Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Aiseee yaani hii hadithi inafanya pesa ionekane kuipata ni mzozo mkubwa sana.

Yaani unaweza kuhisi pasipo mauza uza na manyau nyau huwezi kutoboa haya maisha
Sio manyau nyau.asili ya mali ndio ilivyo.kama utaitaka kupitia njia za kilimwengu ni lazima ufosi na u have to pay a big price.

Ukitaka nying za kuforce kimpango wako za haraka labda uwe jambaz na hapo price ni roho za watu ukitaka hizo za non violence ndio hizo ukaingia mikataba na ulimwengu wa roho na wao nao wana mashart yao kama hayo ya mchiz kumzagamua maiya
 
Sio manyau nyau.asili ya mali ndio ilivyo.kama utaitaka kupitia njia za kilimwengu ni lazima ufosi na u have to pay a big price.ukitaka nying za kuforce kimpango wako za haraka labda uwe jambaz na hapo price ni roho za watu ukitaka hizo za non violence ndio hizo ukaingia mikataba na ulimwengu wa roho na wao nao wana mashart yao kama hayo ya mchiz kumzagamua maiya
Ndoivo mkuu na ukiitafuta kwa njia halali you have to pay a Big price Too, kwasababu inakuitaji uwe Too commited and Too Carefuly ila kizuri ni kwamba unaitumia kwa Amani kabisa hudaiwi damu na mali za watu
 
I don't trust it. Otherwise waafrika tulivyo wachawi tungekuwa matajiri kuliko wazungu.
 
Back
Top Bottom