Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nimepata habari zake,mwamba amekwamia iringa,kuna kidemu cha kihehe kakipata pale pembeni ya stend ya zamani kimempa mavi Mura kapagawa mazima,naskia hata ishu zake za TOYO anataka kuhamishia iringa
Walichomfanyia master sio poa aseee wamuachiee aje kumalizia story kwanzaaa arosto ni kubwa sana
 
Wakuu naendelea na stori kwa ID hii mimi "Umughaka" nilipata mabalaa kidogo baada ya mdada wa kiMwaisa alinipatia Utelezi sasa kwenye kuchakata "akaifinyia kwa ndani" nikapoteza Network kenge mimi kuuumbe maskini wakaiba kila kitu kuanzia simu mpaka pesa kwaio kwasasa
UMUGHAKA NI KENGE 01 Kabisa[emoji706][emoji706]
 
Wakuu habari zenu,namshukuru Mungu nilienda kumwona Gabi na anaendelea vizuri. Jana nilifanikiwa kusafiri na nimefika Dar salama kabisa.

Ila nimekuta mambo mengi hayapo sawa kama nilivyoacha inabidi nipate muda wa kuyaweka sawa. Kwahiyo mtanisamehe sitaweza kuendelea na stori kwa wiki hi.

Ila nawaahidi kuanzia jumatatu nitaweka episode non stop nitajitahidi niweke episode 3 mpaka 5 kwa siku ili tukimbizane na muda.
Mnisamehe sana nimeshindwa kuwakata kiu yenu nitarudi jumatatu.

UJUMBE KUTOKA KWA UMUGHAKA[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trudie umeutolea wap wewe
 
Unataka ban la kujilazimisha wewe 😁😁
 
Back
Top Bottom