Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna yeyote humu amekufuata 📥 kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
Mbona kama umeguswa saana 🤣🤣🤣 kwakua unakaa home kwa wazaxi hujui kupambana hado bando unapewa na wazazi
 
Kuna yeyote humu amekufuata 📥 kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
HILI PUNGUWANI HALIJUI KUNA WENGINE MABOSS HUMU WANA OFISI ZAO...WAMESHATEKELEZA MAJUKUMU YAO...NA MENGINE WAMEGAWA WATU WENGINE...ANATULIA ANAKULA MEMA YA NCHI...SIO KILA UNAYEMKUTA ONLINE NI JOBLESS KAMA ALIVYO YEYE...
 
Yaani unaumia mimi kuwa na simu mkono wa kulia niko online JF na mkono wa kushoto nina remote nabadili tv stations!! Sina cha kukuomba na hauna uwezo wa kunisaidia, wewe pambana mzee
Hilo jamaa ni wale watu waliokariri...kila anayetoka asubuhi kurudi jioni anaenda kazini ndiye aliyefanikiwa ..

Unaweza ukajifanya uko busy ila for nothing...kama pimbi tu...

Unatoka asubuhi unarudi jioni ili kuonesha watu mtaani kuwa wewe unafanya kazi...ila mshahara wako kiduchu...BUSY FOR NOTHING KAMA PIMBI.
 
Ukisoma malalamiko ya wadau inaona kabisaa tuna kundi kuuubwa la jobless maana msijifanye wote ni walinzi mnaingia shift za usiku[emoji28][emoji28][emoji28].

Asubuhi, mchana, jioni na usiku watu wapo hewani, ufanisi wa kazi upo kweli au ndio mnahudhuria kazini na kusubiri muda ufike mtoke maana hata kama mtu kajiajiri/kaajiriwa ana-concentrate na kazi sangapi?
Acha ujinga kijana..daladala sita, niko hapa BL Park nakunywa supu naangalia zinavyopishana, jioni hesabu inaingia (hesabu ya daladala 6). Elimu imekuharibu kijana ukaona kuajiriwa ndio kitu pekee kilichobaki.
 
Mbona kama umeguswa saana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakua unakaa home kwa wazaxi hujui kupambana hado bando unapewa na wazazi
Mjinga sana we kijana F16 Falcon. Unadhani kuamka alfajiri kuwahi mjini ndio ujanja. Kwa taarifa yako watu makini walisha-set miradi yao hawatoki nyumbani, umelala na hela inaingia.
 
Acha ujinga kijana..daladala sita, niko hapa BL Park nakunywa supu naangalia zinavyopishana, jioni hesabu inaingia (hesabu ya daladala 6). Elimu imekuharibu kijana ukaona kuajiriwa ndio kitu pekee kilichobaki.
Shamba sana hili...
 
Back
Top Bottom