Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mkubwa ndo nani tena?!Kaka mkubwa kaenda wapi hadi unipe mie hilo jukumu?
MumeoKaka mkubwa ndo nani tena?!
😂😂😂ngoja aone anaenikula hii comment niachwe usikuusiku😂😂We ndo umenambia huwezi amini To yeye me nmempgia simu nasikia mtu pembeni anaongea sauti ya kikurya.
Tena To yeye kaniambiaje ety nipo tu hapa kweny bar ya wakurya nkamwambia dada angu we na bar wapi wapi mbona nasikia mwangi hapo ulipo akakata simu akanitumia sms ety ntakupiga badae. Nkasema mhhhh huyu kaka naona kahamishia majeshi kwa dada angu
Aah hapa ndani hayupo😂😂😂ngoja aone anaenikula hii comment niachwe usikuusiku
😂😂😂ngoja aone anaenikula hii comment niachwe usikuusiku
Aaah nimeona Uzi unakimbia trending nikahs episode imetoka kumbe mnapiga umbea 🚶🚶🚶Aah hapa ndani hayupo
😂😂😂yaan weweAah hapa ndani hayupo
Aah kama yupo basi ajitokeze. Nimwambie jinsi ulivomkubali kaka angu ukasema upo single😂😂😂yaan wewe
Mi sipo single kiukweliAah kama yupo basi ajitokeze. Nimwambie jinsi ulivomkubali kaka angu ukasema upo single
Ile siku ulivosema upo singleMi sipo single kiukweli
Nini Mkuu mbona kuduwaaa Hivo??
Kupatwa kwa zee lako la mchongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Litakuwa na kiziziKupatwa kwa zee lako la mchongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Yah muhimuAje kutupa updates badi Gabi anaendeeaje???
Nilikaa pembeni nikajua nikirudi nitakuta muendelezo kumbe bado mbambamba zinaendelea[emoji28]Wapi Umughaka [emoji1745][emoji1745]