OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ivi kumbe na wewe ni wa huko 🤣🤣🤣🤣Tumoghele
Mbeya hatuna Mbambamba.
Isingekuwa hayo maruweruwe ya kina Ally Mpemba tungeonana Mkuu.
Tukionana hayo lazima yalipuke.
Dah umezingua kinyama 😂😂😂😂