Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hapa JF nimewahi soma story za watu wachache sana waliyoandika mwanzo mwisho bila kuleta mwendelezo. Kuna demu alisimulia kisa chake cha kweli, aliishusha mwanzo mwisho. Ilikuwa ndefu, inahuzunisha na mafunzo mengi sana. Hizi za kuunga unga ni nzuri lakini mwendelezo unakuja tukiwa tumesahau ilipoishia. Huyu member simkumbuki jina

Mwingine fundi wa story non stop ni DeepPond anajitahidi sana kuandika story zake mwanzo mwisho
huyo mwamba hapo chini uliemtag hana mbambamba aisee akisimilia unaelewa na inaisha ila hizi za episode zinakata stimu kichizi [emoji119]
 
Mwendelezo sehemu ya 18:
Punde tu baada ya kumpatia zuu,kidemu cha msela wangu Stive pesa ya kununulia gas nikasikia kule chumbani sauti kama ya maya ikisema,"pesa yoyote unayopokea kama ujira wa kumlisha alfwata hutakiwi kumuhonga demu yoyote hapa mjini bila kumla pande zote mbili kama samaki aliwavyo"

Nikatoka nje fasta fasta na kumwambia Zuu aje chumbani kwani kuna issue special ninayotakiwa kuimkamilishia.Eti Zuu sijui sababu ya kuleweshwa na ile misimbazi mipya mipya niliyomkata akawa kama kanielewa vizuri kuwa ile pesa hatakiwi kuondoka nayo hivi hivi bali utaratibu utakuwa ni ule ule wa basha wake Steve wa kumla kwa pesa za commission akaingia chumbani kwangu na kwa vile chumba changu kilikuwa na kila kitu anachotakiwa kuwa nacho kijana wa kisasa,akaanza kuvua kisiketi chake bila kuambiwa na mtu,akapanda kitandani na kuchanua miguu yake mithiri ya mama mjamzito achanuavyo miguu pindi atakapo kujifungua, kisha akasema UMUGHAKA please njoo unisitiri kabla sijasafiri kwenda Oman kununua gas.......
Duuh Mungu aliumba jamani
 
Hapa JF nimewahi soma story za watu wachache sana waliyoandika mwanzo mwisho bila kuleta mwendelezo. Kuna demu alisimulia kisa chake cha kweli, aliishusha mwanzo mwisho. Ilikuwa ndefu, inahuzunisha na mafunzo mengi sana. Hizi za kuunga unga ni nzuri lakini mwendelezo unakuja tukiwa tumesahau ilipoishia. Huyu member simkumbuki jina

Mwingine fundi wa story non stop ni DeepPond anajitahidi sana kuandika story zake mwanzo mwisho
Huyo demu ni nani...hebu weka link ya story yake hapa ..
 
Siku na mimi nikiwa na mda nitakuja kueleza juu ya " Umuhimu wa damu kiroho" kwa nini damu ina nguvu kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho? Hasa damu ya Binadamu. Lakini pia nitaeleza kwanini sadaka ya damu ndio sadaka kubwa ipitayo zote? Iwe kwenye ulimwengu wa nuru au wa giza.

Kadhalika kwa nini unaambiwa usiharibu bure manii zako? Damu hapo inamchango gani? Iko siku nitaleta...
uni-tag mkuu Tafadhali!
 
Sikuamini macho yangu, hilo jitu liliendelea kula kwa speed 360 pasipo kunitazama Wala kujali uwepo wangu

Ila ghafla liliniambia "we mkurya unyama Sana" kiufupi unaupiga mwingi mkurya

Likanipa sharti nilimbie moja ya nyimbo zifutazo, kati ya nitaubeba au utu,.

Nilivyo jeuri, nikaamue nipite na verse ya saida karoli weeee nilikiona Cha moto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unyama sana
 
Huyo demu ni nani...hebu weka link ya story yake hapa ..
Simkumbuki lakini story yake ilihusu alivyoanza mahusiano na mwanafunzi mwenake wa kidato cha mne yeye akiwa kidato cha pili lakini kabla ya kumaliza kidato cha nne akapata mimba. Yule jamaa yake akachukua jukumu la kumsomesha baada ya kukifungua mpaka demu akafika advance.

Jamaa nae alikuwa amesoma hadi chuo lakini alifariki akiwa mwaka wa pili chuoni. Simkumbuki huyo demu lakini story yake ni nzuri sana isiyokuwa na epsode
 
Siku na mimi nikiwa na mda nitakuja kueleza juu ya " Umuhimu wa damu kiroho" kwa nini damu ina nguvu kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho? Hasa damu ya Binadamu. Lakini pia nitaeleza kwanini sadaka ya damu ndio sadaka kubwa ipitayo zote? Iwe kwenye ulimwengu wa nuru au wa giza.

Kadhalika kwa nini unaambiwa usiharibu bure manii zako? Damu hapo inamchango gani? Iko siku nitaleta...
Mkuu ni story ya kutuburudisha au elimu?
 
Back
Top Bottom