Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Yule yule aliekupandisha ndio huyohuyo ataekushusha, Kama ulipandiwa na Wana JF Basi hao hao ndio watakao kushusha.
Naona hili linaenda kuwa sasa
Naona hili linaenda kuwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumatatu saa 4 asubuhi, mwanaume analalamika anataka mwanaume mwenzake aache kazi zake akae amwandikie story ili yeye asomeWadau, leo ni mwezi kamili toka hii simulizi ya ndugu yetu UMUGHAKA ianze kusimuliwa, hiyo tarehe 16'Disemba mwaka jaanaaaaa!
Nadhani, itakuwa imevunja rekodi ya muda mrefu inayochukua, kati ya simulizi moja na inayofuata!
Nilichokiandika umekielewa?Jumatatu saa 4 asubuhi, mwanaume analalamika anataka mwanaume mwenzake aache kazi zake akae amwandikie story ili yeye asome
Sijui lini tutafikia uchumi wa kati
Mbona pombe ya kike hii.Mimi nilijua safari a.k.a Nondo!Tata muraaa njoo hapa QX - Bunju kwa Baharia tumwagilie moyo huku ukiandika the next episode ukimnyandua Maya UMUGHAKA
View attachment 2482550
Mkuu, inawezekana huyo Maya, mambo ya usafi hayatakiwi kabisa! Ana masharti kama nini! We uliona wapi mtu wa kula mboga mboga mbichi kama mnyama?Nakushauri kabla ujamchakata Maya mpelekee bafuni mpige maji ya kutosha Kisha mpige miti , au Farah dada ake na Ally mpemba mchakate nae kimya kimya had Ally mpemba anarudi tayari umewamaliza wote
Ushaambiwa huo uchafu ndo pesa zenyewe.Nakushauri kabla ujamchakata Maya mpelekee bafuni mpige maji ya kutosha Kisha mpige miti , au Farah dada ake na Ally mpemba mchakate nae kimya kimya had Ally mpemba anarudi tayari umewamaliza wote
hii arosto balaa,,, episode ijayo Kali Sana, master anateleza Bure kabisakitalembwa National Anthem Arostoooooooo karreee sanaa hukuuu fanyeni kutuletea mastaaa
Nina wasi wasi Maya ndo hana huruma..nawaza hizo nguvu za kipepo alizonazo mavyakula kama mikabeji minyanya nyanya atakua yuko fiti...sipati picha huyo masta kama atatoka salamaMaya bado hajakandwa tu, tena Ally Mpemba kamwambia ampelekee moto bila huruma
Hata mm niliwaza hivyo hahaaa maana hiz siri za watu bwana labda kama AlikufagaNimepata taarifa ya huyu bwana mdogo. Ally mpemba kamzingua kuendelea kutoa siri. Hivyo story ndio imeishia hapo.