
hapabongo ukijituma unaweza kununua gari hata labilioni nne nahela inabaki nyingi tuu
Mkuu vipi umeshanunua magari mangapi ya billion? Au na wewe hujitumi kama sisi?
 
Kwa biashara hizi za bongo ni ngumu kupanda kwa haraka hivyo, kaa nae chini akueleze ukweli hela anapatia wapi ila sio kwa kupambana.
Vyovyote alivyozipata bado itabaki kuwa ni 'kupambana' tu, whichever means, whatever tricks bado ni 'kupambana' vilevile. Wengi tuna siri za kustaajabisha na nyingine za kutisha alimradi tu-maintain standards tunazojivuna nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…