Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kulogwa ni sawa tu na kurogwa yaani hayo maneno yanabeba maana moja, hivyo unaweza kutumia neno lolote katika hayo na ukaelewekaMkuu anayejua herufi sahihi kwenye hili neno, je ni kurogwa au kulogwa anisaidie. Mana kila mtu anandika lake
Huyo pisi kali hamjui Monica?Kakutana na pisi kali ya mbeya.
Haya sawa kama ndo hivoSandakarawe hiyo🙋
Huyu mwanamke watu wote wanamuogopa hapa ndani sijui ww unewezaje wezaje.Naomba uniweke wazi shem darling
nahofia huyu mwanamke ataniua
Niweke wazi Kuna nini upande wa pili
Hakuna,hakuna baba,huyu ananipaga tu wanaume.Plzz usimsikilize usimwamini😔Naomba uniweke wazi shem darling
nahofia huyu mwanamke ataniua
Niweke wazi Kuna nini upande wa pili
😂😂😂😂mbavu zanguuuHuyu mwanamke watu wote wanamuogopa hapa ndani sijui ww unewezaje wezaje.
Kwahiyo na wewe unawapokea kwa moyo wote?Hakuna,hakuna baba,huyu ananipaga tu wanaume.Plzz usimsikilize usimwamini😔
Unanitisha ikiwa nimezama mzima tayari,niokoe kama niendako sikoHuyu mwanamke watu wote wanamuogopa hapa ndani sijui ww unewezaje wezaje.
Hadi hapo tulia dawa ijakukolea bado.Unanitisha ikiwa nimezama mzima tayari,niokoe kama niendako siko
Embu tulia,hapa umefika my man❤Unanitisha ikiwa nimezama mzima tayari,niokoe kama niendako siko
Aaah juzi siulisema ety ooh Lovelovie mim nina mchumba angu fulani ukamtag kabisa nkasema oooh haya.Hakuna,hakuna baba,huyu ananipaga tu wanaume.Plzz usimsikilize usimwamini😔