Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Yaani hapo jamaa anamkabidhi Umagaka jukumu la kutuliza hamu ya lile monster la kiume. Daaaahh.... Haya mambo haya. Unajua majini ya kike huwa yanakuwa marembo. Ya kiume ndo kama hilo la Mpemba sasa linataka kukaza jicho....jamaa anaachiwa majukumu. Angekuwepo Chizi angesema yote humu.
Hilo la Kwa Ally ni lakike na linaitwa Maya ( rejea episode za nyuma kidogo) hata master mwenyewe aliliona likiwa na umbo la kike
 
Back
Top Bottom