Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kulogwa ni sawa tu na kurogwa yaani hayo maneno yanabeba maana moja, hivyo unaweza kutumia neno lolote katika hayo na ukaelewekaMkuu anayejua herufi sahihi kwenye hili neno, je ni kurogwa au kulogwa anisaidie. Mana kila mtu anandika lake