Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kumbe hata tuhuma za kumfungia ndani Umughaka kakuzushia tu!Hakuna,hakuna baba,huyu ananipaga tu wanaume.Plzz usimsikilize usimwamini😔
Lovelovie una kesi ya kujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata tuhuma za kumfungia ndani Umughaka kakuzushia tu!Hakuna,hakuna baba,huyu ananipaga tu wanaume.Plzz usimsikilize usimwamini😔
Hata simfahamu wala kuzoeana nae huyo umughakaKumbe hata tuhuma za kumfungia ndani Umughaka kakuzushia tu!
Lovelovie una kesi ya kujibu
Nimepata habari zake,mwamba amekwamia iringa,kuna kidemu cha kihehe kakipata pale pembeni ya stend ya zamani kimempa mavi Mura kapagawa mazima,naskia hata ishu zake za TOYO anataka kuhamishia iringakitalembwa Lovelovie mafian Cartel mmash Restless Hustler vipi hamjamuona master huko??? Nasikia amepotea aiseee mkimuona mwambie anatafutwa kwa udi na uvumba hukuuu arostooo!!!
Walichomfanyia master sio poa aseee wamuachiee aje kumalizia story kwanzaaa arosto ni kubwa sanaNimepata habari zake,mwamba amekwamia iringa,kuna kidemu cha kihehe kakipata pale pembeni ya stend ya zamani kimempa mavi Mura kapagawa mazima,naskia hata ishu zake za TOYO anataka kuhamishia iringa
BilabilaDooh
Hatari bi mdashi,tutamfanyia maombi,wahehe watuachie master aseeWalichomfanyia master sio poa aseee wamuachiee aje kumalizia story kwanzaaa arosto ni kubwa sana
Ha haa ahh hapana nilkuwa napita tu Sasa nikashangaaa watu wanazodoana ht Bila hatiaKumbe na huku upo
Daah huyo shost wako Lovelovie kaniingiza king hadi nikaamini umemteka umghaka kumbe nothing.Hata simfahamu wala kuzoeana nae huyo umughaka
Trudie umeutolea wap weweWakuu habari zenu,namshukuru Mungu nilienda kumwona Gabi na anaendelea vizuri. Jana nilifanikiwa kusafiri na nimefika Dar salama kabisa.
Ila nimekuta mambo mengi hayapo sawa kama nilivyoacha inabidi nipate muda wa kuyaweka sawa. Kwahiyo mtanisamehe sitaweza kuendelea na stori kwa wiki hi.
Ila nawaahidi kuanzia jumatatu nitaweka episode non stop nitajitahidi niweke episode 3 mpaka 5 kwa siku ili tukimbizane na muda.
Mnisamehe sana nimeshindwa kuwakata kiu yenu nitarudi jumatatu.
UJUMBE KUTOKA KWA UMUGHAKA[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wanguBilabila
Abeee kakalakeee!!Mdogo wangu
Unataka ban la kujilazimisha wewe 😁😁Wakuu habari zenu,namshukuru Mungu nilienda kumwona Gabi na anaendelea vizuri. Jana nilifanikiwa kusafiri na nimefika Dar salama kabisa.
Ila nimekuta mambo mengi hayapo sawa kama nilivyoacha inabidi nipate muda wa kuyaweka sawa. Kwahiyo mtanisamehe sitaweza kuendelea na stori kwa wiki hi.
Ila nawaahidi kuanzia jumatatu nitaweka episode non stop nitajitahidi niweke episode 3 mpaka 5 kwa siku ili tukimbizane na muda.
Mnisamehe sana nimeshindwa kuwakata kiu yenu nitarudi jumatatu.
UJUMBE KUTOKA KWA UMUGHAKA[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unauma shemdarlingMbona kama unanikomoa shem darling...? Kuwa na upendo hata kidogo maana mtu mzima kulia ni jambo la aibu