Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Upweke ni ugonjwa mbaya sana sasa mtu anataka apate faraja kupitia story za UMUGHAKA eti tunakoelekea Vijana tunaenda kuwa watu wa hovyo sanaa yaani. Kama mtu hatumi story fanya mambo mengine tu

Idiot indeed, aliyekuambia tunapata faraja kupitia story hii ni nani? am really sipendi mtu mwenye maringo kama mtoto wa kike kama umeamua kutoa story toa yote bila nyodo kwasababu hakuna mtu aliyemuomba huyu dada yako aje hapa kutoa story yake hapa.
 
Idiot indeed, aliyekuambia tunapata faraja kupitia story hii ni nani? am really sipendi mtu mwenye maringo kama mtoto wa kike kama umeamua kutoa story toa yote bila nyodo kwasababu hakuna mtu aliyemuomba huyu dada yako aje hapa kutoa story yake hapa.
Sometimes mambo hayaendi kama unavyotaka na ukiona hakuna Simulizi endelea na mambo mengine tu.
 
Enzi hizo bado niko mdogo kuna tukio la ajabu sana liliitokea familia ya jirani yetu

Huyu jirani yetu alikuwa akifuga ng'ombe mmoja nyumbani kwake mwenye ukilema wa mguu mmoja na alikuwa akipendana nae sana kiasi cha kuzua ya kuzuriwa na majirani,sasa siku moja bwana mida ya kama saa 12 hivi asubuhi kikasikika kwake kilio cha mtu mzima aliyekuwa akilia kwa uchungu sana;


Sasa kwa kujiongeza tu tukajua lazima atakuwa kafiwa na ndugu,hivyo majirani wakakusanyika fasta kwake kumtia moyo(kumpa pole kwa kipagani),tulipofika pale kwake akawa ndio kazidisha kilio kwa lugha ya kitaa tunaweza kusema kuwa aliongeza volume mpaka mwisho

Basi bwana watu wakakaa kaa hapo,wazee wenzake akiwamo na baba yangu ambae ndio babu yenu kwa sasa wakawa wanamwambia atulize moyo sasa awaeleze ni kipi kimemkumba,akalia lia kama robo saa nzima kisha eti akatutaka radhi majirani zake kwa kutuamsha na vilio vyake na cha kushangaza akasema yeye hajapatwa na msiba wowote ila asubuhi alipokwenda chumbani kwa ng'ombe wake kumjulia hali kama afanyavyo siku zote kamkuta ng'ombe wake kipenzi hatuko nae tena Duniani.


Huwezi amini hazikupita hata siku tatu yule dingi akawa amedanja(kufa),tukamzika akaoza na kuwa udongo mpaka leo tunasubiria na sisi tufe tukamuulize ilikuaje wakapishana na ng'ombe(ngombhe kwa kihaya) wake siku 3 tu kufa au kulikiwa na siri fulani kubwa kati yake na ng'ombe wake


Angalizo:Uzi huu usitumike kuharibu kisa kitamu cha UMUGHAKA na Maya wake kwa wachangiaji wengine kuanza kutoa toa na kusimulia simulia visa vya ng'ombe wa mtaani kwao kwani uzi huu sio maalum kwa story za mipaka na ming'ombe
😂😂 umenikumbusha kipind chs nyuma kidogo niliwahi ona ng'ombe mwenye kichwa kinacho fanana na binadamu kambi ya jeshi
 
Sometimes mambo hayaendi kama unavyotaka na ukiona hakuna Simulizi endelea na mambo mengine tu.

Mtoto wa kiume always hasusi wala kuleta nyodo angekua mtoto wa kike ndio anasimulia wala nisingecomplain hata kidogo cause ni asili yao kua na nyodo ila kwa mtoto wa kiume lazima tumuambie ukweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787] unatomba msukule unaonuka BAO zaidi ya Moja impossible

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mshikaji unabishana na hadithi? Ubishi peleka jukwaa la Great Thinkers, Jukwaa la Siasa na jukwaa la Intelligence.

Hapa ni kama kanisani, chochote anachosema UMUGHAKA hatupingi, tunaitikia ameeen papaaa, napokea...
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!.

Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo nimeyaishi na kuyapitia kama mwanadamu.

Simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa JF imefahamika kama "TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATOKUJA KUSAHAU KAMWE" hii inapatikana kwenye jukwaa hili la Entertainment,simulizi hii iliangazia namna tulivyopata shuruba ya ushirikina wakati ambao nilienda kumsalimia baba yangu mdogo aliyekuwa mwalimu katika shule moja ya sekondari huko mkoani Tabora,kiukweli ni mkasa ambao sitokuja kuusahau kamwe kwasababu ndipo niliamini wachawi wapo na uchawi upo!

Simulizi ya pili ilikuwa ni muendelezo baada ya hiyo ya kwanza,simulizi hii ya pili niliona nianze kusimulia baada ya mimi kwenda shule ya upili(Advance)na wakati nilipo maliza matokeo yangu hayakuwa mazuri hivyo nikatimuliwa na Mzee(Baba)yangu nyumbani nikaingia mtaani kupambana,simulizi hii inafahamika kama "NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MZEE KUNITIMUA NYUMBANI" na inapatikana kwenye jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko.

Sasa leo nimeona niwaletee na niendelee na masimulizi ya maisha yangu ili kuwapa hamasa vijana wenzangu kuweza kupambana na kutokata tamaa mapema!,dhumuni la masimulizi yangu ni kutoa funzo kwa watu,na sipo hapa ili kujipatia fedha kwa njia ya ulagahai,mimi binafsi ninajiweza kwasababu ni mpambanaji na sihitaji hata mia mbovu ya walalahoi wenzangu!.

Mimi binafsi nimfanyabiashara, nimejiajiri kwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria almaarufu kama Bodaboda, shughuli zangu huwa nazifanyia hapa Bunju, ingawa ki makazi naishi mbezi Inn ila kikazi nafanyia Bunju. Sasa kama mtakumbuka kwenye simulizi ya mwisho nilisema ya kwamba,baada ya kuwa tumeuza lile duka la vipodozi ambalo tulikuwa tumefungua na rafiki yangu kipenzi Mtatiro (Kwa sasa anaishi nchini Uganda), tuliamua kugawana fedha kila mtu afe na chake, mimi niliamua kurudi zangu Tarime-Sirari, baada ya kukaa kule kuna ndugu yangu(Mtoto wa Baba yangu mkubwa) tuliwasiliana naye akaniambia nije Dar es salaam ili tufanye biashara ya uuzaji wa vyombo vya ndani kwasababu kwa wakati huo ilikuwa na pesa(Kwa maelezo yake).

Niliianza safari ya kuja Dar es salaam, sasa nilipofika Dar es salaam pale Ubungo(Kipindi stendi bado haijaamia mbezi), ile nimefika mida ya saa 5 usiku nikampigia simu mwenyeji wangu lakini majibu toka kwenye simu ni kwamba "Namba unayopiga kwasasa haipatikani,jaribu tena baadae", niliendelea kuipiga ile simu lakini majibu yalikuwa ni hayo hayo!.

Kwakuwa nilikuwa nimechoka, niliamua kumsikiliza moja ya watu ambao walikuwa wakinisumbua ili wabebe mzigo wa begi langu ili niwalipe posho, mpaka wakati huo nilikuwa makini sana kujilinda mimi binafsi pamoja na mzigo wangu, kilichofanya nikawa makini kupita kiasi ni stori ambazo mara zote nimekuwa nikizisikia kuhusu Jiji la Dar es salaam na vioja vyake.

Mimi " Mwanangu vipi!?"

Jamaa " Poa bro"

Mimi "Mbona mnavurugu, shida ni nini?"

Jamaa " Si huyu msenge, nimemwambia wewe ni wakwangu lakini hataki kusikia"

Mimi "Ok mnasemaje"

Jamaa "Bro we nipe begi mi nikubebee, achana na huyu muhuni atakuibia"

Mimi " Sasa wote mnang'ang'ania mzigo, nimpe nani na nimwache nani?"

Mimi "Sa sikia, begi langu nitalibeba mwenyewe, achaneni na mimi"

Baada ya kusikia rafudhi yangu na namna nilivyochukia nadhani waliamua kutii sheria bila shuruti, waliondoka wakiwa wananiangalia kwa uchungu na maumivu makali ya kukosa posho!.Kiukweli muda huo nilichokiongea ndicho nilichokuwa nikikimaanisha, kutokana na sifa mbaya za mkoa wa Dar es salaam nilikuwa nimesema yeyote ambaye angejitia kimbelembele kunikaba au kuniibia, basi siku hiyo ndiyo ingekuwa mwisho wa maisha yake!,Jeuri na kiburi cha kikurya vilinitia morali maradufu na niliwaona wale vijana wa pale stendi ni kama wanawake tu wasiokuwa na uwezo wa kunifanya chochote!.

Niliamua kujisogeza mpaka kwenye geti la kutoka nje, nilipotoka nje nilikuwa nikiendelea kushangaa pilika pilika namna zilivyokuwa za kutosha pale stendi,kiukweli sikuwahi kuona mji uliokuwa na pilika nyingi kama Dar es salaam.

Mwanza nimekaa lakini hakukuwa na harakati za kutosha kama Dar es salaam. Nilichukua simu yangu nikawa nampigia tena mwenyeji wangu lakini simu yake ikawa haipatikani. Nilichukia sana kwasababu nakumbuka nilivyofika Singida alinipigia simu nikamwambia ya kwamba nimefika Singida na akawa amesema ikifika mida ya saa 2 usiku angekuwa amekuja pale stendi ili anisubiri nikifika tuondoke wote.

Kuna jamaa mmoja alikuwa kando ya geti la kutokea nje ya stendi pale Ubungo nilimsogelea nikawa namuuliza kuhusu Guest House yeyote iliyokuwa karibu ili niende nikalale na ikiwezekana asubuhi niendelee kumtafuta jamaa.

Jamaa "Sasa tutafanyaje ndugu!"

Aliendelea "Mwenyeji wako hajatokea?".

Mimi "Nimempigia simu lakini hapatikani!"

Jamaa "Duuuu mbona ni hatari!"

Aliendelea "Sasa sikia, wewe nyooka na hii barabara, unaona kwenye ile njia?"

Mimi "Ndiyo"

Jamaa "Hebu subiri"

Jamaa " Hassaniiiiiii"

Baada ya ya kuita hilo jina muhusika alifika

Jamaa "Hassani hebu nenda kampeleke huyu jamaa pale kwa Asteria, ukifika mwambie jamaa anataka chumba"

Aliendelea "Kaka nenda na jamaa atakupeleka kwenye Lodge ambayo kuna usalama na vyumba vipo vya kutosha, ila utamlipa maana kuna umbali"

Mimi "Hakuna tatizo"

Basi yule jamaa aliyeitwa Hassan akanichukua akanivusha barabara tukaikamata njia ya Ubungo Maziwa kuelekea kwenye hiyo lodge ambayo nimeambiwa kuna usalama na vyumba vya kutosha. Wakati tunakwenda na Bwana Hassan tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale huku mikono yangu ikiwa bize imeng'ang'ania begi kwasababu ndilo lililokuwa na hela pamoja na nguo za kubadilisha, kiukweli nilikuwa nimesema endapo yeyote angejipendekeza kunikaba angejuta kuzaliwa.

Baada ya mwendo mrefu kidogo hatimaye tukawa tumefika kwenye Bar moja iliyokuwa inapiga mziki kwa sauti kubwa huku kukiwa na watu wengi.

Hassan " Nisubiri hapa nakuja"

Nilimsubiri Hassan pale nje baada ya kufika kwenye hiyo Bar na baada ya dakika 15 akawa amekuja kunichukua na kuongozana nae kuingia ndani. Tulipofika ndani ambako kulikuwa na kaunta,Hassan alinichukua tena kuelekea Uani ambako nilikuta kuna vyumba vingi ambavyo vilikuwa havipungui 10.

Sasa baada ya kufika pale Uani alikuja mwanamke mmoja mweusi mnene na ndiye aliyekuwa akiitwa Asteria, alimuita Hassan Pembeni wakawa wanaongea, sikufahamu kitu walichokuwa wanazungumza kwa wakati huo. Baada ya yale mazungumzo Hassan alirudi kwangu.


Hassan "Sasa bro,mimi nadhani nikuache wewe upumzike, niangalizie basi ustaarabu"

Mimi "Chumba changu cha kulala ni kipi?"

Hassan "Atakuonyesha Asteria, wala usijali kaka hapa ni nyumbani"

Baada ya maneno ya kutia moyo ya Hassan nikachomoa shilingi elfu 5 nikawa nimempatia kama posho ya kunipeleka hapo Guest.

Hassan "Aaah kaka hela gani hii?"

Mimi "Hela gani kivipi?"

Hasaan "Aaaah Kaka yaani nikutoe kule stendi na nimeacha shughuli zangu halafu unanipatia buku tano?,hebu ongeza ongeza kaka angalau kesho niamkie supu"


Sikutaka mambo mengi na yule Jamaa ikabidi nizame tena mfukoni nikatoa elfu 5 nyingine nikampatia, hivyo kufanya jumla kuwa elfu 10.

Baada ya jamaa kuondoka lile eneo nikamfuata yule demu aliyeitwa Asteria ili aje anionyeshe chumba niingie kulala kwasababu nilikuwa nimechoka.

Asteria "Kaka ina maana Hujaambiwa huu si muda wa kulala?"

Mimi "Si muda wa kulala?"

Mimi "Si muda wa kulala kivipi?"

Asteria "Kaka hapa huwa hatulazi watu ila tunakodisha!"

Aliendelea "Hivi vyumba vinakodishwa kwa dakika na masaa, labda usubiri mpaka saa 9 wateja wakipingua ndipo tutakukodishia ulale"

Kiukweli baada ya ile kauli niliishiwa nguvu ghafla, sasa baada ya kuniambia maneno yale yeye aliondoka akaenda kuendelea na shughuli zake akaniacha pale Uani nikiwa sijui cha kufanya, sasa ndipo nilikuja kugundua ya kwamba, vile vyumba vilikuwa vinatumika kwenye biashara ya short time(Biashara ya Ngono),sasa kumbe ile Bar niliyopelekwa, pale nje kulikuwa na wanawake wanaouza miili yao(Dada Poa) na vile vyumba vilitumika kwa shughuli ya short time.

Itaendelea.

Muendelezo soma Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani
Hizi story za watch out part2 huwa zinanikera Bora mtu asisimulie.
 
Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 19.



Nilijifanya nimepitiwa na usingizi huku nikiendelea kumtizama Zahra kwa kuibia;baada ya kufika karibu na kitanda alipanda kitandani huku akiwa uchi kama alivyozaliwa!.Sikutaka kabisa kupoteza muda maana Ally Mpemba aliniambia akisha panda kitandani kazi yangu ni kumshughulikia kisawasawa!.

Niliamka taratibu nikavua boxa ambayo nilikuwa nimevaa na singlendi kisha nikarudi kitandani,kiukweli sikuelewa nitaanza vipi kusimamisha uume kwasababu Zahra alikuwa na harufu kali ambayo ilisababishwa na yeye kutokuoga muda mrefu huku sehemu zake za siri zikiwa zimefunikwa na nywele(mavuzi)za kutosha!,nilisogeza mkono nikamshika ili nione kama anaweza kuwa mkali lakini nilipomshika aliendelea kuwa kimya,niliendelea kumshika huku nikimtizama yule mwanamke na kujikuta namvutia picha ya ngono kwa haraka ndipo uume ukasimama kwa haraka kama nyoka aina ya koboko aliyeona hatari na kujiandaa kuikabiri,kiukweli baada ya uume kusimama nilimsogelea na kuinyanyua miguu yake kisha nikamchomekea uume taratibu na bila kizuizi ulizama wote nikaanza kumkimbiza mchakamchaka bila huruma!.

Baada ya kumzamishia fimbo ya mnyonge isiyokuwa na huruma hata kidogo,ile harufu kiukweli ni kama nilianza kuizoea huku akili yangu ikimezwa na tamaa ambayo ilifanya nikamuona Zahra(Maya) kama mwanamke wa kawaida wa kiarabu asiyekuwa na tatizo lolote.Hali haikuwa nzuri ni vile tu nilikuwa nina tamaa ya pesa ndiyo ilipelekea mimi kufanya vile.

Niliendelea kumkung'uta Zahra kwa hasira kana kwamba alikuwa ni mwanamke ambaye nimewahi kumtumia nauli akala akashindwa kutokea sasa alipokuja nilipanga nimuonyeshe namna ambavyo watu tuliozoea kula ugali wa uwele na mtama tulivyokuwa na hasira dhidi ya wanawake wala nauli na wenye viherehere wasemao "Tuma naya kutolea".

Baada ya kufika mlima Kilimanjaro nilitaka kushuka ili angalau nipumue kumbe haikuwa kama nilivyodhani,nilipotaka kuchomoa uume kwenye uke wa Zahra nilijikuta siwezi kwakuwa alikuwa amening'ang'ania kwa nguvu ambazo hazikuwa za kawaida,sikuwa hata na uwezo wa kushindana nae kwakuwa nguvu alizokuwa nazo hazikuwa za kawaida,nilikuwa mpole huku nikiendelea kusukuma taratibu nikitafuta nguvu za kuuanza upya mchaka mchaka!,baada ya uume kusimama tena niliendelea kumsukumia nyama hadi aliponiachia huku akionekana kulifurahia tendo,baada ya kuona ameanza kuelewa nilichokuwa namfanya niliamua kumgeuza na kuanza kumshughulikia kwa hasira na uchu mwingi,japokuwa hakuwa na akili kama wanadamu wengine lakini uzuri wa yule mwanamke haukupotea,ulikuwa ukimuangalia uligundua kabla ya kuwa alivyokuwa alikuwaga mwanamke mzuri sana!,kiukweli ile staili ya kumgeuza nyuma niliipenda sana na ndiyo nilieendelea kuifanya hadi asubuhi bila kuchoka kwasababu nilikuwa nikimaliza ninapomshika matako koboko anasimama nakumchomekea kisha kazi inaendelea!.

Kule kwenye kile chumba hakuja kulala bali alifata mbolo na mimi sikuwa na hiyana nilimpatia alichokifata.

Ilipofika asubuhi mida ya saa 12 alinyanyuka mwenyewe akaondoka kuelekea chumbani kwake alikokuwa akikaa,mimi niliamka nikatoka kwenda kukifunga chumba chake kisha nikaingia bafuni kuoga.Nilipotoka kuoga nilitoa lile shuka nililolalia na Zahra nikalipeleka kulifua kisha nikaweka shuka jingine.

Baada ya kumaliza shughuli za hapo nyumbanj kwa Ally Mpemba niliamua kwenda zangu kkoo kuendelea na kazi yangu ya usajili wa line za simu.Kwakuwa ilikuwa jumamosi,nilipanga nikafanye kazi masaa machache kisha niondoke zangu kuelekea nyumbani kubadili nguo na kujiandaa kwa mambo mengine,siku hiyo sikupita kabisa pale ofisini buguruni,sasa nilipofika Kkoo nilielekea mahali ambapo nilikuwa natunza vitu vyangu,baada ya kuvichukua niliondoka kueleka sehemu ya kazi,nilipofika muda huo lile duka la Ally Mpemba ambalo mara nyingi alikuwa akiuza dada yake aitwaye Farah lilikuwa bado halijafunguliwa,haikuwa kawaida kukuta lile duka muda huo wa saa 3 kuelekea saa 4 ukute likiwa limefungwa,mimi kama kawaida nilifungua biashara yangu pale na nikaanza kupiga kazi!.
Ilipofika mida ya saa 5 asubuhi nikiwa napiga kazi,sasa nikiwa sina hili wala lile kutokana na ubize,mara ghafla nilisikia sauti ya mwanamke ikinisalimu kwa sauti ambayo haikuwa ya kawaida,nilinyanyua shingo na kumtazama yule mwanamke kumbe alikuwa ni Aunt Farah dada yake na Ally Mpemba,yeye mara zote alikuwaga akivaa Nicab(Vazi nadhifu lililofunika sura yake).


Mimi "Ooh Aunt Farah,umenishitua!"

Farah "Umeshituka na nini?"

Mimi "Sijui hata nilikuwa nawaza nini!"

Farah "Haya bana,umeamkaje lakini?"

Mimi "Niko poa kabisa,sijui za huko utokako!"

Farah "salama"

Aliendelea "Nilijua utapumzika leo"

Mimi "Ahaa hamna,kama sina tatizo tu la kuniweka nyumbani siwezi kupumzika maana hii kazi hainaga wikiendi!"

Sasa wakati naongea nae yeye alikuwa akiendelea kufungua geti la duka lake,kama mtakumbuka hapo awali niliwaambia ya kwamba,nilikuwa nikifanya biashara zangu kando ya lile duka la Ally Mpemba lililokuwa likitazamana na ambayo leo ni stendi ya Mwendokasi(Kituo cha Gerezani).

Mimi "Leo umechelewa sana hadi nikahisi hufungui!"

Farah "Kuna mahala nilikwenda ndiyo maana nilichelewa"

Mimi "ooh sawa!"

Baada ya mazungumzo mafupi niliendelea na kazi yangu kama kawaida huku wateja wakija mmoja mmoja,kiukweli yule dada sikuwahi kumuona usoni namna alivyo na namna alivyokuwa akifanana!,nilitamani sana siku moja nimuone ili niweze kumfananisha na yule mwanamke aliyetolewa kafara na Ally Mpemba ambaye kwa mujibu wake alikuwa dada yake (Zahra/Maya).
Nilitamani kumuona na kupata uthibitisho kama wanafanana kwa maana walikuwa ni ndugu.

Ilipofika mida ya saa 7 mchana mimi ilibidi nichukue vitu vyangu na kuanza kuvikusanya ili nivirudishe nilikokuwa navihifadhi niweze kwenda nyumbani,kiukweli kwa wakati huo hata utendaji wangu wa kazi haukuwa mzuri kama mwanzo kwakuwa nilikuwa ninapesa ya kutosha,hivyo ile kazi nilikuwa ninaifanya angalau nisiweze kukaa tu nyumbani bure.Mara zote ambapo huwa nikiondoka nilikuwaga namuaga Aunt Farah maana nilimzoea kama vile ndugu yangu,sasa kuna jambo ambalo baada ya kumuaga ni kama lilinishitua.

Mimi "Sister mi nakuacha mara moja tutaonana jumatatu!"

Farah "Mbona mapema sana leo?"

Mimi "Nimechoka tu nahitaji nikapumzike!"

Farah "Sawa mwanaume wa bara mwenye nguvu zake"

Mimi niliondoka zangu bila kumzingatia maana mara zote amekuwa akinitania kwa majina mbalimbali hivyo sikujali.

Nilipofika nyumbani ile nimeingia ndani ya chumba changu cha kulala nilishituka sana baada ya kutazama kitandani na kukuta ile shuka ambayo niliitoa pale kitandani kwa Ally Mpemba baada ya kumkung'uta Maya fimbo za kutosha,kiukweli nilishangaa sana ni nani alikuwa ameifikisha ile shuka pale nyumbani kwasababu baada ya mziki ule wa usiku kucha niliamua kuibadili ili kuweka shuka safi.Nilisogea hadi kitandani nikalitoa lile shuka,cha ajabu hata nililokuwa nimelitandika hapo awali lilikuwa limetolewa na kuwekwa kwenye nguo chafu kana kwamba kuna mtu mle ndani ndiye alifanya vile!.

Baada ya kulitoa nilitandika shuka nyingine safi,nilielekea bafuni kuoga upya ili nirudi nibadili nguo nikiwa na lengo la kuondoka kwenda kuchukua mchuma(Audi )ili nielekee ununio kwa Anko,sasa ile nimetoka bafuni kupiga maji,nilikuta tena lile shuka likiwa limetandikwa kama mwanzo,kiukweli nilitoka mle chumbani kwa haraka nikiwa mwenye hofu kuu,nilisimama pale sebuleni kwa muda nikiwa nimatafakari ni kitu gani kinaendelea,baada ya dakika kadhaa nilirudi chumbani kwa ujasiri kisha nikavaa nguo na kuondoka,lengo ilikuwa ni kwenda hadi Kkoo kwa Aunt Farah ikiwezekana amtafute Ally ili niweze kuzungumza nae maana ile hali sikuielewa kabisa!.

Baada ya kufika Kkoo cha ajabu nikakuta Aunt Farah naye kafunga duka na sikufahamu alipoelekea!.Niliondoka hadi kwa Ally Mpemba magomeni,nilipofika nilifungua nyumba na kuingia ndani moja kwa moja hadi kwenye chumba alichokuwa akilala jamaa,nilipofungua mlango na kuingia ndani nilikuta tena lile shuka ambalo nimeliacha nyumbani kwangu likiwa limetandikwa kitandani mara hii tena likiwa limetandikwa kitandani kwa Ally Mpemba,kumbuka hii shuka ni ile ambayo niliibadili baada ya kumkung'uta Maya stiki za kutosha ule usiku.Kiukweli nilibaki nikishangaa sana,sasa nilichoamua ni kutoka nje na kuchukua ile gari na kuondoka zangu.

Niliondoka kuelekea Ununio kwa Anko Nico kuwasalimu lakini lengo langu lilikuwa ni lile lile la kuwaringishia ili waone yale waliyokuwa wakizungumza kuhusu mimi hawakunitendea haki.Nilipofika nyumbani kwa Anko nilipiga honi bahati nzuri geti likafunguliwa na kijana mmoja ambaye sikumfahamu,niliingiza gari hadi ndani kisha nikateremka.

Mimi " Mambo vipi "

Jamaa "Safi "

Mimi "kwema?"

Jamaa "Kwema kabisa"

Mimi "Humu ndani wapo kweli?"

Jamaa "Yupo dada Rebecca nadhani"

Niliingia ndani hadi sebuleni kisha nikaa kwenye sofa,kuna mtu bila shaka alikuwa akitazama filamu za kifilipino pale sebuleni lakini baada ya kusikia naingia ndani aliondoka akaelekea chumbani,ile picha niliisoma maana nilikuta luninga ikiwa imewashwa na kwa muonekano tu niligundua kulikuwa na mtu amekimbilia chumbani baada ya kusikia naingia ndani.Baada ya dakika 10 alitoka binti wa Anko Nico ambaye ni mkubwa aliyeitwa Rebecca.

Rebecca "Ooh binamu"

Aliendelea "Karibu!"

Mimi "Ahsante,za hapa"

Rebecca "Nzuri,za utokako!"

Mimi "Huko tuko poa"

Mimi "Mbona nyumba imepoa sana,uko mwenyewe nini!"

Rebecca "Siunajua tena wengine wameenda kanisani!"

Mimi "Oooh aisee hata sikujua "

Mimi " Wanasali mbali?"

Rebecca "Eeeh ni mbali kidogo maana kuna makambi ndiyo wako huko!"

Mimi "Sawa,mimi nilipita kuwasalimu,nadhani utanisalimia Anko na Shangazi wakirudi"

Rebecca "Haukai kuwasubiri?"

Mimi "Nitarudi hata wikiendi ijayo kuwasalimu"

Rebecca "Kaa kidogo maana napasha chakula ule ndiyo uende!"


Mimi "Ok hakuna tatizo!"

Kiukweli nilishangaa sana namna binti wa Anko alivyobadilika kwa muda mchache kwasababu wakati ule nikiwa kwao alikuwa ni mmoja wa watoto wa Anko ambao hawakuwaga na stori na mimi kabisa,nilidhani labda uenda umri ukawa umembadilisha kiakili.Baada ya muda aliniketea msosi nikaanza kuukung'uta kama kawaida kisha nilipomaliza nilimuaga na kumuachia kiasi cha shilingi laki moja kama matumizi yake na kuondoka,alinishangaa sana na kunisindikiza nje kwa bashasha kana kwamba nilimpa milioni moja,mimi lengo langu ni autazame ule mchuma na wazazi wake pamoja na ndugu zake watakaporudi basi awape stori.

Mimi "Mi naenda dada"

Rebecca "Haya binamu uwasalimie huko"

Aliendelea kunisindikiza kwa macho hadi nilipoingia kwenye chombo na kuondoka zangu.

Nilipotoka kwa Anko niliondoka kurudi Gongo la mboto,sasa nilipofika pale Mombasa kuna bar moja niliingia nikapaki gari kisha nikaagiza bia aina ya safari na kuanza kutandika mdogo mdogo,wakati nikiwa ndiyo nimeikamata bia ya pili kuna mtu alinipigia simu,nilipoitazama ile namba ilikuwa ngeni kwenye simu yangu.

Mimi "Halloo"

Yeye "Hello"

Mimi "Nambie"

Yeye "Poa,uko wapi?"

Mimi "Nani?"

Yeye "Farah hapa naongea"

Mimi "Farah!.....Aunt Farah?"

Yeye "Ndiyo"

Mimi "Ooh samahani sana sister hii namba huwaga sina"

Farah "Usijali,uko wapi?"

Mimi "Nipo hapa Mombasa!"

Farah "Ok mimi nipo hapa kwako"

Mimi "Kwangu?"

Farah " Ndiyo!"

Mimi "Wewe si ni Aunt Farah wa Kkoo?"

Farah "Ndiye mimi"

Mimi "Kwangu umepajuaje dada?"

Farah "Nimekuja nikiuliza hadi nimefika"

Kiukweli baada ya maelezo ya Farah nilishituka sana na ile bia nikaanza kuiona chungu,nilishindwa kuelewa alifikaje nyumbani kwangu,na uenda ningekuwa mtu maarufu kiasi kwamba ukiniulizia usingenikosa lakini mimi nilikuwa mtu wa kawaida sana na alivyoniambia eti amefika kwangu kwa kuulizia kiukweli alinichanganya.

Farah "Mbona unashangaa?"

Mimi "Hamna dada!"

Farah "Ally Alitaka kuzungumza nawe ndiyo maana niko hapa"

Mimi "Sawa dada nakuja "

Kilichoniacha hoi ni hiyo statement ya kwamba Ally Mpemba alitaka kuzungumza na mimi,mara zote Ally Akiwaga nje alikuwa akinipigia simu moja kwa moja,ila mimi ndiye nilikuwaga nikitaka kumpigia moja kwa moja simu haitoki.Niliondoka upesi kuelekea nyumbani ili nikaonane na Farah.

Nilipofika pale nyumbani ile gari niliipaki nje ya ile nyumba kwakuwa hakukuwa na nafasi ya kuingiza gari ndani,sasa nilipofika ndani sikumuona Farah ikabidi nimpigie simu.

Mimi "Dada nishafika uko wapi?"

Farah "Nilitoka kidogo nipo hapa dukani nakuja"

Nilifungua mlango nikaingia zangu ndani kuweka mazingira sawa kisha nikatoka nje kumsubiri,sasa baada ya muda aliingia mwanamke mmoja wa kiarabu(Kipemba)aliyekuwa akifanana sana na Zahra/Maya kama mapacha,nilibaki kumtizama kama mtu niliyepigwa na bumbuwazi.

Tangu nimfahamu Farah sikuwahi kumuona uso wake kwasababu mara zote alivaa nicab.Alipokuja kwangu alikuwa amejitanda hijab tu huku uso wake ukiwa wazi kabisa na chini akiwa amevaa suruali nyepesi ya kitambaa pamoja na raba ya converse,kiukweli baada tu ya kumuona namna alivyokuwa akifanana na Maya nilimtambua.Kilichonishangaza zaidi hadi umbo na tembea yake alikuwa ni Maya mtupu,hali ya uwoga ikaanza kuniingia ghafla lakini sikutaka kuonyesha ikabidi nijikaze.
Nilijiuliza maswali mengi sana,ni yeye tu ndiye alifanana na Maya au hadi ndugu wengine ambao sikuwaona nao walifanana na Maya?,na Mbona Ally Mpemba alikuwa hafanani sana na Maya kama ilivyo kwake?

Mimi "Dada farah karibu"

Farah "Ahsante kijana wa bara mwenye balaa"

Mimi "Karibu ndani!"

Farah "Hapana,ndani siingii!"

Aliendelea "Ngoja nimpigie Ally uongee nae alitaka kuzungumza nawe!"

Mimi "Leo unamtoko nini!"

Farah "Kwanini?"

Mimi "Siyo kawaida yako kukuona hivi!"

Farah "mmmh hujanikuta tu uenda!"

Mimi "Nilikuja dukani mida fulani nikakuta umefunga"

Farah "Kuna mahala inapaswa niwahi hebu zungumza na Ally"

Baada ya kuzungumza na Ally Mpemba alinipatia maelekezo ya kwamba aende kule kwake akachukue ile gari yake(Range Rover) kisha kulikuwa na hela kiasi cha milioni 2 anipatie.Nilimtaka pia Ally Mpemba baadae anipigie simu yangu kuna mambo muhimu nizungumze nae akanianbia usiku angenipigia.

Basi baada ya mazungumzo yale tuliondoka na Farah kuelekea kwenye Audi ili niondoke nimfungulie achukue gari kama jamaa alivyokuwa amenipatia maelekezo,sasa ile Farah anapanda kwenye gari kuna namna aliliitusha hijab yake ambayo ilionekana kumbana,kiukweli nilipomtazama vizuri nilishituka sana baada ya kuona alikuwa na mchoro mkononi kama ambao Maya alikuwa nao kwenye mkono wake wa kuume!



Itaendelea...........
Antonnia kitalembwa To yeye mliisoma hii
 
Back
Top Bottom