To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ipi baba?Sawa madam, ila haujanimalizia ile story yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi baba?Sawa madam, ila haujanimalizia ile story yako
Si ya yule mwanafunzi wako aliyekutongoza madam, kisha ukamtafutia sababu ya kumpiga??Ipi baba?
Nenda huko bhnKheee heee heee...Eeh!
Hii ni tukio la ukweli, ni vema kila kitu kikaenda kwa uhalisia wake.
Iliisha mbona,nilisema alipigwa na baba yake mpaka akazimia...ikawa kaz ingine tena ya kwenda mwona hospital... Saivi kanachunga ng'ombe nasikiaSi ya yule mwanafunzi wako aliyekutongoza madam, kisha ukamtafutia sababu ya kumpiga??
Akaishia kukubebea panga??
Dah nimecheka sana, kumbe mzee wake alishusha hesabu za kirumiIliisha mbona,nilisema alipigwa na baba yake mpaka akazimia...ikawa kaz ingine tena ya kwenda mwona hospital... Saivi kanachunga ng'ombe nasikia
Muzee,u really care kuwa mzimu ulikula nini jamaa waliposafiri!??Bado haileti maana hiyo dhana yako, kama ni hivyo kwanini wakati amesafiri alimwachia Umughaka kazi ya kununua mboga za huyo kiumbe, kama ni kuwasiliana na mganga wake si angewasiliana nae tu.
😂😂😂alimpa kweli yaanDah nimecheka sana, kumbe mzee wake alishusha hesabu za kirumi
Mungu hafanyi jambo kwa njia unayotaka 😂😂😂Nina uhakika na Mungu
Yawezekana unataka afanye Kwa njia unayoitaka wewe.Mungu hafanyi jambo kwa njia unayotaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wewe utakua lile jitu linalofungiwa ndani na Ally au?Mkuu, Mbona hapo nimejitahidi kukupa faraja, sema tatizo Mimi sio binadamu
Aisee kuna somo itabidi nikupe uelewe how things are workingYawezekana unataka afanye Kwa njia unayoitaka wewe.
Lakini anaweza kufanya Kwa njia yake, na hiyo njia ndio pengine ninayoitaka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo ilikua siku moja, wakimpigisha deshi wiki nzima si anachoma nyumba kabisaMuzee,u really care kuwa mzimu ulikula nini jamaa waliposafiri!??
Nways wacha nilijibu hili for the sake of it...Kuna siku walimpigisha deshi akaivuruga sebule...umesahau!??
yule si wa kike lakini??, Kama vipi nifungie ili uthibitisheKwa hiyo wewe utakua lile jitu linalofungiwa ndani na Ally au?
ILa master ni jasiri sana aiseeyule si wa kike lakini??, Kama vipi nifungie ili uthibitishe
Naona unakula melody ya twente pasenti, asilimaile.Namtafuta Umughaka hapa mjini Mbezi nimetokea Kibaha. Niombeeni dua. yeye asimulie mimi niandike epsode zote chapchap.
Dua zeny muhimu sana, nimuone uyu jamaaView attachment 2466558View attachment 2466562
Mkuu hii ni stori tu Chumbe ni kisiwa kilikodishwa kwa mzungu miaka 99. Tokea enzi za Salmin Amour, sasa mtunzi alie kuwa hajafika zanzibar anajua kisiwa cha chumbe labda kama cha Tumbatu.🤣Naona unaanza ligi....
Wacha nimsubiri Master, nipate jibu alikwenda Chumbe ipi!
Me pia nimejisahau mkuuNimejisahau nikaingia hapa..kumbe alisema mpaka Jumatatu akirudi Dar.