Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

huyo mwamba hapo chini uliemtag hana mbambamba aisee akisimilia unaelewa na inaisha ila hizi za episode zinakata stimu kichizi [emoji119]
 
Duuh Mungu aliumba jamani
 
Huyo demu ni nani...hebu weka link ya story yake hapa ..
 
uni-tag mkuu Tafadhali!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unyama sana
 
Huyo demu ni nani...hebu weka link ya story yake hapa ..
Simkumbuki lakini story yake ilihusu alivyoanza mahusiano na mwanafunzi mwenake wa kidato cha mne yeye akiwa kidato cha pili lakini kabla ya kumaliza kidato cha nne akapata mimba. Yule jamaa yake akachukua jukumu la kumsomesha baada ya kukifungua mpaka demu akafika advance.

Jamaa nae alikuwa amesoma hadi chuo lakini alifariki akiwa mwaka wa pili chuoni. Simkumbuki huyo demu lakini story yake ni nzuri sana isiyokuwa na epsode
 
Mkuu ni story ya kutuburudisha au elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…