Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Endelea naa hii, ile tuachane nayo kwanza asee
 
Ukisoma malalamiko ya wadau inaona kabisaa tuna kundi kuuubwa la jobless maana msijifanye wote ni walinzi mnaingia shift za usiku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Asubuhi, mchana, jioni na usiku watu wapo hewani, ufanisi wa kazi upo kweli au ndio mnahudhuria kazini na kusubiri muda ufike mtoke maana hata kama mtu kajiajiri/kaajiriwa ana-concentrate na kazi sangapi?
 
Chai,
 
Kuna yeyote humu amekufuata ๐Ÿ“ฅ kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ