Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Duu kweli Wana mawazoKuna yeyote humu amekufuata 📥 kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
Mbona kama umeguswa saana 🤣🤣🤣 kwakua unakaa home kwa wazaxi hujui kupambana hado bando unapewa na wazaziKuna yeyote humu amekufuata 📥 kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
Vipi ile story yako ya kaka mwarabu iliishia wapi?Sasa tukae tayari kwa miharufu kutoka kwenye k ya dada yake Ally Mpemba/muarabu,harufu ambayo ndio pesa zenyewe
Yaani unaumia mimi kuwa na simu mkono wa kulia niko online JF na mkono wa kushoto nina remote nabadili tv stations!! Sina cha kukuomba na hauna uwezo wa kunisaidia, wewe pambana mzeeMbona kama umeguswa saana 🤣🤣🤣 kwakua unakaa home kwa wazaxi hujui kupambana hado bando unapewa na wazazi
Ngoja matokeo yatoke ndio utajua rimote zinapokaa na utafagia mabanda yoote ya mifugo 🤣🤣🤣🤣Yaani unaumia mimi kuwa na simu mkono wa kulia niko online JF na mkono wa kushoto nina remote nabadili tv stations!! Sina cha kukuomba na hauna uwezo wa kunisaidia, wewe pambana mzee
Unatamani uwe online muda wote ila shida zako zinakupelekesha mpaka unakosa raha, kama kazi uliyonayo haikupi nafasi kuwa online ni tatizo lakoNgoja matokeo yatoke ndio utajua rimote zinapokaa na utafagia mabanda yoote ya mifugo 🤣🤣🤣🤣
Dogo the world is waiting for you out here. Endelea kuchezea remoteUnatamani uwe online muda wote ila shida zako zinakupelekesha mpaka unakosa raha, kama kazi uliyonayo haikupi nafasi kuwa online ni tatizo lako
Sawa, na wewe usiteseke basi na watu kuwa online muda woteDogo the world is waiting for you out here. Endelea kuchezea remote
HILI PUNGUWANI HALIJUI KUNA WENGINE MABOSS HUMU WANA OFISI ZAO...WAMESHATEKELEZA MAJUKUMU YAO...NA MENGINE WAMEGAWA WATU WENGINE...ANATULIA ANAKULA MEMA YA NCHI...SIO KILA UNAYEMKUTA ONLINE NI JOBLESS KAMA ALIVYO YEYE...Kuna yeyote humu amekufuata 📥 kukuomba msaada wowote ule juu ya maisha yake!! Mtu kuwepo hewani muda mwingi wewe usiteseke bali kama uko bize endelea kuchapa kazi maana hiyo kazi inakusaidia wewe
Hilo jamaa ni wale watu waliokariri...kila anayetoka asubuhi kurudi jioni anaenda kazini ndiye aliyefanikiwa ..Yaani unaumia mimi kuwa na simu mkono wa kulia niko online JF na mkono wa kushoto nina remote nabadili tv stations!! Sina cha kukuomba na hauna uwezo wa kunisaidia, wewe pambana mzee
Jamaa kabadilika sana. Si yule wa mwanzoni.Duh jamaa amekuwa bingwa wa alosto aisee[emoji119]
Acha ujinga kijana..daladala sita, niko hapa BL Park nakunywa supu naangalia zinavyopishana, jioni hesabu inaingia (hesabu ya daladala 6). Elimu imekuharibu kijana ukaona kuajiriwa ndio kitu pekee kilichobaki.Ukisoma malalamiko ya wadau inaona kabisaa tuna kundi kuuubwa la jobless maana msijifanye wote ni walinzi mnaingia shift za usiku[emoji28][emoji28][emoji28].
Asubuhi, mchana, jioni na usiku watu wapo hewani, ufanisi wa kazi upo kweli au ndio mnahudhuria kazini na kusubiri muda ufike mtoke maana hata kama mtu kajiajiri/kaajiriwa ana-concentrate na kazi sangapi?
Mjinga sana we kijana F16 Falcon. Unadhani kuamka alfajiri kuwahi mjini ndio ujanja. Kwa taarifa yako watu makini walisha-set miradi yao hawatoki nyumbani, umelala na hela inaingia.Mbona kama umeguswa saana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakua unakaa home kwa wazaxi hujui kupambana hado bando unapewa na wazazi
Shamba sana hili...Acha ujinga kijana..daladala sita, niko hapa BL Park nakunywa supu naangalia zinavyopishana, jioni hesabu inaingia (hesabu ya daladala 6). Elimu imekuharibu kijana ukaona kuajiriwa ndio kitu pekee kilichobaki.
Barikiwa mapacha mamy!Sawa Mkuu usijaree kabisa nitafanya hivooo✌️✌️✌️✌️!!
Ameeeennn ! Waje twins nifunge na kizazi kabisa 😁!Barikiwa mapacha mamy!
Kuna ka last born katahitajika kama sub.Ameeeennn ! Waje twins nifunge na kizazi kabisa