DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
😱😱😱😱Kuna haya mashenzi Fulani Santos06 Kambi ya Fisi Chizi Maarifa @gaganika na mijitu miwili hivi hii mikitu ni kero katika jamii forum waniseme wasiniseme shauri yenu mxiuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱😱😱😱Kuna haya mashenzi Fulani Santos06 Kambi ya Fisi Chizi Maarifa @gaganika na mijitu miwili hivi hii mikitu ni kero katika jamii forum waniseme wasiniseme shauri yenu mxiuu
masai dada Mshuza2 @Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 17.
Nikiwa njiani naelekea kwake alinipigia simu akinitaka nipitie pale Big Bon nimsubiri atoke msikitini kisha tuandamane nae hadi kwake.Baada ya muda kupita Ally Mpemba alirudi kutoka msikitini na aliniambia nipande gari yake kisha tuondoke.
Ally Mpemba "Swalama master"
Mimi "Mimi niko poa kaka"
Ally Mpemba "Usiogope mdogo wangu haya ni mambo ya kawaida sana hapa mjini!"
Aliendelea "Wewe nakuona utakuwa mtu mkubwa sana "
Mimi "Kweli kaka?"
Ally Mpemba "Wewe tulia tu utajionea"
Tulipofika kwake nilitelemka kwenye gari na kwenda kufungua geti kisha akaingiza gari ndani.
Sasa tulipofika ndani mimi nilikaa pale sebuleni halafu Ally Mpemba yeye akawa amepitiliza moja kwa moja kuingia chumbani kwake,ilipofika mida ya saa 10 Alasiri nikiwa nimekaa pale sebuleni nikisubiri animbie alichoniitia,ndipo nikahisi mkononi nimeanza kubanwa na ile bangiri;Ilibana kwa nguvu huku damu ikaanza kunitoka kwenye mkono ambayo haikuwa nyingi sana,ilipoendelea kubana sana hadi kuihisi maumivu nilichomoa kile kichupa kidogo cha Gliselin kilichokuwa na ule mchanganyiko wa damu na dawa nikaanza kuipaka ile bangiri,baada ya dakika 2 hivi ndipo nikahisi ile hali ya kubana inaachia.Kiukweli baada ya lile tukio nilijisikia mwepesi kupita maelezo,kila jambo mbele yangu niliona halina kizuizi chochote.
Nikiwa naendelea kumsubiri Ally Mpemba pale sebuleni nilisikia ule mlango wake ukifunguliwa na ndipo kutazama nikidhani ningemuona Ally Mpemba haikuwa hivyo,alikuwa ni yule kiumbe wa ajabu akitoka ndani ya kile chumba akirudi kwenye chumba chake,sikuelewa alichokuwa amefata ni nini kwenye kile chumba na alionekana kama kushangaa sana!.
Baada ya muda Ally Mpemba nae alitoka ndani kisha akakifunga kile chumba.Sikujua yule kiumbe alipita muda gani kuingia kwenye chumba cha Ally Mpemba wakati nikiwa pale sebuleni kwasababu ile nyumba namna ilivyokuwa imekaa,ilikuwa rahisi mtu akitoka au kuingia chumbani kuonekana,yawezekana alikuwa chumbani kwa Ally Mpemba muda mrefu na Ally Mpemba alipofungua chumba basi alimwambia aondoke aelekee chumbani kwake kulikokuwa na shimo chini ya kabati.
Lakini kilichonishangaza zaidi ni muda Ally Mpemba aliotumia alipoingia chumbani,tulifika hapo nyumbani kwa Ally mida ya saa 8 mchana baada ya kutoka Kkoo,mimi niliendelea kukaa pale sebuleni hadi mida ya saa 10 alasiri ndipo kubwana na ile bangiri ambayo niliambiwa ni Alfwat anakula;kuna masaa kama mawili Ally Mpemba alikuwa chumbani kwake na yule kiumbe ambaye hadi wakati huo nilikuwa simuogopi baada ya kuzoea yale mazingira na kuhakikishiwa na Ally Mpemba usalama wangu wa Kimwili na Kiroho.
Ally Mpemba "Vipi zoezi lako limekamilika?"
Mimi "Ndiyo kaka "
Ally Mpemba "wewe ni muaminifu sana na ndiyo maana nakupenda sana!"
Aliendelea "Kama nilivyokwambia,wewe utakuwa mtu mkubwa sana kwasababu huogopi kuyatafuta mafanikio"
Aliendelea "wabongo wengi hawafanikiwi kwasababu wanadhani mafanikio hujileta tu kwa kupiga blah blah,mafanikio yanatafutwa kwa nguvu isiyokuwa ya kawaida master"
Aliendelea "Nitakusapoti mwanangu kwakuwa na wewe umenisapoti na umeonyesha uaminifu kwangu tangu nilipokuamini,sikukosea kukuchagua uwe rafiki yangu!"
Aliendelea "Kwasasa hizi ni hatua za awali tu ila nakuona mbali sana,ukiendelea hivi sidhani kama nitakusogelea kwa pesa master"
Kiukweli maneno ya Ally Mpemba yalinichochea sana hadi kuwaza kufanya mambo makubwa ili nipate pesa na mimi niwe mtu maarufu mjini na niendeshe magari ya gharama kama watu wengine.
Baada ya maongezi yale na Ally Mpemba nilimuuliza uenda kulikuwa na ishu yoyote alitaka kuniambia ili niweze kurudi nyumbani mapema.
Ally Mpemba "Hivi unaweza kuendesha gari?"
Mimi "Ndiyo kaka naweza japo sina leseni!"
Ally Mpemba "Ulijifunzia wapi gari master wewe!"
Mimi "Kaka wala sikwenda chuo kujifunza bali kuna mahali nilikuwa napewa kusogeza kidogo tu hadi nikafahamu kimtindo!"
Ally Mpemba "Kwahiyo unaweza kusogeza kimtindo?"
Mimi "Ndiyo kaka!"
Ally Mpemba "Ulikuwa muosha magari nini!"
Mimi "Kwanini kaka?"
Ally Mpemba "Nimeuliza tu maana jamaa wao ndiyo huwa wanaweza kusogeza kimtindo lakini kuendesha kwao ni changamoto!"
Mimi "Hapana kaka,mimi nilijua kusogeza gari miaka fulani nilikuwa mpiga debe"
Ally Mpemba "Duuuu ushawahi kuwa mpiga debe?"
Mimi "Ndiyo kaka!"
Ally Mpemba "Basi kama ndivyo wewe ni faita,kumbe nakuchukulia poa eeeh!"
Mimi "Kawaida tu kaka ni moja ya utafutaji!"
Ally Mpemba "Ok,sasa itabidi nikusajilie ile gari Aud ili uwe unatembelea miradi yangu pamoja na kufanya ishu zako ziwe rahisi!"
Mimi "Kweli kaka?"
Ally Mpemba "Sijawahi kuongopa na ninachoamini wewe unakuja kuwa mkubwa zaidi yangu,jambo la msingi ni kunitunzia siri vinginevyo tusije tukalaumiana!"
Mimi "Kaka kwa hilo tu usijali "
Ally Mpemba "Hapa kwangu umewahi kumuona mtu mwingine zaidi yako kwa muda huu tu ambao nimefahamiana na wewe?"
Mimi "Hapana kaka sijawahi kumuona mtu yeyote!"
Ally Mpemba "Ok,je umewahi kumuona ndugu yangu yeyote hapa kwangu kwa wale unaowafahamu?"
Mimi "Hapana kaka"
Ally Mpemba "Ok uwe unajiuliza kwa nini wewe ninakupa kipaumbele kuliko ndugu zangu!"
Aliendelea "Wewe ni mtu muhimu sana kwangu hivyo usije ukafanya nikakosa uamimifu kwako itakuwa ni mbaya sana katika maisha yako!"
Mimi "Sawa kaka sitokuangusha"
Ally Mpemba "Hivi karibuni nataka kufanya safari ya Oman ila kabla ya kuondoka nitaomba uwe unanisitiri kwa kipindi chote ambacho sitokuwepo!"
Mimi "wala usijali kaka wewe ushakuwa zaidi ya ndugu!"
Sasa baada ya kusikia jamaa anataka kunipatia ile Aud mpya niwe natembelea,kiukweli nilikuwa nina furaha ya ajabu na nilijikuta nawaza mambo mengi sana na jambo ambalo lilikuwa la kwanza kichwani mwangu baada ya kupata ile gari,safari ya kwanza ingekuwa kwa mjomba Nico kule Ununio ili niende nikaonyeshe taizi la nguvu na kuonyesha sikuhizi niko Matawi ya juu,pili nilipanga niwe naingia nalo pale ofisini buguruni kuwalingishia wale mademu waliokuwa na nyodo na kuniona mimi mshamba!.Kiukweli niliona kama jamaa ananicheleweshea ile mashine na ndiyo maana ilifikia wakati kila jambo alilokuwa akiniambia nilikuwa nikimjibu kwa haraka haraka bila kujiuliza mara mbili mbili madhara ya kile kitu alichokuwa ananiambia.
Ally Mpemba "Unajua maana ya kunisitiri lakini master?"
Mimi "Kaka sitoweza kupayuka kwa watu na kama nikifanya hivyo wewe nifanye unavyoweza"
Ally Mpemba "Mimi simaanishi hivyo master,siyo kwamba sikuamini kwamba wewe ni msiri ila nahitaji uwe unanisitiri kwa kipindi chote hicho ambacho sitokuwepo"
Mimi "Kaka kukusitiri kiaje?"
Ally Mpemba "Umefanya vema kuniuliza na mimi nilisubiri swali lako sema ulikuwa unazunguka!"
Aliendelea "Nadhani wewe waweza kuondoka halafu mambo mengine nitayashughulikia mimi"
Mimi "Kaka hujaniambia lakini kuhusu kusitiri "
Ally Mpemba "Nitakujuza tu wala usijali,siku ya kuondoka nadhani gari nayo itakuwa tayari hivyo nitakujuza"
Mimi "Sawa kaka,basi mimi ngoja niwahi usafiri wetu wa kugombania"
Ally Mpemba "Nisubiri kidogo nakuja"
Baada ya kuniambia nimsubiri,aliingia chumbani ambako hakuchukua muda akawa ametoka na kiasi fulani cha pesa na kunikabidhi nikitumie kama nauli.
Mimi "Nashukuru sana kaka!"
Ally Mpemba "Hupaswi kunishukuru,mimi ndiyo napaswa kukushukuru!"
Niliondoka zangu mle ndani kuelekea nje kisha nikaanza kuhesabu zile hela nikakuta ilikuwa laki 2,kiukweli nilifurahi sana kimoyo moyo na kujiona ni mtu mwenye bahati sana kuwa na urafiki na Ally Mpemba mwenye asili ya arabuni.
Nilipanda zangu gari za gongo la mboto zilizokuwa zinatokea maeneo ya Morocco,ingawaje zilikuwa zimejaa lakini hakukuwa na namna,nilichowaza mimi nikufika nyumbani sikuwaza uwingi wa abiria.Baada ya kufika nyumbani mida ya saa 12 jioni nilifungua mlango na kuingia ndani,nilipofika sebuleni kwangu niliwasha taa kisha nikawa naelekea chumbani,kama nilivyosema hapo awali ya kwamba,nikuwa nimepanga kwenye nyumba ya vyumba viwili,hivyo kulikuwa na chumba na sebule,ndani kwangu kulikuwa na kila kitu ambacho kijana wa kisasa angetamani kuwa nacho.
Baada ya kufungua chumba na kuingia ndani niliwasha taa,sasa nilipowasha taa kuna hela ambazo zilikuwa mpya noti za shilingi elfu kumi kumi nilizikuta pale kitandani,kiukweli nilishangaa sana zile hela na sikujua ni nani alikuwa ameziweka hapo kitandani,nilidhani uenda ile asubuhi wakati natoka nilizisahau pale kitandani lakini bado haikuingia hakilini kwasababu sikuwa na hela yeyote hapo ndani kwa wakati huo.Niliamua kusogea na kuzikamata zile hela na kuanza kuzihesabu moja baada ya nyingine,sasa wakati nahesabu zile hela nikawa nasikia kuna mtu anagonga mlango!.
Nilitoka chumbani kwenda kuufungua ule mlango,baada ya kuufungua ule mlango kumbe alikuwa ni yule demu wake na Steve.
Zuu "Shem mambo"
Mimi "poa,mambo vipi?"
Zuu "Safi,niazime simu yako nimpigie Steve maana kwangu sina salio!"
Mimi "Ok ngoja nikuletee"
Niliingia ndani nikachukua simu kisha nikampigia simu Steve baada ya kumpata nikampa aongee na demu wake kisha mimi nikarudi chumbani kwenda kuendelea kuhesabu zile hela,nilipokuwa nikiendelea kuhesabu zile hela,demu wa jamaa aliniita niende nikachukue simu,sasa nilipofika nilikuta bado simu haijakata na ndipo akaniambia Steve anaomba kuongea na mimi.
Mimi "Mwanangu niambie!"
Steve "Mwanangu naomba umuazime shemeji yako gesi yako apikie maana kwangu imeisha,nikirudi nakuja kuchukua kaka"
Mimi "Usijali kaka ngoja nimpatie hela akabadili mtungi halafu wewe utanirudishia!"
Steve "Utakuwa umenisaidia sana mwanangu"
Baada ya kuelewana na Steve,niliingia ndani nikachukua elfu 50 kwenye zile hela ambazo Ally Mpemba alinipatia kama nauli nikawa nimempatia demu wa jamaa ili akabadili mtungi wa gesi,baada ya kumpatia mimi nilirudi ndani kuendelea na zoezi la kuhesabu zile hela,baada ya kumaliza kuzihesabu jumla yake zilikuwa milioni 5,kiukweli nilifurahi sana na nikaona mambo yangu yanazidi kunyooka tu bila kutumia nguvu nyingi.Sasa mpango wangu ulikuwa ni kwamba,nichukue zile hela niongezee na ambazo nilikuwa nimedunduliza benki ili nianze kufanya biashara ya viazi mbatata kutoka Mbeya na niachane na mambo ya kusajili line za simu.
Kwakuwa dhamira yangu ilikuwa kuwa mfanyabiashara mkubwa wa viazi mbatata hivyo nikaona nianze kutengeneza koneksheni ya madalali pale soko la Ilala na Mabibo ili kuweza kulifahamu na kuliteka soko,sasa baada ya kujiridhisha bei ya soko nikaona nichukue kale ka hela kangu nilikokuwa nimedunduliza benki pamoja na ile hela niliyoikuta pale kitandani kisha nikapata milioni 7.
Niliamua kumpigia simu team leader na kumdanganya kwamba naelekea nyumbani kulikuwa na matatizo huku lengo langu ni kuelekea mkoani Mbeya kukusanya viazi mbatata na kuvileta mjini ili nipige pesa,lengo la kumuaga team leader ni asiendelee kuniona mzembe katika kazi ile ya kusajili line ili kuendelea kuweka uaminifu asije kuninyang'anya kodi akampatia mtu mwingine,nilitaka ile kazi niiache mdogo mdogo bila kuondoka kwa dharau maana nilichoamini ni kwamba maisha hubadilika.
Niliianza safari ya kuelekea Mbeya kwenda kukusanya viazi na kuvileta mjini.
Itaendelea .............
Tayari huku.Basi tena...siji tena kuchungulia
NtarudiUtajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 17.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Huu uzi ulikuja kisiasa kama campaign ya kuchukua Tunzo ya jukwaa Entertainment na kura zilimwagwa, sasa mwendelezo hadi kipindi kingine cha kupiga kura.
Naona mambo yecheyeche[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Masta awamu hii kazingua sana
Lol Ndio naona saivi best wabheja sana!!!Antonnia , ! Finallyyyyy [emoji2], walete wenzio chap chap
Uwiii mimi 🙌🙌🙌🙌Simjui hata!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huyo Falaaah si ni jamaaa yenu....
[emoji2][emoji2]mpemba kamuambia master amstiri kabla hajaondoka,,,, kasisitiza Sana ! Wacha tuoneLol Ndio naona saivi best wabheja sana!!!
Wapi Lovelovie Wigelekelo Mafian cartel Restless Hustler cocastic Saint Anne mmash Santos06 Glenn mambo kumekucha hukuuuu!
Yaniii sijui anataka amsitirije!! Kweli Ngoja tusubirie tuone!![emoji2][emoji2]mpemba kamuambia master amstiri kabla hajaondoka,,,, kasisitiza Sana ! Wacha tuone
🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba mzee baba Ally mpemba anamgonga yule jini Au yeye anagongwa lol!!😎Au umughaka atapewa kazi ya kumgonga msukule pindi ambapo amesafiri ?
Ndo kustiri jamaa anamaanisha?
5m kitandani zilitoka wapi ?
Nyama ziko chini, tule mtori
Umeshtukia kama mimiHuu uzi ulikuja kisiasa kama campaign ya kuchukua Tunzo ya jukwaa Entertainment na kura zilimwagwa, sasa mwendelezo hadi kipindi kingine cha kupiga kura.