Sijaona ujuaji wowote hapo! Ama sijui maana ya ujuaji..Easy and breathe Bro. Ujuaji mwingi sometimes huwa ni upumbavu
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mhmm! Haya!Gambushi kuna magorofa na mataa kuliko dar,ni katika ulimwengu wa kufikirika lakini.
Hizi ni hekaya majina yq watu na vitu havina uhusiano na ukweli relax
kujifanya unakijua sana kisiwa cha Chumbe na unataka kumsahihisha Mleta story.Sijaona ujuaji wowote hapo! Ama sijui maana ya ujuaji..
By the way... Kisiwa cha Chumbe ni maarufu sana kisiasa, kihistoria na kitalii... Hivyo kisichukuliwe poa kivile!
Kuweka fact sawa... Kumbuka hii ni simulizi ya kweli!kujifanya unakijua sana kisiwa cha Chumbe na unataka kumsahihisha Mleta story.
Sio kila sehem unaweza ijua sio kweli unaweza fikir hivyo ila kuna maeneo hutajua,Kuweka fact sawa... Kumbuka hii ni simulizi ya kweli!
Yup! Lakini sio kisiwa cha Chumbe.... Ngoja nimsubiri Master, kwa ufafanuzi zaidi!Sio kila sehem unaweza ijua sio kweli unaweza fikir hivyo ila kuna maeneo hutajua,
Hivi hii fisi bado tu haijaweka sehemu ya 16?
Umeandika kwa emotions hata ukatae,yaani uliongozwa na irrational brain am sio rational one,use slow brain and sio fast thinking brain mkuu na ndio Mana tuna tofauti na wanyama tunawazidi iyo rational brain.
Kwanza nichambue brain yako Ni kwa Nini umeandika haya yote Kama ifuatavyo Mana Niko field kwenye mind za watu;
1-huna kazi zinazokubana
2-ratiba zako,mawazo yako yaani kila kitu chako unataka kila mtu awe Kama wewe so your subjectivity unataka iwe objectivity.
3-sijajua umri wako na majukumu yako unalilia story ambazo haziwezi kukuongezea chochote kwenye maisha yako hata uje kuwasimulia wajukuu faida yako.
4-unazidiwa na emotions Kama hivyo brain yako inataka upate Raha ya hadithi Ila huipati so unalilia na ndio Mana wauza Raha Wana hela Kama wanamuziki wanamichezo wauza mbususu,drugs,pombe,sigara,bangi wanapata hela Mana wanaridhisha feelings or emotions za watu.
5- Nikupe mbinu fanya chochote jisahaulishe soma hata kitabu Cha Hadithi ama waza namna gani akaunti yako isome angalau b plus huko benki hizi Hadithi hazitakuwa na Mana kwako.
6- waza namna mwanao atasome USA ama uk like oxfords University am sure you won't bothered/irritated this baby stuffs.
7-Ni kweli hamjapangiana ailete ama wewe uisome si ubonyeze Ile button ya ignore member ama kwako haionekani.
8-hamjapangiana kuisoma ama kuileta mbona Sasa Tena unampangia.
9- unataka akuambie kuwa yupo wapi na anafanya Nini WEWE Ni Nani unaweza ukamlisha hata siku moja,hujui Kuna watu hawapendi kujielezea hata kwa mabosi zao.
10- unamtishia kuwa akubakia nayo ataenda milembe kwa sayansi ipi kwani anashindwa kuwasimulia jamaa anaofanya nao kazi.
11- Do something else hutaweweseka ,ama Kama Kuna mtt unapoishi mfundishe hata simple present tense ama hesabu za milinganyo ama msimulie history ama mwambie dunia yetu una mabara mangapi.
Ujue mpaka nimeshindwa.
Usijali bana tuna socialize don't take serious. Build your mind muscles and not physical muscles please
Akiwa njiani kurudi dar atasema laptop yake ilipotea baada ya gari yao kupinduka morogoro akapona yeye tuNimejisahau nikaingia hapa..kumbe alisema mpaka Jumatatu akirudi Dar.
Inaonekana kwenye huu uzi msomaji wa zanzibar maeneo yalotajwa ni wewe tu.Yup! Lakini sio kisiwa cha Chumbe.... Ngoja nimsubiri Master, kwa ufafanuzi zaidi!
Kwa ufupi mimi ni mstaafu...Inaonekana kwenye huu uzi msomaji wa zanzibar maeneo yalotajwa ni wewe tu.
Inaonekana pia kuna ka course unakasoma hata field bado ujaanza kwenda labda hapa ndo unafanya practical ....kwahiyo kati ya wasomaji humu mjanja wewe peke yako wengine wote 0.
Haya msomi wetu.... Enhee tufumbue macho...
Alie kwambia mvi ni hekima nani!!Kwa ufupi mimi ni mstaafu...
Naona unaanza ligi....Alie kwambia mvi ni hekima nani!!
🚮🚮🚮🚮Naona unaanza ligi....
Wacha nimsubiri Master, nipate jibu alikwenda Chumbe ipi!
Kama wastaafu wanakuwa wazee wa hovyo hivi kukomalia mambo madogo namna hii, sijui wajukuu itakua namna ganiAlie kwambia mvi ni hekima nani!!