Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Aiseee
 
Hii issue ya kutafuta paka mweupe niliwahi kuskia hapa Dar, vijana walikuwa wanahangaika sana kumtafuta.

Lilitangazwa dau nono kama ulivyosema, kwa atakaefanikiwa kumpata.
 
.
 
Umenikumbusha, mama angu alikuwa anakajipaka kake pale kwasababu ana store ya mahindi. Basi siku moja wakaja watu wanasema mama tunaomba tuuzie huyo paka.

Mama akashangaa, akakataa. Baada ya siku kadhaa wakaja tena na dau refu tu mama akakataa watu ndo wakambia kuwa akiuza maana ake ameuza jini.
 
Eeeeh bhana hatar sana mzee... haya mambo yapo kweli jamn
 
Sasa mkuu unataka tufanyeje
Hata naelewa basi?? [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Maana siku zote lisemwalo lipo na hizi story ndio kabisaa zinatufanya tuwe........... maana nimeisoma ile ya Shunie nayo mambo ni haya haya tu. Dunia ngumu sana hii kama uko serious na maisha. Sema huyu UMUGHAKA naye aje aendeee kutufugua fahamu zetu basi.
 
Hebu nitag huo uzi wa shunie niusome, ila mimi bora nife maskini kuliko kujiingiza kwenye mambonya namna hii, ni mateso na fedheha
 
Hiyo ya Shunie inapatikana wapi mkuu
 
Asante Mwl.RCT
 
[emoji16][emoji16][emoji23]
Lifti uliyodandi kwa nyota ya Umughaka huenda ukatoboa au nyota yako ikachukuliwa na Umughaka.
Omba miungu ya kwenu ikuoteshe ndoto juu ya hatma yako kama Roja[emoji125]
 
tamaa ya pesa
tamaa ya pesa
tamaa ya pesa

yani sisi vijana tamaa ya pesa itatuua, ina maana asingekua mzito huyu 'Roja' tayar angekua jini.......

pesa kweli zinatutesa!
 
wewe umeonaje kama sio uchawi au unataka kuniingiza kwenye biashara zako kama ally mpemba alivyomwingiza umughaka
Kweli, sitanii. Una nyota kali sana, naj7a ni ngumu kuniamini.

Ila mimi nitakuhakikishia na utaamini. Hunijui wala sikujui, ila kabla mwezi huu haujaisha utaletewa mzigo. Hauhitaji kuukubali wala kuukataa sababu mzigo huo utaukuta umewekwa ndani ya bag lako.

Usiufungue huo mzigo kukiwa na mwanga. Subiru usiku uufungue wakate umezima taa zote.
utanishukuru baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…