Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kelele zote na uzi kutembea nimeshajua watu wana Arosto. Nikipata muda nitawaeleza kwanini watu huwa wanalalamika na kufikia hatua ya kutoleana maneno yasiyo na ataha.

Vijana upweke unatusumbua imefikia hatua inasababisha tumekosa utulivu wa akili. Kumbekeni nyinyi ni Tanzania ya kesho kwanini mnakaa mitandaoni na kulilia Simulizi ambayo ni burudani na ndio chanzo cha kukusababishia kuendelea Kupoteza uwezo wako wa kufikiria?.

Nitawapa somo kesho ili muepukane na huu upuzi wa kulialia kama watoto wa Nursery
 
Sasa nikiwa nimepitiwa na usingizi, niliamshwa ghafla na kelele za mtu akiita kwa nguvu.

Nilipoangalia saa ilikuwa mida ya saa 5 usiku. Nilipoendelea kusikiliza kwa makini kumbe ilikuwa ni sauti ya Kileri, sasa kumbe jamaa alikuwa amelewa chakari.

Ohoiiioooooop milon 9 kwisnei
Yaani ww acha tu
 
Mambo mengi anayoelezea UMUGHAKA naweza kuamini yanatokea na yapo sana kwenye maisha yetu ya kila siku ngoja niwape kisa kimoja.

Mwaka 2020 nilienda dodoma, nilikuwa na project kama ya miezi 6 hivi sasa kwenye Ile nyumba niliyofikia maeneo ya nkuhungu nilikuta inalindwa na mmasai, pale ndani nilikuta Kuna family 2 ambazo zinaishi hapo pia (wamepanga) siku moja wakati nipo ndani nikasikia watu wanaongea nje ya dirisha la chumba ninachokaa, nikatega sikio vizuri nijue ni akina nani na wanaongea nini, alikuwa ni yule mlinzi mmasai na mpangaji mmoja hapa nambatiza jina la Roja, yule mmasai akawa anamwambia yule Roja kwamba amepata dili kutoka Kwa Mwarabu la kutafuta paka mweupe kabisa asiye na doa hata kidogo na yule Mwarabu amesema akipatikana paka atatoa 6m.

Yule mmasai anamwambia Roja Kwa kuwa yeye sio mtoto wa mjini anaomba washirikiane kumtafuta ili paka akipatikana wagawane pasu yaani 3m kika mmoja, jamaa akakubali ikaanza kazi yakutafuta paka mweupe asiye na doa hata mkiani, siku 3 zikapita wapo busy sana yaani wanaiona pesa hii hapa lakini wanashindwa kuipata siku ya nne narudi home nakuta mmasai yupo na huyo Mwarabu wanaongea wamesimama kwenye gari ya Mwarabu nikawasalimia nikawapita, nilivyopiga hatua kama 5 hivi yule Masai akaniita
Masai!rafiki
Mimi! nageuka
Masai!kuja kidogo
Nikarudi mpaka pale
Mwarabu!asalam aleikum
Mimi! Nzuri (siijui hii salamu so nikajibu tu nzuri)
Mwarabu! Samahani kaka wewe umekaa sana DSM
Mimi! Haswaa ndiyo hakuna sehemu nyingine ninayoijua sana kama DSM
Mwarabu! Mimi iko na shida Masai ambia yeye

Masai akanielezea kama alivyomueleza Roja na kuniomba niwasaidie kuulizia Kwa DSM ila Leo dau limeongezeka imekuwa 10m nikapiga hesabu nikaona ni paka tu mweupe mpunga njenje, nikawashirikisha watoto (wahuni) wa magomeni kagera ule mpango, wakasema wanaingia mzigoni, siku ya pili asubuhi nikapigiwa simu yule paka yupo amepatikana Zanzibar, nikampigia Masai maana yeye ndo anamawasiliano mwarabu, akasema jamaa watume picha yaani wamgeuze kila sehemu wapige picha kama kweli hana doa nikampigia simu mshkaji nikamweleza akasema yupo kwenye boti anaenda Zanzibar kumchukua.

Baada ya masaa 4 akanitumia picha za yule paka na Kwamba ameshafika Zanzibar nikampigia Masai kwamba picha jamaa ameshatuma na anasema mzee mwenye yule paka anataka laki moja, Masai akamcheki Mwarabu, Mwarabu akasema twende dukani kwake barabara ya 6 pale dodoma mjini, Masai akasema hawezi kutoka home Kwa kuwa ndo mfungua geti nyumbani, Mwarabu akasema anakuja nyumbani Masai akanipa mrejesho huo kwamba nitoke kazini kwangu niwahi home, nikaaga nikarudi home nikawakuta na Mwarabu, nikawaonyesha picha Kwa kila angle jamaa akaridhia lakini akaniambia nimpigie jamaa video call awe amemshika yule paka ili amkague vizuri, nikapiga wakaanza kuongea anamwambia mgeuze huku na huku aliporidhika akanipa simu na akachukua tzs200k akampa Masai anipe ili nimtumie jamaa yaani nauli na laki moja ya kumuachia yule mzee, baada ya siku mbili yule mshkaji akatimba Dom na paka.

Mwarabu akaniambia twende tukampokee wote yaani Mimi na yeye tukaingia pale 8 8 Mwarabu alivyomuona yule paka alifurahi sana tukatoka wote mpaka dukani Kwa Mwarabu akachukua bahasha akasema twende mpaka Kwa Masai tulipifika akampa Ile bahasha na kumwambia kwamba mle Kuna 2m pesa iliyobaki ataimalizia baada ya siku mbili maana anasafari ya Tanga, yule mshkaji aliyeleta paka akasema mimi nipeni 1m niondoke zangu hizo pesa nyingine akiwapa msinipe hata mia, akapewa hakutaka hata kulala akapanda gari za kutoka mwanza akarudi dar Ile m iliyobaki.

Mwarabu akataka nipewe mimi Masai asubiri, nafsi yangu ilikuwa nzito sana kupokea Ile pesa nikamwambia acha achukue Masai, Masai naye akakataa, nikashangaa sana, Sasa ikabidi Masai ampigie yule mpangaji Roja kwamba aje haraka na kweli jamaa alikuja faster sana baada ya kuja Masai akamwambia rafiki kwakuwa na wewe ulikuwa unajua tunatafuta paka sasa amepatikana na wewe shika hii 1m daah jamaa alifurahi sana mpka akawa anatoa machozi.

Sasa baada ya jamaa kupokea zile pesa yule Mwarabu akasema Kwa kuwa mimi nasafiri na nyumbani kwangu hakuna mtu nakuomba wewe anamuonyeshea (Roja) ukae na huyu paka Kwa muda wa siku 3 mpaka nitakaporudi nakuongezea laki 5 kwaajili ya kumnunulia maziwa tu na usumbufu wako na hizi siku tatu usiende kutafuta umlinde na uniangalizie huyu paka akilia tu mpe maziwa, jamaa alikubali faster sana yule Mwarabu kumbe alikuwa amekuja na kibox lakini cha plastic akaenda Kwa gari yake akakileta na kumkabizi Roja pamoja na laki5 yake, mimi nilikuwa nawaza sana paka watu wanawauwa kila siku Kwa nini huyu jamaa atumie pesa namna hii?

Nikawaaga yeye akasema kwamba akirudi ataimalizia pesa ili namimi nipate mgao wangu, nikaingia zangu ndani, wale niliwaacha pale nje, muda kama wa saa mbili hivi nikaona Roja anatoka na beg akiwa na mkewe na mtoto wao, nikatoka nje ili kujua kulikoni lakini sikumuuliza wakaondoka Masai akaniambia Mwarabu kamwambia Roja yule paka hataki kelele Kwa hiyo asafirishe mkewe Kwa hizo siku 3 ambazo paka atakuwa hapo, Kwa hiyo kazi ya jamaa ikawa ni kumpa paka maziwa kila atakapolia, kumbe yule Mwarabu alikuwa anataka kumiliki jini hii nilikuja kujua baada ya mchezo kuharibika na alikuwa ameambiwa na mganga mtafute huyo paka ili ageuzwe jini so Ile siku aliyopatikana tu yule paka Mwarabu alipiga simu Kwa yule mganga na ndo akawa anampa hayo mashart jinsi ya kukaa na huyo paka na mtu wa kumtoa kafara ndo huyo Roja.

Masai alikuwa anajua kila kitu maana alishaambiwa na yule Mwarabu kwamba yule Roja ananyota Kali sana ya pesa, Masai ndo alikuwa mtunza siri wa Mwarabu Kama Mughaka, sasa kumbe yule Roja ancestors (tunaambiwa mizimu)wake wanamlinda sana, Ile siku ya pili akaota ndoto yule paka ametoka Kwa box lake na Yale maziwa aliyompa yote yamekuwa damu na yule paka anayanywa sana, alipomaliza kuyanywa hakutosheka akaja mpaka kitandani Kwa Roja akamparua shingoni na kucha ili damu zitoke lakini yakawa yanatoka maji hiyo ni ndoto Roja anaota yule paka hakunywa lakini akawa amekunja sura kama mtu yaani amekasirika sana, Roja akashtuka akakuta pale alipoota ameparuliwa ni kweli panaalama, na Yale maziwa yote hamna na paka yupo Kwa lile box lake, akatoka nje kumwita Masai hakumkuta pale getini akarudi ndani akalala kulipokucha asubuhi akaamua kumpigia simu mama yake singida na kumueleza kila kitu, mama yake akamuambia aende haraka na akaondoka bila kununua maziwa Wala nini baada ya kufika kule wakaitwa watani zao wa ule ukoo aliniambia walikuwa wanyiramba , wakamtambikia pale kufanya mambo ya kimila na kiganga na kumletea kioo (video ya asili) ambayo vile alivyoota na ndo alivyoona yule paka anageuka na kuwa kiumbe Cha kutisha wakamwambia atoe sadaka ya kuwa hai ya kutafuta jogoo wawili mweupe na mwekundu awachinje na nyama wale watoto tu wa pale mtaani.

Baada ya kumaliza akapigiwa simu na Masai analia anasema rafiki kwanini unataka kuniuwa, akakataa simu mimi nilipofika nyumbani kutoka job sikumkuta masai mpaka siku mbili Masai hajarudi, Roja akarudi baada ya siku 3 na alipofungua mlango akamkuta yule paka kafia kitandani kwake, ndo akatuita na kuanza kutuambia jinsi alivyoota na mpka kwenda singida, tukaenda dukani Kwa yule Mwarabu tukaambiwa jana amehamia Tanga na yule Masai mpaka Leo jamaa anasema hajarudigi na hajuagi alienda wapi au nini kilimsibu, adios amigo.
 
Mambo mengi anayoelezea UMUGHAKA naweza kuamini yanatokea na yapo sana kwenye maisha yetu ya kila siku ngoja niwape kisa kimoja,
Mwaka 2020 nilienda dodoma, nilikuwa na project kama ya miezi 6 hivi sasa kwenye Ile nyumba niliyofikia maeneo ya nkuhungu nilikuta inalindwa na mmasai, pale ndani nilikuta Kuna family 2 ambazo zinaishi hapo pia (wamepanga) siku moja wakati nipo ndani nikasikia watu wanaongea nje ya dirisha la chumba ninachokaa, nikatega sikio vizuri nijue ni akina nani na wanaongea nini, alikuwa ni yule mlinzi mmasai na mpangaji mmoja hapa nambatiza jina la Roja, yule mmasai akawa anamwambia yule Roja kwamba amepata dili kutoka Kwa Mwarabu la kutafuta paka mweupe kabisa asiye na doa hata kidogo na yule Mwarabu amesema akipatikana paka atatoa 6m, yule mmasai anamwambia Roja Kwa kuwa yeye sio mtoto wa mjini anaomba washirikiane kumtafuta ili paka akipatikana wagawane pasu yaani 3m kika mmoja, jamaa akakubali ikaanza kazi yakutafuta paka mweupe asiye na doa hata mkiani, siku 3 zikapita wapo busy sana yaani wanaiona pesa hii hapa lakini wanashindwa kuipata siku ya nne narudi home nakuta mmasai yupo na huyo Mwarabu wanaongea wamesimama kwenye gari ya Mwarabu nikawasalimia nikawapita, nilivyopiga hatua kama 5 hivi yule Masai akaniita
Masai!rafiki
Mimi! nageuka
Masai!kuja kidogo
Nikarudi mpaka pale
Mwarabu!asalam aleikum
Mimi! Nzuri (siijui hii salamu so nikajibu tu nzuri)
Mwarabu! Samahani kaka wewe umekaa sana DSM
Mimi! Haswaa ndiyo hakuna sehemu nyingine ninayoijua sana kama DSM
Mwarabu! Mimi iko na shida Masai ambia yeye
Masai akanielezea kama alivyomueleza Roja na kuniomba niwasaidie kuulizia Kwa DSM ila Leo dau limeongezeka imekuwa 10m nikapiga hesabu nikaona ni paka tu mweupe mpunga njenje, nikawashirikisha watoto (wahuni) wa magomeni kagera ule mpango,wakasema wanaingia mzigoni,siku ya pili asubuhi nikapigiwa simu yule paka yupo amepatikana Zanzibar, nikampigia Masai maana yeye ndo anamawasiliano mwarabu, akasema jamaa watume picha yaani wamgeuze kila sehemu wapige picha kama kweli hana doa nikampigia simu mshkaji nikamweleza akasema yupo kwenye boti anaenda Zanzibar kumchukua, baada ya masaa 4 akanitumia picha za yule paka na Kwamba ameshafika Zanzibar nikampigia Masai kwamba picha jamaa ameshatuma na anasema mzee mwenye yule paka anataka laki moja, Masai akamcheki Mwarabu, Mwarabu akasema twende dukani kwake barabara ya 6 pale dodoma mjini, Masai akasema hawezi kutoka home Kwa kuwa ndo mfungua geti nyumbani, Mwarabu akasema anakuja nyumbani Masai akanipa mrejesho huo kwamba nitoke kazini kwangu niwahi home, nikaaga nikarudi home nikawakuta na Mwarabu, nikawaonyesha picha Kwa kila angle jamaa akaridhia lakini akaniambia nimpigie jamaa video call awe amemshika yule paka ili amkague vizuri, nikapiga wakaanza kuongea anamwambia mgeuze huku na huku aliporidhika akanipa simu na akachukua tzs200k akampa Masai anipe ili nimtumie jamaa yaani nauli na laki moja ya kumuachia yule mzee, baada ya siku mbili yule mshkaji akatimba Dom na paka, Mwarabu akaniambia twende tukampokee wote yaani Mimi na yeye tukaingia pale 8 8 Mwarabu alivyomuona yule paka alifurahi sana tukatoka wote mpaka dukani Kwa Mwarabu akachukua bahasha akasema twende mpaka Kwa Masai tulipifika akampa Ile bahasha na kumwambia kwamba mle Kuna 2m pesa iliyobaki ataimalizia baada ya siku mbili maana anasafari ya Tanga, yule mshkaji aliyeleta paka akasema mimi nipeni 1m niondoke zangu hizo pesa nyingine akiwapa msinipe hata mia, akapewa hakutaka hata kulala akapanda gari za kutoka mwanza akarudi dar Ile m iliyobaki, Mwarabu akataka nipewe mimi Masai asubiri, nafsi yangu ilikuwa nzito sana kupokea Ile pesa nikamwambia acha achukue Masai, Masai naye akakataa, nikashangaa sana, Sasa ikabidi Masai ampigie yule mpangaji Roja kwamba aje haraka na kweli jamaa alikuja faster sana baada ya kuja Masai akamwambia rafiki kwakuwa na wewe ulikuwa unajua tunatafuta paka sasa amepatikana na wewe shika hii 1m daah jamaa alifurahi sana mpka akawa anatoa machozi, Sasa baada ya jamaa kupokea zile pesa yule Mwarabu akasema Kwa kuwa mimi nasafiri na nyumbani kwangu hakuna mtu nakuomba wewe anamuonyeshea (Roja) ukae na huyu paka Kwa muda wa siku 3 mpaka nitakaporudi nakuongezea laki 5 kwaajili ya kumnunulia maziwa tu na usumbufu wako na hizi siku tatu usiende kutafuta umlinde na uniangalizie huyu paka akilia tu mpe maziwa, jamaa alikubali faster sana yule Mwarabu kumbe alikuwa amekuja na kibox lakini cha plastic akaenda Kwa gari yake akakileta na kumkabizi Roja pamoja na laki5 yake, mimi nilikuwa nawaza sana paka watu wanawauwa kila siku Kwa nini huyu jamaa atumie pesa namna hii? Nikawaaga yeye akasema kwamba akirudi ataimalizia pesa ili namimi nipate mgao wangu, nikaingia zangu ndani, wale niliwaacha pale nje, muda kama wa saa mbili hivi nikaona Roja anatoka na beg akiwa na mkewe na mtoto wao, nikatoka nje ili kujua kulikoni lakini sikumuuliza wakaondoka Masai akaniambia Mwarabu kamwambia Roja yule paka hataki kelele Kwa hiyo asafirishe mkewe Kwa hizo siku 3 ambazo paka atakuwa hapo, Kwa hiyo kazi ya jamaa ikawa ni kumpa paka maziwa kila atakapolia, kumbe yule Mwarabu alikuwa anataka kumiliki jini hii nilikuja kujua baada ya mchezo kuharibika na alikuwa ameambiwa na mganga mtafute huyo paka ili ageuzwe jini so Ile siku aliyopatikana tu yule paka Mwarabu alipiga simu Kwa yule mganga na ndo akawa anampa hayo mashart jinsi ya kukaa na huyo paka na mtu wa kumtoa kafara ndo huyo Roja, Masai alikuwa anajua kila kitu maana alishaambiwa na yule Mwarabu kwamba yule Roja ananyota Kali sana ya pesa, Masai ndo alikuwa mtunza siri wa Mwarabu Kama Mughaka, sasa kumbe yule Roja ancestors (tunaambiwa mizimu)wake wanamlinda sana, Ile siku ya pili akaota ndoto yule paka ametoka Kwa box lake na Yale maziwa aliyompa yote yamekuwa damu na yule paka anayanywa sana, alipomaliza kuyanywa hakutosheka akaja mpaka kitandani Kwa Roja akamparua shingoni na kucha ili damu zitoke lakini yakawa yanatoka maji hiyo ni ndoto Roja anaota yule paka hakunywa lakini akawa amekunja sura kama mtu yaani amekasirika sana, Roja akashtuka akakuta pale alipoota ameparuliwa ni kweli panaalama, na Yale maziwa yote hamna na paka yupo Kwa lile box lake, akatoka nje kumwita Masai hakumkuta pale getini akarudi ndani akalala kulipokucha asubuhi akaamua kumpigia simu mama yake singida na kumueleza kila kitu, mama yake akamuambia aende haraka na akaondoka bila kununua maziwa Wala nini baada ya kufika kule wakaitwa watani zao wa ule ukoo aliniambia walikuwa wanyiramba , wakamtambikia pale kufanya mambo ya kimila na kiganga na kumletea kioo (video ya asili) ambayo vile alivyoota na ndo alivyoona yule paka anageuka na kuwa kiumbe Cha kutisha wakamwambia atoe sadaka ya kuwa hai ya kutafuta jogoo wawili mweupe na mwekundu awachinje na nyama wale watoto tu wa pale mtaani, Baada ya kumaliza akapigiwa simu na Masai analia anasema rafiki kwanini unataka kuniuwa, akakataa simu mimi nilipofika nyumbani kutoka job sikumkuta masai mpaka siku mbili Masai hajarudi, Roja akarudi baada ya siku 3 na alipofungua mlango akamkuta yule paka kafia kitandani kwake, ndo akatuita na kuanza kutuambia jinsi alivyoota na mpka kwenda singida, tukaenda dukani Kwa yule Mwarabu tukaambiwa jana amehamia Tanga na yule Masai mpaka Leo jamaa anasema hajarudigi na hajuagi alienda wapi au nini kilimsibu, adios amigo.
Hakuna kichaa msafi,wew ni kichaaa mchafu
 
Very true mkuu. Utajiri unasiri kubwa sana
 
Back
Top Bottom