Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Zanzibar kuna Chumbe mbili.... moja ni kisiwa kabla ya kufika Unguja na Chumbe ya pili ipo karibu na Mbweni katika barabara ya kwenda Entebbe.

Master naona kashindwa kabisa kuelezea ni Chumbe ipi alikwenda! Kama ni Chumbe ya barabara ya kwenda Entebbe, hiyo haina msitu na bahari ipo mbali kidogo aidha eneo lote toka Chumbe hadi ufukweni kumejengwa, hivyo basi hakuna msitu wa aina ya simulizi ilivyosema.

Kwa upande wa kisiwa cha Chumbe, ni kisiwa kisichokaliwa na wenyeji, zamani wavuvi walipita hapo baada ya shughuli zao za uvuvi na ndio sababu kuna msikiti kisiwani hapo. Zaidi ya msikiti kuna mnara wa kuongezea meli na vibanda vya hoteli ya kitalii. Ni kisiwa ambacho kipo chini ya uangalizi na kinasimamiwa na kampuni binafsi!

Sijui Master alikwenda Chumbe ipi! Kama kuna mtu anajua ni vema akatufahamisha.
Yeye aliambiwa anapelekwa Chumbe, akapelekwa alipoambiwa panaitwa chumbe, hakuhoji zipo ngapi, hakuhoji wameenda Chumbe ipi, ilikuwa si wajibu wake kuhoji hayo sababu hakua hata akijua kama kuna sehemu inaitwa Chumbe.

Inawezekana hakwenda Chumbe, inawezekana hiyo Chumbe ni code tu ambayo akina Ally Mpemba huitumia kulitambulisha eneo hilo.

Ni kama vile Mganga anavyoitwa Kiti, ina maana ungeanza kuhoji ni kiti gani, sofa cha plastic au mbao?
 
Yeye aliambiwa anapelekwa Chumbe, akapelekwa alipoambiwa panaitwa chumbe, hakuhoji zipo ngapi, hakuhoji wameenda Chumbe ipi, ilikuwa si wajibu wake kuhoji hayo sababu hakua hata akijua kama kuna sehemu inaitwa Chumbe.

Inawezekana hakwenda Chumbe, inawezekana hiyo Chumbe ni code tu ambayo akina Ally Mpemna huitumia kulitambulisha eneo hilo.

Jibu safi sana hili,
 
Hapana shaka sasa atakuwa amejua ni Chumbe ipi alipelekwa!
 
Sasa sijui IPO page namba ngapi?
Page No. hutofautiana kutegemea user anatumia kifaa kipi/settings zipi; Ila post No. huwa sawa kwa wote

Post #1,637 👉| Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani | Sehemu - 16

2023-01-08_12-39-34.jpg
 
Back
Top Bottom